biashara

  1. JamiiForums Tanzania Agiza kitu chochote kupitia kwetu, utalipia baada ya kupokea mzigo

    Unaweza kuagiza bidhaa zako bila kutangulia hata mia,utalipia bidhaa zako baada ya kuziona kwa macho yako. 1.Tumelenga Makundi ya watu wafuatao: Wajasiriamali. Watu Binafs. Wafanya Biashara Wakati. Wafanya Biashara Wakubwa. Wakandalasi Wafanyakazi Kada Zote. 2.Wapi Unaweza Kuagiza Bidhaa...
  2. JamiiForums Tanzania Je, unatafuta ushauri wa biashara? Moms consulting iko tayari kukuhudumia

    Moms consulting, tunafurahi kuwahudumia na kuwakaribisha kwa huduma zetu za Uhasibu(Accountancy), Kodi(Tax), Ukaguzi(Audit), Uwezeshaji wa Biashara (Business facilitation), ufuataji wa sheria za Biashara(Business compliance), Kuanzisha Biashara na taasisi zisizo za kifaida (Business and Not for...
  3. JamiiForums Tanzania Biashara yenye pesa nyingi na faida kubwa kama kuuza majeneza na marashi yake.

    Uwezi kupewa siri sababu inataka watu waliozoea misiba sana. Bei ya chini jeneza sikosei ni laki na kitu mpaka milioni. Linapotokea swala la msiba wengi huwa hawataki kuuliza mara mbili kuhusu bajeti ya mazishi sababu wapo kwenye majonzi. Kwa haraka haraka wauza majeneza hawakadiliwi kodi na...
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutafuta wateja, kwa freelancers, wafanyabiashara, agency owners, watoa huduma na biashara yoyote inayotegemea watu kuuza

    Jinsi ya kutafuta wateja, kwa freelancers, wafanyabiashara, agency owners, watoa huduma na biashara yoyote inayotegemea watu kuuza. Nitaeleze Jinsi ya 👉Kuwafikia / kukusanya watu wengi 👉Kubadirisha watu kuwa wateja 👉Kuwafanya wateja walete wenzao Tuanze na jinsi ya kuwafikia na kukusanya watu...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Biashara ya rehamu(welding electrode)

    Habari wakuu. Naomba kujua hizi rehamu /welding electrode (sticks za kuchomelea) zinazotoka China ambazo Ni E6013 2.5mm ,maarufu Kama gauge12 naweza zipata wapi kwa Bei ya jumla ambayo wanauziwa watu wa hardware. Nahtaji kufanya supply sehemu Ila sjajua exactly Bei wanayouziwa wao Ila Bei zao...
  6. JamiiForums Tanzania Mambo 15 ya kufanya ili usipigwe bei kwenye biashara

    Habari Wana JF! Mambo vipi ndugu zangu wa Jamiiforums? Leo nimeamua kuwaletea somo la biashara ambalo naamini wengi wetu tumewahi kulia machozi kwa kulipia bidhaa au huduma kwa bei isiyo halali. Kama kuna siku nilipigwa hadi nikatamani nisirudi nyumbani, basi ni ile siku niliyoenda Kariakoo...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo yaridhishwa kasi ya Ujenzi wa mwalo wa Chato Beach mkoani Geita ukifikia asilimia 91

    Ujenzi wa mwalo wa Chato Beach uliopo mkoani Geita umefikia asilimia 91 huku Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo ikisema imeridhishwa na kasi ya ujenzi wa mwalo huo. Mwenyekiti wa kamati hiyo, Deodatus Mwanyika amesema mkandarasi aliyejenga mwalo huo anastahili kupewa kazi...
  8. JamiiForums Tanzania Nahitaji Partner wa kufanya naye biashara.

    Habari wakuu. Mimi ni Dalali wa mavitu yote lakini nipo na wazo ambalo hili ni Kwa wale Risk Taker kama Mimi. Nahitaji mtu mmoja awe mwanaume au mwanamke ambaye yupo tayari Kwa huu mpango wangu. Nipigie simu tuongee vizuri mkuu. 0754693556
  9. JamiiForums Tanzania Zifahamu Sababu Tano Kwanini Utumie Google Workspace Kuendesha Biashara Zako

    Google Workspace, zamani ikijulikana kama G Suite, ni seti ya zana za kidijitali zilizotengenezwa na Google kwa ajili ya kuboresha usimamizi wa biashara na taasisi. Ikiwa unatafuta njia ya kufanya kazi kwa ufanisi zaidi, kushirikiana kwa urahisi, na kuokoa gharama, Google Workspace ni suluhisho...
  10. JamiiForums Tanzania Sababu Tano Kwanini Utumie Google Workspace Kuendesha Biashara Zako

    Google Workspace, zamani ikijulikana kama G Suite, ni seti ya zana za kidijitali zilizotengenezwa na Google kwa ajili ya kuboresha usimamizi wa biashara na taasisi. Ikiwa unatafuta njia ya kufanya kazi kwa ufanisi zaidi, kushirikiana kwa urahisi, na kuokoa gharama, Google Workspace ni suluhisho...
  11. JamiiForums Tanzania Google Workspace ni Nini na Jinsi Inavyoweza Kubadili Biashara Yako

    Unapoteza Pesa na Muda Bila Kujua? Huu Ndio Suluhisho! Katika dunia ya kisasa ya kidigitali, biashara na taasisi nyingi bado zinatumia mbinu za zamani za mawasiliano na uhifadhi wa taarifa. Barua pepe zinapotea, mafaili yanapoteza usahihi kutokana na mabadiliko yasiyoeleweka, na mikutano...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Godown langu jirani kaziba njia yakuingilia,je nilifanyie biashara Gani ya uzalishaji mdogo

    Nifanye biashara Gani kwa hili godwn langu ambalo mlango mkuu wakuingil a jorani amejenga ukuta ambao siwezi kuingiza gari kubwa na hata bajaji,nipeni mawazo nilifanyie biashara Gani ambayo haitaruhusu gari kubwa na ndogo zamizigo kuingia Au nifungue kiwanda Gani kidogo
  13. JamiiForums Tanzania Watanzania Matajiri na wafanya biashara wakubwa ni maskini na ukitaka kujua kuwa ni maskini ingia kwenye hizo sehemu mbili

    Ushindani wa Tanzania ni kimaskini sana. Yani leo usije kusikia matajiri wanatoa pesa kukusanya mawazo ili ushinde pesa ambzao wazime wazo au kulichukua wazo. Wengi wamekuwa wakifitiniana ili kujilinda na umaskini wao japo mnawaona kuwa kama kichwa cha habari. Wengi wapo kupigana na wewe.
  14. JamiiForums Tanzania Mafunzo ya Ujasiriamali na Uendeshaji wa Biashara Kimataifa kwa Wanadiaspora wa Visiwa vya Comoro

    Mafunzo ya Ujasiriamali na Uendeshaji wa Biashara Kimataifa kwa Wanadiaspora wa Visiwa vya Comoro Mgeni Rasmi: Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki 📍Moroni, Comoro 📅 14-16 Machi, 2025
  15. JamiiForums Tanzania Tabia ya kuwatishia matajiri na wafanyabiashara ijaanza leo wakiwa upande wa vyama pinzani

    Kama mnakumbuka:Hiki kisa cha Katika miaka ya 1990, kulikuwa na tukio ambapo serikali ya Tanzania ilimwaga shehena ya ngano na unga wa ngano wa mfanyabiashara maarufu, Said Salim Bakhresa, ikidai kuwa bidhaa hizo hazikukidhi viwango vya ubora vinavyohitajika kuingizwa nchini. Kutokana na hatua...
  16. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wekeni bei za bidhaa na huduma zenu kwenye matangazo yenu ya biashara

    Katika ulimwengu wa biashara wa kisasa, matangazo ya bidhaa na huduma ni moja ya njia bora za kuvutia wateja na kujitangaza. Hata hivyo, kuna mwelekeo mbaya unaozidi kuonekana miongoni mwa wajasiriamali na wamiliki wa biashara ambapo wanatangaza bidhaa na huduma zao, lakini hawaweki wazi kuhusu...
  17. JamiiForums Tanzania Mungu ulikuwa wapi wakati wa biashara ya utumwa?

    Habari wana JF Ni muda mrefu nimekuwa najiuliza maswali mengi sana kuhusu uwepo wa Mungu lakini kuhusu masimulizi yanayo elezea matendo yake mazuri na huruma kuu Kwa viumbe wake. Mungu kupitia wajumbe wake hapa duniani na maandiko yanadai Mungu ni mwema na mwenye huruma sana lakini ukitafakari...
  18. JamiiForums Tanzania Kuanzisha chuo chenye wakufunzi waliojiajiri kwenye biashara

    Nimeandika andiko kwa ajili ya kutafuta hela za ujenzi wa chuo kikuu matata, ambacho kitakuwa kinafundisha mambo ya biashara kuanzia ngazi ya cheti mpaka PhD. Katika andiko hilo, nimependekeza walimu wawe wale wote waliojiajiri na kufanikiwa katika biashara zao au viwanda vyao, wakiwemo...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kariakoo ni kitovu cha nchi ya Tanzania kibiashara lakini uhuni ni mwingi bado

    Wamekuwa wakitusaidia kupata vitu kwa bei nafuu lakini pia wamekuja na ubunifu mwingine wa usafirishaji kwa njia inayoitwa CARGO ni nzuri na ya haraka.. Pia wanajitahidi kiuaminifu kwa asilimia kubwa sasa, hela inakuwa ktk eneo salama Ila dosari ipo kwenye utumaji wa mzigo hasa watu wa mikoani...
  20. JamiiForums Tanzania Biashara za Mo ngumu mpaka ameamua kuwa wakala wa bidhaa za wenzake sasa

    Ukiacha Mo extra ni bidhaa gani inafanya vizuri sokoni kwa sasa? Baada ya hali kuwa ngumu ameamua kuwa wakala wa.... 1. Boxer, bajaji 2. Betri 3. Nyembe za Dorcco. Kinachosikitisha zaidi huenda uwakilishi wake kwenye bidhaa hizo pia ukawa mgumu, kama ubora utabadilishwa. My take. mo ajiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…