Nimeamua kuoa binti wa kipare kutokea Kijiji Cha Masandare ( Same) hivi Leo tunaelekea huko kulipa mahari Kama sehemu ya mchakato.
Maombi yenu, nimekamatika kwa binti huyu Veronica mtoto wa kipare. Japo mnene mauno Kama yote naenjoy kiukweli.
UPDATE:
Nilituma 2m Tsh kuandaa sherehe ndogo ya...