bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ingiza $1 kila siku kirahisi kabisa bila kufanya kazi

    Habari za mchana wakuu, mimi kazi yangu ni kuwasogezea michongo ya online ya kuingiza pesa. Kuna huu mchongo rahisi kabisa unaokupa $1 kila siku kwa simu yako na internet yako bila hata ya kuhangaika kufanya kazi. Kuna hii App inalipa kwa kushare internet yako tu. Ikifika $5 unaweza kuitoa...
  2. JamiiForums Tanzania Yamenikuta: Nilifunga ndoa ya kanisani kimya kimya bila mke wangu kujua

    Maneno ya mwisho niliyomwambia ni kuwa, "Huwezi kupata mwanaume mwingine kama mimi, ondoka, lakini najua utarudi, mjinga wewe!" Miaka miwili iliyopita nilifunga ndoa na mke wangu wa sasa. Kipindi hicho nilikuwa nimetoka kuachana na mpenzi wangu wa muda mrefu ambaye tuliishi naye kama mke na mume...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada jinsi ya kufungua simu bila kureset, nimesahau pattern (aina ya simu ni lg velvet 5g

    Kama inavyojieleza hapo juu simu yangu nimesahau pattern na sitaki kufuta vitu vilivyomo, msaada kama naweza kuifungua
  4. M

    JamiiForums Tanzania PDidy amesettle na Cassie kwenye kesi ya kumuingilia bila ridhaa yake na kumpiga

    Tutafteni pesa, kama tunavojua hapo nyuma PDidy alishtakiwa na Cassie kwa kumuingilia kimwili bila ridhaa yake na kumpiga (sexual abuse, physical abuse,) na kutokana na hiyo kesi Cassie alikuwa anataka kulipwa dola milioni thelathini(pesa nyingi sana) lakini sasa inasemekana PDidy na Cassie wame...
  5. JamiiForums Tanzania Je inawezekana kusoma CPA na kufanyiwa recategorization bila kua na degree ya uhasibu?

    Kwa mtu ambaye tayari ni muajiriwa, na anataka kusoma degree nyingine, je aanze na uhasibu then CPA ndio afanyiwe recategorization, au haiwezekani kusoma CPA bila kua na degree ya uhasibu? Kama ilivyo school of law? Maana school of law ni lazima mtu amalize bachelor ya LLB?.
  6. JamiiForums Tanzania Tuje na mpango mkakati wa kukuza IQ zetu bila hivyo tutaendelea kuteseka

    Tunapigwa kwenye mikataba kwa sababu IQ zetu bado ndogo. Huwezi mzidi ujanja mwenye IQ kubwa kuliko wewe lazima akulambe tu. Juzi mchina Xi katukusanya kama kumbi kumbi huko mitaa ya Beijing haya sasa subiri mipigo mirefu ya wachina kwa miaka mingi ijayo. Hatuwezi shindana na watu wenye IQ za...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Wazazi sikiliza kwa makini: Mwanaume aliyehukumiwa kwa kosa la kulawiti watoto ahojiwa na kueleza mbinu anazotumia kurubuni watoto

    IMETAFISIRIWA Jack Rynolds alitumikia kifungo kwa miaka zaidi ya 12 gerezani kwa kosa la kulawiti wavulana wadogo hasa wenye miaka 11 hadi 14, hapa anatoa ushuhuda wake kwa vigezo vonavyotumika zaidi kuchagua aina ya wavulana na mbinu. === Tafsiri siyo ya moja kwa moja; Swali la mwandishi...
  8. JamiiForums Tanzania Imekuaje barabara karibia nchi nzima zinabomolewa na kuachwa kwa mda mrefu bila marekebisho

    Hii ni Tabia chafu sanna ya kufumua barabara kisha inaachwa zaidi ya miezi sita huku ikiathiri maisha ya watu kwa maradhi ya macho mafua vifua vumbi kali sanna magari kuharibuka kwa mashimo tumerudi miaka nyuma huko. Kwanini kama budget hazijatengwa barabara zifumuliwe? Naendelea kusema...
  9. JamiiForums Tanzania Utii wa sheria bila shuruti UMENAJISIWA na Polisi Tanzania? Wananchi tushtuke sasa kwani hatupo salama

    Nisiwachoshe sana. Matukio ya watu kupotea ndani mikono ya polisi. Matukio ya watuhumiwa kuteswa na kutwezwa wakihojiwa na polisi Matukio ya mauaji ndani ya vituo vya polisi ni mengi Matukio ya watu kutekwa na vyombo vya dola kisha kutoweka ni mengi Matukio ya kutishia wakosoaji na kuwabambika...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Burudani ya soka bila EPL

    Kumbe unaweza kuburudika kwa kutazama futbol bila hata mechi za EPL. Binafsi nilikuwa natamani sana EPL ingekuwemo kwenye king'amuzi cha Azam lakini ndiyo hivyo tena. Pamoja na kukosekana kwa EPL ndani ya Azam, lakini kwa sisi wapenda soka, angalau nafsi inaridhika kwa kutazama mechi live...
  11. JamiiForums Tanzania Nilivoachwa kikatili na mpenzi wangu wa kwanza

    Hii wiki Niko very happy ngoja niwape kisa nilivyoachwa na mpenz wangu wa kwanza😃😃 Miaka mingi nyuma nilikuwa na rafikiyangu ambae ni jirani yetu pia alinizi kama miaka miwil umri, alikuwa anansoma shule ya boarding hivo tulikuwa tunaonana kipindi cha likizo. Rafik yangu alikuwa ni wale...
  12. JamiiForums Tanzania Ni mwaka wa 2 sasa bila kufanya mapenzi ni raha kweli kweli

    Hapo vip!! Mimi ni kijana rijali haswa ila baada ya kumchunguza kiumbe anayeitwa mwanamke kwa miaka mingi nimegundua sintoweza kuishi naye kwasababu kipindi cha nyumba nikiwa kwenye mahusiano mwanamke amekuwa chanzo ya kunipokonya uhuru na furaha yangu ya asili. Pili ninapoona ushetani...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanawake: Kwani haiwezekani kupiga Picha bila kuonesha makalio?

    Kila nikipita kwenye mitandao kuanzia Instagram, Twitter ( X ), Facebook n.k kote huko kwa asilimia kubwa unakuta Picha au clip ya demu akionesha makalio bila aibu Sasa najiuliza ni matangazo au ni Nini???, au ndio Dunia unaelekea mwishoni??? Wengine mpk skuizi wanaenda kufanya upasuaji (...
  14. JamiiForums Tanzania Siasa bila pesa, chawa na ndumba hutoboi

    Siasa zetu za kibongo bila chawa, ndumba na pesa hutoboi. PhD tupa kule! NB: Antipasi kazi unayo, itakuchukua miaka 10 kununua gari jipya.
  15. JamiiForums Tanzania Wameblock telegram? Bila VPN haifanyi kazi

    Kwa tupangieni content na sio na watu wazima? Kisheria mtoto harusiwi kuwa na simu sasa kutuzimia huduma maana yake nini? Kama wanahofia watoto wana simu hayo waachie wazazi wao. More https://www.jamiiforums.com/threads/mbona-telegram-haifunguki.2251573/...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Ex wangu 1 tu kati ya wanne walioolewa tulioachana bila ugomvi ndie mwenye msimamo, wengine penzi linaweza kuamshwa muda wowote

    nina ma ex wanne ambao tuliachana vizuri bila ugomvi kwa sababu za masomo, kazi na majukumu mengine, katika hawa ni mmoja tu ambae kashikilia msimamo wake sijaona akiwa na shauku ya kupasha kiporo, wengine watatu tunaweza tusichat hata miezi lakini muda tukionana ama tukichat ni kama season 2...
  17. JamiiForums Tanzania OMBEENI UHUSIANO, UCHUMBA NA NDOA YENU BILA KUCHOKA..

    ni muhimu sana kama wenza kuombeana mema kwa Mungu, na kwa hakika Neema na Baraka za Mungu zitaandamana na kuambatana na kila moja wenu na kwa imani thabiti mtaweza kuyashinda majaribu mazito na magumu mtakayopitia kwa urahisi na wepesi sana.... hongereni sana kwa hatua mliyofikia, Mungu...
  18. JamiiForums Tanzania Ndugu wa mke kuja nyumbani kwangu bila mimi kujulishwa imekaa kitaalamu kweli hii kitu?

    Habari zenu watu wa mapenzi. Iko hivi,kwanza naomba kudiclea interest mimi sio mchoyo wala sina chembe za uchoyo kama ambavyo wengi wenu mngeweza kudhani. Naishi mkoa tofauti na ambao familia yangu inaishi,so tarehe za mwisho wa mwezi kama hizi huwa natoroka kuja kuwasalimia siku kadhaa then...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna gari mbili zimepaki hapa masaa mawili bila watu kushuka

    Nimeongea na mjumbe serekali za mtaaa kumtaarifuu juu ya gari hz ambazo zimepaki bila watu kushuka, nae akasema mpaka awasiliane na mwenyekiti kwanza sasa mwenyekiti hapokei simu Gari ni Nissan cibin na Nissan patrol Je tumchukuwe hatua gani kama raia
  20. JamiiForums Tanzania Waziri wa TAMISEMI ndio aliyetoa amri ndugu zetu wa NGORONGORO wahamishwe bila ya utaratibu Maluku, waziri awajibishwe

    Moja ya viongozi wa hovyo kabisa ni huyu waziri wa TAMISEMI, kwanza sijawahi kumuelewa huyu jamaa capacity na uwezo wake. hapo alipo.? Hawa watu walipaswa kuwa wapiga madufu. Unfortunately wameingia kwenye ofisi za Umma wakidhan kwamba kila kitu ni maagizo Mkwe anakuaje waziri wako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…