Wakuu, katika harakati zangu za biashara, nikakutana na kampuni B mtandaoni.
Kutokana na bidhaa zao walizozichapisha kwenye ukurasa wao, ziliweza kunivutia sana na kunishawishi kufanya nao biashara.
Nikapiga mahesabu, mpaka nizilete hapa bongo, naweza kupata faida mara mbili.
Nikawasiliana...