biashara

  1. M

    Gavana wameachia update mpya?

    Siku ya jana nilikuwa na install windows na baada ku-download gavana kwenye stats nimekutana na view kama hii je na nyie mmekutana na kitu kama hiki pia kwenye sehemu ya wadaiwa na wadeni kuna mabadiliko Gavana
  2. Kama hizi biashara zingekuwa na mdomo,basi zingezungumza kwamba binadamu ni mnafiki sana

    Katika maisha ndio hivyo kuna vitu haviwezi kuzungumza tu,ila laiti vingepata nafasi basi vingezungumza:_ 1:SIGARA Hii ni moja ya biashara kubwa kila pembe ya Dunia,huvutwa na watu tofauti tofauti,wake kwa waume,wazee kwa vijana. Pamoja na kutoa huduma kwa jamii hiyo lakini imekuwa biashara ya...
  3. B

    Vibanda vya mbao (board) kwa wafanyabiashara biashara

    Vibanda vya mbao(board) tunatengeneza Kisha tunapga stika hapo maji yanateleza tu na linapendeza sanaaaaa Aya wafanya biashara nipeni kaz maboss zangu.. 0692477610 Bei hutegemea na ukubwa unaotaka boss inaanzia laki 8.. Milion 1 na laki 8 na Milion 2 na nusu
  4. J

    Maelezo Muhimu kuhusu Biasahara ya Pikipiki

    Habari za wakati huu ndugu, nawasalimu! Somo la Biashara ya spea linaonekana limekaa vizuri. Kuna mambo matatu tu leo naomba niwajulishe; 1. Elimu inayotolewa mtandaoni ni msaada, ukitaka ziada kama kukutana, kuongea kwa simu au kuchati private kwa undani zaidi kuhusu biashara ya spea za...
  5. M

    Biashara ina uhuru na inatajirisha lakini watoto wetu tunawaombea waje kuajiriwa wavae na tai, stress za biashara si mchezo

    Hatuwazungumzii wale wafanyabiashara waliopo angani na helikopta zao, hao ni kwenye ligi ya mbali kabisa. Tunazungumzia kundi kubwa la wafanyabiashara wenye maduka, walioko mtaani, masokoni, n.k. ni pirika-pirika Kuamka alfajiri kurudi usiku daily labda ujipe ka off jumapili Hatuzijui sikukuu...
  6. I

    Usalama wa watembea kwa miguu na wachuuzi wa biashara Mbagala rangi 3; Mamlaka zipo likizo?

    Hali ya usalama wa watembea kwa miguu ni changamoto hasa kutokana na wafanyabiashara ndogondogo kufanya biashara zao katika njia za watembea kwa miguu. Hii imefanya watembea kwa miguu kupita pembezoni mwa barabara. Hali inayopelekea usalama wao kuwa mashakani. Kinachoshangaza zaidi...
  7. L

    Sera ya ‘Kugeuza msaada kuwa biashara’ inaficha mikakati mitatu ya Marekani

    Gazeti la The Washington Post limechapisha makala ikisema, sera ya ushuru ya Marekani inasababisha ‘hali ya maafa’ barani Afrika. Kutoka sekta ya nguo nchini Lesotho, tasnia ya sanaa nchini Tunisia, hadi viwanda vya utengenezaji magari Afrika Kusini, hakuna nchi au sekta yoyote inayonusurika...
  8. B

    Kufa kwa biashara ya tuition nchini Tanzania kuna ashiria nini?

    Ni kwamba elimu ya Tanzania ( shule za sekondari) imeshuka thamani au wazazi sasa hawana tena Imani na elimu ya sekondari? Walio fungua mabanda ya tuition naona wanazidi kufunga tu. Ni me tembelea kibaha kuna taasisi ya inafundisha tuition bure kabisa ( sekondari) lakini si wanafunzi wala...
  9. M

    Biashara ina uhuru na inatajirisha lakini watoto wetu tunawaombea mje kuajiriwa tu, stress za biashara kichwa chaweza lipuka

    Hatuwazungumzii wafanyabiashara wenye helikopta zao hao ni level nyingine, tunajizungumzia kundi kubwa la wafanyabiashara ambao maisha yetu yamekuwa ni pirika pirika. kuna muda unaweza piga mshindo ila kuna muda soko likikugeukia utaimba, Kuamka alfajiri kurudi usiku daily labda ujipe ka off...
  10. K

    Natafuta Frame ya biashara Mwanza

    Habari za wakati huu natafuta frame ya biashara mwanza mjini ambayo kodi yake haitazidi 200,000 kwa mwezi. Je naweza kupata maeneo gani?
  11. 10m capital/mtaji -Mpango wa mradi wa ufugaji wa nguruwe na biashara ya butcher

    Jumla ya Bajeti: Tsh 10,000,000 1. Malengo ya Mradi 1. Kufuga nguruwe wa kisasa kwa ajili ya kuzalisha na kuuza nyama. 2. Kuongeza mtaji wa butcher ili kuongeza mzunguko wa mauzo. 3. Kujenga uthabiti wa kifedha wa familia kupitia kipato cha kilasiku (Butcher) na cha muda mrefu (Ufugaji). 2...
  12. P

    Tumia aina hizi za Testimonial/Shuhuda kuuza zaidi, unapotengeneza maudhui kuhusu biashara yako

    Ushuhuda wa Takwimu Onesha namba, idadi ya watu wanaotumia bidhaa au huduma yako Takwimu huongeza uaminifu kwa watu kama namba zikiwa nyingi Mfano: Zaidi ya watu 5,000 tayari wanatumia huduma hii kila siku Ushuhuda wa Matokeo ya Bidhaa yako Hapa tengeneza content za kuonyesha matokeo halisi...
  13. Biashara ya spare za pikipiki vs biashara ya vipodozi

    Habari wakuu.. ni ipi biashara nzuri zaidi Kati ya spea za bodaboda au vipodozi kwenye mji unaonza kuchangamka...hasa maeneo kama ya kibaha kwa Mathias..mtaji kiasi gani tunaweza kuwa mzuri kwa hizo biashara pamoja na changa moto zake...naombeni msaada hapo
  14. Huduma za Graphics Designing. Tuwasiliane kama unahitaji huduma hizi kwa ajili ya biashara na matangazo.

    1. Uandaaji wa logo ya kampuni, biashara au huduma, lebo za bidhaa mbalimbali na muonekano wa vifungashio. 2. Uandaaji wa matangazo ya aina mbali mbali kwa ajili ya huduma, bidhaa au biashara yako. 3. Uandaaji wa tovuti kwa ajili ya biashara, huduma au bidhaa ulizo nazo. 4. Uandaaji na usimamizi...
  15. Mchakato wa biashara ya kupeleka Mchele Kenya na Uganda upoje?

    Niko mkoani Mwanza, nina kama tani 200 za mchele, kwa sasa ninafanya biashara ya kawaida hapa hapa Mwanza Ninahitaji kupanua soko langu na kuanza kusafirisha kupeleka nchi jirani. Ninaomba iwapo yupo mdau ambae ana uzoefu na biashara hiyo anisaidie mchakato mzima kuanzia vibali na namna ya...
  16. N

    Fahamu Domain ni nini na inavyotumika kwenye biashara yako

    Domain ni nini? Domain ni jina la kipekee linalotambulisha tovuti yako kwenye mtandao. Kwa mfano, katika anwani ya tovuti www.google.com, sehemu ya google.com ndiyo domain. Badala ya kukumbuka namba ngumu (IP address), domain hukupa jina rahisi linaloendana na biashara yako. Kwa nini domain ni...
  17. R

    kiwanja kinauzwa manyoni

    Kiwanja kinauzwa manyoni majengo satelite city sqm 1039. Makazi na biashara. Bei 3,000,000. Maongezi yapo
  18. Biashara kama ya kuuza shuka unasubiri mpaka mtu awe anaanza maisha

    Mtu mzima akianza kuishi gheto au kwake ananunua shuka mara moja Tu hizo labda mpaka Miaka mitatu ndo aongeze nyingine hio biashara kichaa sasa yaani mpaka usubiri mtu aje kuanza kazi mkoani kwako
  19. Forex: Biashara ya Uchumi, Sio Betting

    Mara nyingi ukizungumza na watu kuhusu forex trading, utakuta baadhi wanakimbilia kusema: “Forex ni betting tu, ni kubahatisha.” Lakini wakipewa nafasi ya kuelezea kuhusu uchumi wao binafsi au hata kuelewa mabadiliko ya pesa zao kwa sababu ya mfumuko wa bei, wengi hushindwa kujibu zaidi ya...
  20. M

    Hali ya biashara imekuwa mbaya kiasi gani mpaka kuna makampuni yanapumulia mashine kwa kuajiri interns wa kujitolea ?

    Kuna kampuni waajiriwa wake karibia wote ni interns wale wa kujitolea bure au posho ya laki wakiwa na matumaini ya kuajiriwa siku moja. Lakini ahadi hizo huwa ni maneno tu, wakizichoka na kuondoka ni kitendo cha kufumba na kufumbua wengine wanakuja kujaza nafasi zao kana kwamba hakuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…