betri

  1. Mama Debora

    JamiiForums Tanzania Njia gani simple ya kuzuia ule unga kwenye terminals za betri ya gari?

    Jana nilipaki gari yangu mahali kama dakika tano hivi nikashuka kununua matunda. Kurudi nawasha gari inatoa mlio krrrrr lakini starter haipigi. Kifupi haikuwaka. Hangaika sana pale. Nikasema si nilikua naiendesha sasa hivi? What happened... Nikashuka nikafungua boneti, nikachek Coolant ipo ya...
  2. FrankLutazamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ugunduzi 2020: Badala ya simu moja au computer moja kuwa na betri moja sasa ziwe mbili au tatu ikiisha moja inaanza nyingine

    Nimewaza na kuligundua hili simu ikiwa na betri mbili au tatu zilizopunguzwa ukubwa ili zitoshe itakuwa safi hata wakigundua betri inayokaa siku nzima lakini zikiwa tatu maana yake ni siku tatu. Wanasheria nisaidieni ugunduzi wangu kampuni itayoanza kuzalisha wanigaie kiasi iwe...
  3. GANG MO

    JamiiForums Tanzania Wadau, wapi nitapata betri orijino ya Galaxy J2 Pro

    habari ya wakati huu wadau. ninatumia Samsung J2 Pro kwa miaka mitatu sasa. lakini sasa betri yake imechoka. ikiwa na asilimia 30 simu inazima pia betri yake imevimba. Naombeni mnijuze wapi naweza pata betry yake orijino. nipo Iringa. Natanguliza shukrani
  4. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali ya Tanzania ichimbe mafuta yake kabla teknolojia ya kutumia maji, solar na gesi kweye magari hazijafika

    Nina hofu kuwa mafuta yatashuka thamani siku si nyingi hivyo tungechangamka kuchimba mafuta yanayosemekana yamegunduliwa katika bahari ya Hindi. Mfano baadhi ya nchi jirani wameanza kutumia gesi katika magari yao hivyo ni hatari kwa solo la mafuta. Uganda wanaanza kuchimba siku si nyingi japo...
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kifaa sahihi cha kupima uwezo wa betri za simu

    Jamani kwa anayejua ni kifaa gani kina uwezo wa kupima uwezo wa Betri za simu anifahamishe tafadharini waungwana.
  6. Nchi Kavu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kubadili betri ya simu ambalo ni non removable

    Simu yangu tecno camon cx. Betri yake non-removable 3200 mAh. Nataka niweke 5000mAh, wapi nitapata hii service?
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu betri zinazowekwa kwenye moyo ili kuwasaidia wenye matatizo ya moyo kusukuma damu mwilini

    Betri ya moyo ambayo kitabibu huitwa ‘pacemaker’ ni miongoni mwa vifaa ambavyo vimebuniwa ili kumsaidia mtu ambaye moyo wake unashindwa kuzalisha umeme wa kusukuma damu kwenda sehemu mbalimbali za mwili. Taarifa zilizopo zinabainisha kuwa, binadamu wa kwanza kunufaika na tiba hiyo, aliwekewa...
  8. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Mamaa kachomoa betri

  9. Von Bismarck

    JamiiForums Tanzania Nahitaji betri ya simu aina ya Sumsung Galaxy Mega2. Model SM: G750F

    Nahitaji betri ya simu aina ya Sumsung galax mega2. Model SM: G750F
  10. E

    JamiiForums Tanzania Msaada betri ya simu, aina: Freetel Priori 4

    Msaada.. Natafuta betri ya simu, aina ya simu: Freetel Priori 4
Back
Top Bottom