Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI anayeshughulikia Miundombinu, Mhandisi Rogatus Matavila, ameishukuru Benki ya Dunia kwa msaada wa kifedha na kitaaluma wa kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi.
Akifungua kikao cha Kamati Kuu (National Steering Committee) ya...
Rais Donald Trump amefungua kesi ya kashfa dhidi ya BBC katika mahakama ya shirikisho ya Miami, akidai fidia ya hadi dola bilioni 10.
Trump anaituhumu BBC kwa kuandaa makala ya Panorama iliyoonyesha kauli zake za Januari 6, 2021 kwa namna iliyohaririwa vibaya, na kufanya ionekane kama...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba , ametangaza madai mazito akieleza kuwa kuna baadhi ya wanaharakati wanaolipwa ili kuchochea vurugu na kuzusha taharuki katika maeneo mbalimbali nchini.
Akihutubia leo Jumapili, Novemba 30, 2025, katika mkutano wa hadhara...
Haya ndiyo maisha wanayoishi wapigiwa kura wakati GenZ wanaambiwa watapewa mikopo ya milioni 5 kila wilaya. Wapigiwa kuwa wana pack nagar ya bilioni 5 kwenye yard nyumbani kwao.
Serikali imeendelea kuboresha miundombinu ya elimu nchini ikiwa ni pamoja na kujenga uzio katika shule mbalimbali za msingi kwa kuzipa kipaumbele shule zenye watoto wenye mahitaji maalumu.
Hayo yamesemwa bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa...
Ripoti mpya iliyochapishwa leo Machi 26, 2025 inaonesha mataifa ya Tanzania, Kenya na Uganda yanapoteza hadi dola bilioni 5 sawa na Shilingi Trilioni 13 za kitanzania kila mwaka kwa kuwa na sheria kali za kupinga mapenzi ya jinsia moja.
Ripoti hiyo ya shirika la hisani la Open for Business la...
Mwekezaji wa Kitanzania, Josiah Mrimi, ameweka wazi changamoto alizokumbana nazo wakati wa kuanzisha kiwanda cha kuchakata mafuta ya parachichi, Murikado Food Supply, kilichopo katika kijiji cha Itulahumba, wilaya ya Wanging'ombe, mkoa wa Njombe.
Akizungumza siku ya Jumatatu mbele ya Waziri wa...
Siasa achana nayo tu jamani.......siasa ni nyoko.
Kila nikiwasikiliza na kuwaona na kurejea taarifa ya 'kusanyaji' kadhaa huko nyuma, naona kabisa hapa hii miamba inatafuta au imelenga bilioni kama tano Hadi sita hivi kufikia uchaguzi. Hiyo ni kutoka kwa tone-tone na wafadhili wengine. Mbili...
Wakuu
Wizara ya Afya imewekeza Sh5 bilioni katika ujenzi wa jengo jipya la tiba mionzi katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) pamoja na ununuzi wa vifaa tiba vya kisasa.
Hatua hii inalenga kuboresha huduma za matibabu ya saratani kwa wakazi wa Kanda ya Kaskazini na maeneo...
Serikali kupitia Wizara ya Afya imewekeza Shilingi Bilioni 5 kwa ajili ya ujenzi wa jengo la kituo cha tiba mionzi pamoja na ununuzi wa vifaa tiba lililopo katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Kaskazini (KCMC) ili kuboresha huduma hizo za afya na kuwafikia wananchi wengi wa ukanda huo.
Waziri wa...
1 Kwamba anaiba pesa za chama kwa kutumia Mbowe Foundation
2. Amegeuza chama kuwa SACCOS yake
3. Chadema digital inamilikiwa na Mbowe kwa manufaa yake
My take: hilo nililitegemea and that is the right way to go!
=====
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.