biashara

  1. JamiiForums Tanzania Biashara unazoweza kufanya maeneo ya uswahilini

    BIASHARA UNAZOWEZA KUFANYA UKIWA USWAHILINI Idadi kubwa ya watu wanaoishi uswahili hushinda nyumbani muda mwingi, shughuli zao nyingi si rasmi, wengi wanajihusisha na biashara ndogo ndogo na kazi za kipato cha kawaida. . kutokana na wingi wao, hili ni eneo ambalo unaweza kuweka biashara ukauza...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo

    Guys, habari, ni mgeni kwenye hii familia nimejiunga JamiiForums baada ya kuwa nasoma ideas zenye mantiki bila kuwasilisha mine, Quick discussion, Nina million 4 nataka nianzishe biashara ya kuuza nguo za kikee (kwenye frame) Naomba kujua changamoto na how to start maana Sina hata uhakika kama...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Anayetafta haya Madini (Mawe) aje inbox tufanye biashara. Yapo ya Kila Rangi (Dodoma Mowapwa - Mtera)

    Habari Wana jukwaa. Nina haya Mawe mengi sana kwenye Shamba langu. Yapo Rangi nyeupe kabisa, Meusi mfano Kama chuma, yapo ya Blue, na Rangi zingine. Pia eneo Lina Mawe ya chokaa kwa ambaye anahitaji kutengeneza mgodi wa chokaa. Ukichimba kidogo Kuna traces za Copper ambayo Iko Kama dhahabu...
  4. JamiiForums Tanzania Tumia hizi 48 Laws of power katika biashara yako

    1. Never outshine your client Mfanye mteja wako aone bidhaa au biashara yako ipo kwa ajili yake. Asione kama anakupatia pesa yake bali ajione atapata faida kubwa sana kulinganisha na huduma anayoipata. Tunafanya hivi kwa kutoa huduma katika mfumo wa packages ili mteja aone amepata vitu vingi...
  5. JamiiForums Tanzania Kafara Katika Kuvuta Wateja Katika Biashara Yako

    Katika mfumo wa maisha tunayoishi, imejengwa misingi kwamba, wengi wawe masikini na matajiri wachache. Kwa hivyo, kama upo kundi la umasikini, kutoka humo siyo kazi nyepesi, ni lazima uzijue kanuni za kiulimwengu. Kuanzisha biashara ni jambo jepesi kupata wateja ni jambo gumu. Wateja wengi ni...
  6. JamiiForums Tanzania UDSM yaingia mkataba kujenga kituo kikubwa cha biashara zaidi ya Mlimani City

    Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Chasaini Mkataba Mkubwa kwa Mradi wa Kituo cha Biashara cha Hill Park Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwa kushirikiana na Watumishi Housing Investments kimesaini rasmi mkataba wa TZS bilioni 8.5 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa ndoto wa Hill Park Business...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Utekaji ni biashara tusishangae IGP kuwa Billionea kwa muda mfupi

    Kwa walio onyeshwa account ya IGP ya CRDB yenye zaidi ya billion moja wakati Polisi wenzake wakiwa maskini msishangae. Pesa nyingi sasa zinatumika kwa kubana wapinzani na uhuru. Ili kufanikisha hayo hawa viongozi wa usalama wanamiradi ya kipigaji isiyo na mbele wala nyuma. Kwa ufupi hii...
  8. JamiiForums Tanzania Wewe / Jamaa yako anafanya biashara / kazi ipi inayomuwezesha kumudu maisha?

    Huenda ukawa ni wewe, ama ukawa hutaki kuwa wewe, let say jamaa yako (kwa ME) ama shosti wako (kwa KE), anafanya biashara gani inayomuwezesha kumudu familia? How such business is running? Changamoto je? Mtaji? Tusaidizane mawazo kwa kuwa sisi sote tu watoto wa Mama mmoja, Mama yetu mpendwa...
  9. JamiiForums Tanzania Changamoto sio kufanya biashara, changamoto ni masoko

    Kufanya biashara sio issue ngumu sana, wala sio issue nzito issue inakuja moja ni masoko, unaweza kufungua duka la phone and accesories lakini ukakosa wateja, unaweza ukafungua biashara yoyote ile, iwe nafaka au chochote kile, simply ukakosa wateja, watu wanajazana kwa waganga sio kwamba hawana...
  10. JamiiForums Tanzania Faida ya Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB) kabla ya kodi ilipanda kwa asilimia 201 hadi kufikia shilingi bilioni 44.81 mwaka 2024

    IMEELEZWA a kuwa Faida ya Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB) kabla ya kodi ilipanda kwa asilimia 201 hadi kufikia shilingi bilioni 44.81 mwaka 2024, kutoka hasara ya shilingi bilioni 44.42 mwaka 2023, huku faida baada ya kodi ikiongezeka kwa asilimia 170 hadi shilingi bilioni 32.62 kutoka...
  11. JamiiForums Tanzania Naweza kuwa Wakala wa Gasi za kupikia kwa mtaji huu?

    Wakuu kwema? Samahani wakuu. Mimi Nina mtaji wa 3M naweza kuwa wakala wa kuuza gas za kupikia majumbani na kwenye biashara ndogo ndogo. Utaratibu wake upoje? Na bei zake zinaendaje? Naomba kufahamu kutoka kwenu wenye uweledi na uzoefu juu ya biashara hii. Natanguliza shukran za dhati kwenu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Bila hesabu biashara yako itakufa

    Jacob alikuwa mvulana mwenye hamu kubwa ya kufanikiwa. Aliamua kuanzisha biashara ndogo ya kuuza viazi karo kwenye mtaa wa jiji. Kwa bidii, alinunua viazi, kukaanga, na kuanza kuuza kwa shilingi mia moja kwa kila kikapu. Lakini Jacob hakupenda hesabu. Alidhani kuwa biashara ni kuuza tu na...
  13. JamiiForums Tanzania Ufugaji wa mbuni biashara yenye kuzidi kitowewo cha ng’ombe na mbuzi.

    Ufugaji wa mbuni (Ostrich farming) ni aina ya kilimo cha kisasa kinachokuwa kwa kasi katika maeneo mengi duniani, ikiwa ni pamoja na baadhi ya maeneo ya Afrika Mashariki kama Tanzania, Kenya, na Uganda. Mbuni ni ndege mkubwa kuliko wote duniani, ambaye huliwa nyama yake, hutumika kwa manyoya...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji supplier wa vifaa vya Ujenzi na Hardware

    Habari wadau wa jukwaa hili. Mimi ni kijana na mfanyabiashara wa vifaa vya ujenzi niko Dar wilaya ya Kigamboni. Biashara hii nimeianza miezi miwili iliyopita, changamoto niliyonayo ni mtaji mdogo (nimeweka Tsh 9mil ukiachana na gharama za kodi, shelves na matengenezo mengine madogo madogo)...
  15. JamiiForums Tanzania Je Umeshaanzisha Biashara yako?

    Wasiliana nasi ili upate huduma saidizi za kuanzisha biashara ambazo zinahusisha Masuala yote ya msingi kwa ajili ya kuanzisha kampuni ikiwamo: Kusajili Biashara yako BRELA, TRA, LESENI, na VIBALI Vingine Kusajili katika mfumo wa NEST pamoja na kuomba tender za serikali Kufungua Akaunti Bank...
  16. JamiiForums Tanzania Keki na vitafunwa

    kwa mtu anaeanza biashar ya keki ni nini anatakiwa kufanya, naomba msaada tutani
  17. JamiiForums Tanzania Nadhani Watanzania wote mmeshajua wapi Mbowe alikuwa akitoa hela za kuisapoti CHADEMA

    Kuna watu wenye akili ndogo mlikuwa mnasema Mbowe anaisapoti Chadema kupitia hela zake za Biashara . Ila Lissu alihoji je ikiwa Ana hela za biashara ni biashara gani hizp ambazo hazina jina. Ni vichekesho Sana wakuu nadhani mmeshajua aina gani ya biashara alikuwa anaifanya na wapi alikuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kauli ya sina mtaji wa biashara ni dhana potofu

    Kuna wengi sana hawafanyi Biashara kwa sababu wanadhani kwamba tatizo lao ni kwamba hawana MTAJI. Utamsikia mtu anasema nikipata Mil 10, Au nikipata Mil 100 au nikipata laki 5 nitabadilisha maisha yangu oabisa. Huko ni kutokujua. Hakuna kitu kama hicho. Hatuhitaji MTAJI mkubwa Bali UNAHITAJI...
  19. JamiiForums Tanzania Live from Four Points by Sheraton DSM: Uzinduzi wa Muongozo Mpya wa Huduma Biashara za Sekta wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC)

    Wanabodi Niko hapa hoteli ya Four Points by Sheraton jijini DSM kuwaletea uzinduzi wa muongozo mpya wa ufanyaji biashara wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) ili Kurasimisha Biashara Ndogo Ndogo na Biashara ZIsizo Rasmi za Sekta Binafsi. Karibuni Paskali
  20. JamiiForums Tanzania Biashara ya foreign exchange faida inapatikanaje?

    Naomba kuuliza hatua za kufuata kufungua bureau de change na je kama investor kwenye hio biashara napataje faida au wenye bureau de change wanapataje faida. Natanguliza shukrani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…