biashara

  1. K

    Eneo la biashara ya Cafeteria;

    Habari wakuu. Nilikua natafuta eneo la biashara ya Cafeteria ambayo unaweza kaanga viazi,kuuza sharubati ya miwa na sharubati ya matunda mengine. Ila hilo eneo kama kuna uwezekano liwe na vifaa ambavyo nitakua naweza kuvikodi na kumlipa mwenye vifaa kwa wiki ama kwa mwezi. Vifaa hivyo ni kabati...
  2. PreGE2025 Makonda: Uongozi hauna faida, bora kufanya biashara

    Wakuu, Baada ya kutema cheche siku ya Jumapili, Paul Makonda ameendelea kutoa matamko mbalimbali Siku ya leo akiwa anaongea na wanahabari, Makonda amesema kuwa kazi ya kuwa kiongozi ni ngumu sana na hata yeye alikuwa anaingiza pesa nyingi akiwa mfanyabiashara kuliko sasa hivi akiwa analipwa...
  3. M

    Biashara kubwa ya masikini ni kusambaza umbea usiomlipa ndiyo maana anazidi kuwa masikini

    Umaskini ni mfumo kama ulivyo utajiri hivyo ukiwa kwenye mfumo wa kimaskini utapata madili ya kimaskini tu ili uanze kupata michongo ya kitajiri sharti utoke kwenye mfumo wa kimaskini uhamie kwenye wa KITAJIRI UKIWA KWENYE MFUMO WA KIMASKINI MCHONGO PEKEE UTAOPATA NI WA KUSAMBAZA UMBEA UTAJIRI...
  4. Siri nzito za biashara hutokaa uambiwe

    Kweli kila mwenye mafanikio ana siri yake. Wale wa ' niache ajira niingie kwenye biashara' mtayaweza haya ILe tamaa ya kumuona mbona fulani anauza kuliko mimi" hujui siri ya mafanikio yake. Mtazamaji kula chuma hicho Ndo maana nikienda dukani najikuta na nunua hata vitu ambavyo...
  5. Kariakoo ni kituo cha Uchuuzi cha Kimataifa, Sio kituo cha Biashara cha Kimataifa

    Kariakoo ni sehemu ya kuchuuza vitu ya kimataifa na inapata promo kwa sababu pia tunazungukwa na nchi randlocked nyingi tunazo fanana nazo kama Burundi, Congo, Rwanda, Zambia, Malawi hizo zote ni nch za uchuuzi, za Frame Economy. Kariakoo haiwezi kuwa kituo cha Kibiashara cha kinataifa, kariakoo...
  6. Kamati ya kudumu ya bunge ya uwezeshaji taasisi za umma yaridhishwa na utendaji kazi wa benki ya TCB

    KAMATI ya kudumu ya Bunge ya uwezeshaji Taasisi za umma imeridhishwa na utendaji kazi wa Benki ya Biashara Tanzania -TCB, huku ikiielekeza benki hiyo kuendelea kutoa gawio kwa serikali kuu ili fedha hizo zitekeleze miradi mingine ya kimkakati. Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es salaam Leo na...
  7. Leverage: Namna biashara imara inavyoweza kunufaika kwa kuwekeza pesa ya ziada kwenye mali za muda mrefu

    Kwenye masuala yanayohusu mikopo, Leverage ni neno linalomaanisha ‘getting more from less’, maana yake unaweza ukawa na shilingi elfu kumi mfukoni mwako halafu ukaitumia hiyo elfu kumi yako kupata elfu kumi na mbili kutoka kwenye taasisi ya fedha kwa njia ya mkopo. Kunufaika na ‘Leverage’...
  8. Hivi siwezi kupata application kwa ajili ya kufuatilia biashara yangu ya miamala?

    Aslaam, Wakuu hivi hakuna app, au siwezi kupata application ambayo itanifanya kufuatilia biashara yangu ya MIAMALA? Nawaza kufanya biashara ya uwakala wa pesa kupitia laini za simu na bank, lakini nataka nimtumie kijana wakati mi mwenyewe nikiwa kwenye shughuli zingine za kujiongezea kipato...
  9. H

    Kwa nini Unahitaji SmartBusiness hivi sasa kwenye biashara yako?

    SmartBusiness ni program ya usimamizi wa biashara ambayo itakuwezesha kusimamia taarifa za mauzo, matumizi, manunuzi ya stock, kufahamu bidhaa zilizobaki kwenye stock, madeni ya wateja na yale unayodaiwa na suppliers, kusimamia malipo ya wateja wanaolipa kidogo kidogo n.k pamoja na kupata ripoti...
  10. Biashara nzuri ya uzalishaji isiyo ya umachinga

    Wataalam wa business naombeni ushauri wenu kwa hapa Dar es Salaam ni biashara gani nzuri ya uzalishaji naweza ifanya yani niwe mzalishaji bidhaa sio kuchuuza. Niliwaza kutenengeza pedi lakini naona mtaji wake utanishinda inabidi mzigo kuagiza utengenezwe China pia nikisema nizalishe hapa hapa...
  11. L

    Mtaalamu wa Kenya asema biashara na China imeboresha maisha ya Waafrika

    Biashara inayokua kati ya nchi za Afrika na China katika miaka 15 iliyopita imetumika kama kichocheo cha ajira na kuinua kiwango cha maisha katika bara la Afrika. Katika mahojiano na Shirika la Habari la China Xinhua, Profesa Xn iraki wa Chuo Kikuu cha Nairobi nchini Kenya amesisitiza nafasi...
  12. Nina kiasi cha shilingi milioni 3. Nataka nifungue sehemu ya chips, kuku, mishkaki, Je mtaji unatosha?

    Nina kiasi cha shilingi milioni 3. Nataka nifungue sehem ya chips , kuku, mishkaki samaki juice na vinywaji sio vilevi. Naombeni ushauri kuhusu mtaji huo unatosha? Na vipi Faida na changamoto zake
  13. Benki ya Biashara Tanzania (TCB), yazindua bidhaa ya LIPA POPOTE ili kurahisisha miamala kwa wajasiriamali wadogo na wa kati (SMEs)

    Dar es Salaam, Benki ya Biashara Tanzania (TCB), yazindua bidhaa ya LIPA POPOTE ili kurahisisha miamala kwa wajasiriamali wadogo na wa kati (SMEs) na wamiliki wa biashara Benki ya Biashara Tanzania (TCB) inajivunia kutangaza uzinduzi wa bidhaa ya LIPA POPOTE, suluhisho la malipo lililobuniwa...
  14. Sengerema: Polisi awanasa wanafunzi wa kifanya biashara muda wa masomo

    Ujira kwa watoto bado upo, na hii inasababishwa na hali duni ya familia zao ambapo inabidi waingie nao mtaani kujitafutia riziki wakale wao na famila zao. ==================== Baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi Sengerema na Mwamondi zilizopo kata ya Dutwa wilayani Bariadi wamekutwa na...
  15. Kuna faida mnaofanya matangazo ya biashara na tiktokers wa Tanzania

    Jamani tupeane uzoefu. Mara nyingi natumia Instagram na YouTube kutangaza biashara yangu, lakini nataka kuongeza njia mpya za kufanya matangazo. Nimejaribu kuwasiliana na TikTokers kadhaa wa Bongo, lakini bei zao ni kubwa. Mfano, Kiredio aliomba milioni 6 kwa matangazo manne, na wengine wanadai...
  16. Kama unafanya biashara au deals Dar zenye thamani ya kuanzia milioni 5 kwa move moja basi usipokee cash, tumia bank au cheque

    Kuna pesa za kiganga zinazagaa sana humu mjini. Mtu unalipwa unashangaa hio hela hata umeitumiaje. Hela inakuja na majini, ukiipata tu unapata wenge mara utatumia huku mara kule ghafla imeisha kumbe umewarudishia wenyewe bila kujua. Ndugu usipokee cash kwa zaidi ya 5m, mwambie akuwekee bank...
  17. M

    Plot4sale

  18. Kunusuru uharibifu miundombinu ya umma; Serikali isitishe biashara ya chuma chakavu

    BIASHARA ya vyuma chakavu imeenea karibu kila kona ya nchi, watu wanajitafutia riziki kwa kutafuta vyuma hivyo, kuvikusanya na kwenda kuviuza ili wajipatie fedha kwa ajili ya matumizi yao ya kila siku. Hata hivyo, ninadhani biashara hiyo inapaswa kumulikwa, kwani baadhi ya watu wanaokusanya...
  19. G

    Biashara hizi zimefunguliwa na wengi lakini wachache sana wameweza kudumu

    1. Night Club 2. Baa 3. Mabasi ya mikoani 4. Kumbi za kukodisha
  20. A

    DOKEZO Fundi Ujenzi afariki dunia kwa kukosa Huduma ya Kwanza ndani ya Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Biashara cha Afrika Mashariki – EACLC, Ubungo

    Hivi karibuni fundi ujenzi ameanguka ndani ya EACLC, Wachina wagoma kumpatia huduma ya kwanza akataliwa na mabosi zake wa kampuni za Kichina, afariki akiwa njiani kuelekea hospitalini mwili wake wasafirishwa na kuzikwa kimya kimya kwao Tabora. Katika miradi mingi ya ujenzi iliyopo hapa nchini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…