"Wakati vijana wa Ulaya na Asia wanaitumia AI kuingiza mamilioni, vijana wa Tanzania, Kenya na Uganda wako bize kuvua viongozi nguo, kuwaweka kwenye majeneza na kuedit picha za mizinga. Halafu kesho yake wanasema, 'Hatutendewi haki, hatuna ajira!' Hivi wewe ungekuwa na kampuni, taasisi...