benki

Benki Birugali (Kannada: ಬೆಂಕಿ ಬಿರುಗಾಳಿ) is a 1984 Indian Kannada film, directed by Thiptur Raghu and produced by H. V. Sowbhagya. The film stars Vishnuvardhan, Shankar Nag, Jayanthi and Jayamala in the lead roles. The film has musical score by M. Ranga Rao. This movie was remake of 1968 Bengali film Apanjan.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania DOKEZO Wale wa mkopo ESS usijichanganye kuchukua mkopo Azania benki

    Hii benki imenirudisha enzi za ujima na analogy tulipokuwa tunasubiri mkopo wiki mbili mpaka tatu,yaani naenda siku ya tano, kila sehemu umetishwa na makato yameingizwa ila wao hawataki kunipa hela, watumishi wenzangu siku hizi mkopo unaweza kupata hata ndani ya masaa manne ilimradi wapitishaji...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Wazo la kukopa fedha benki

    Nina wazo la kununua gari ndogo ya kutembelea.Nataka kukopa benki ili nipate fedha za kununua gari hiyo.Natakiwa nikope kama milioni 22 .Hili wazo la kukopa fedha ili ninue gari toka japani mnalionaje ni zuri au baya.Mshahara wangu ni kama laki 600000 kwa mwezi
  3. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli gani mabinti wengi wazuri wa bar, hotel na benki hupata kazi hizo baada ya hongo ya ngono?

    Ni kweli mameneja/wakurugenzi wengi wa bar, hotel na benki hutaka kupewa ngono kwanza na mabinti kabla ya kuwapa kazi?
  4. JamiiForums Tanzania Zaituni Tembo: Kweli hatujawalipa Wakulima wa Tumbaku, kwa sasa tuna Bima ya Mkopo kutoka Benki ya NMB

    Meneja wa Chama cha Msingi cha Ushirika cha Wakulima wa Tumbaku Mpanda Kati, Zaituni Tembo amekiri kuwa hawajafanya malipo kwa Wakulima wa zao la Tumbaku ambao walijitokeza na kulalamikia chama hicho kuhusu kutowalipa kisha wakatuma ujumbe kwa Waziri wa Kilimo kuwa aliagiza walipwe lakini...
  5. JamiiForums Tanzania Faida kwa Tanzania kuwa na Benki ya DNA

    Benki ya DNA ni taasisi au mfumo unaokusanya, kuhifadhi, na kusimamia sampuli za DNA pamoja na taarifa zinazohusiana nayo kwa ajili ya matumizi ya baadaye katika utafiti, uchunguzi wa kisayansi, au madhumuni ya kitabibu na kisheria. 1. Maana kwa ufupi Ni kama “benki” ya kawaida, lakini badala...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa na Benki ya Selcom

    NYUMBA INAUZWA NA BENKI -------------------------- Benki ya Access Bank ambayo kwa sasa inafahamika kwa jina la Selcom Bank inauza nyumba ya Mteja wao kwa makubaliano maalum ili kuweza kufidia mkopo: 🇹🇿 NYUMBA IPO CHANIKA KIMWANI 📜 UMILIKI: TITLE DEED (HATI) 💼 BEI : 29m (Bei...
  7. D

    JamiiForums Tanzania PBZ wananizingua; Kuna benki yoyote inayotoa mkopo 'online' (katika ESS) ndani ya siku mbili niwakimbie hawa?!!!

    Inakaribia wiki ya tatu Sasa nahangaika na hawa tu bila mafanikio. Mara huyo fsp (financial service provider) ali'reject' na kunitaka niongeze miezi (wakati mfumo umekubali). Nafanya hivyo anareject tena ananitaka nipunguze miezi. Mnyonge Hana kususa, narekebisha na kufanya alichosema hii Sasa...
  8. JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yapongezwa kuwapa elimu ya ujasiriamali wajasiriamali wa mtandaoni

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, Albert Chalamila ameipongeza Benki ya CRDB kwa jitihada zake za kuwaelimisha wajasiriamali wa mtandaoni kuhusu fursa zilizopo na namna wanavyoweza kushirikiana na taasisi hii kubwa zaidi ya fedha nchini kujikwamua kiuchumi. Pongeza hizo zilitolewa mwishoni mwa wiki...
  9. JamiiForums Tanzania Wizi wa mtandao watikisa, benki 7 nchini zapoteza Sh bilioni 150

    DAR. Watu wanaotajwa kuwa wezi mtandaoni kutoka ndani na nje ya nchi, wameiba zaidi ya Dola za Marekani milioni 49 sawa na takribani Sh bilioni 150 kupitia mtandao wa benki kubwa saba nchini gazeti la Raia Mwema limeeleza. Tayari Serikali kupitia vyombo vya ulinzi na usalama, imekamata baadhi...
  10. JamiiForums Tanzania Nataka nikope benki niwekeze UTT

    Nimeona UTT inajadiliwa sana kuna mmoja amesema ukiwekeza mil 50 kila mwezi utapata faida ya 400k, Nataka nikope mil 50 NIWEKEZE UTT ili zile faida za 400k Kila mwezi nirejeshe benki mwisho wa siku niwe na mil 50 zangu UTT na deni nimemaliza
  11. JamiiForums Tanzania Vodacom na Stanbic Benki wametoa msaada wa kijamii kwa Halmashauri ya Mji wa Bariadi, ukiwemo wa viti mwendo, Simiyu.

    Meneja Mauzo Mwandamizi wa Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Ziwa, Straton Mchau (wa pili kushoto) pamoja na Meneja wa Benki ya Stanbic Tanzania Tawi la Mwanza Geoffrey Makondo wakikabidhi moja ya viti Mwendo 4 kwa Afisa elimu maalum - Halmashauri ya mji wa Bariadi Rutherford Magayane (kulia) na...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Nilitoa shilingi milioni 14 dirisha la benki nimekatwa elfu 2 tu kwenye statement, wamesahau makato yao au ?

    Kwenye statement ya benki naona kuna makato ya elfu 2 tu,
  13. JamiiForums Tanzania Msafara wa Twende Butiama: Vodacom Tanzania na Benki ya Stanbic Tanzania wakabidhi msaada Shule ya Msingi Mkata, Handeni

    Mkuu wa Kanda ya Kaskazini, Vodacom Tanzania PLC, George Venanty (kushoto) akimkabidhi kiti mwendo mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Mkata ambapo pia walikabidhi matundu ya choo 10, magodoro 40, vitanda 20 na viti mwendo 47 kwa shule hiyo ikiwa ni sehemu ya shughuli zinazofanywa katika...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Benki Kuu (BoT) kwa kupunguza riba za mikopo kwa watu binafsi na watumishi wa umma.

    Kwa mara ya kwanza Gavana wa BOT aamuru Mabenki yanayo toa mikopo kwa wananchi na haswa watumishi wa umma kushusha riba hadi kufikia asilimia kumi 4. Hakiki kupunguzwa kwa riba kutarahisosha ukali wa maisha kwa wananchi wengi. Benki ya NMB ambayo ndio inaongoza kutoa mikopo yenye riba kali kwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania benki zanawiri

    Rais Samia amepunguza kiasi cha Mikopo isiyolipika|Chechefu (NPL) kwenye mabenki, Kutoka 9.3% mwaka 2020 hadi 3.3% Mwaka 2025 ikiwa ni sawa na tofauti ya 6% hii inaonesha uwezo wa Serikali kuboresha mazingira ya biashara. Hadi February 2025 jumla ya faida za mabenki ya biashara makubwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kama Benki ya Dunia waliweza kufuta mkopo wa USD 150 Mil huko Ruaha, Tuwashawishi wafute na kuzuia mikopo yote mingine hadi reforms zifanyike.

    Mwezi April mwaka huu 2025, Benki ya Dunia walifuta mkopo wa kiasi cha shilingi Dola za Marekani Milioni 150 sawa na fedha za Kitanzania zaidi ya Bilioni 400 za mradi wa REGROW Mbuga ya Ruaha kutokana na hoja nzito zilizowasilishwa na Asasi za Kiraia kuhusu mradi huo kukiuka haki za binadamu...
  17. JamiiForums Tanzania Baada ya Hotuba ya leo uelekeo wetu ni kwa Benki ya Dunia na Wafadhili wote. Tunajua bila Mikopo na Misaada hamuwezi kufurukuta.

    Kwa zaidi ya asilimia 98 katika hotuba ya leo ya kufunga Bunge kuna uwezekano atatoa vijembe, atajisifu sana na kujaribu kujionesha amefanya reforms nyingi kustahili kufanya Uchaguzi wa kiini macho hapo Oktoba mwaka huu. Kwa kuwa tunajua kuwa mnaendesha nchi kwa mikopo na misaada, Baada ya...
  18. JamiiForums Tanzania Zungu: Shule ya Mfano ya Benki ya CRDB itazalisha wahitimu wenye ujuzi

    Dar es Salaam. Tarehe 23 Juni 2025: Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ambaye pia ni Mbunge wa Ilala, Mheshimiwa Mussa Zungu amesema kutokana na vifaa vya kisasa vitakavyofungwa katika Shule ya Mfano ya Benki ya CRDB basi itakapokamilika na kuanza kupokea wanafunzi itazalisha wahitimu...
  19. JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Tanzania kuuziwa 20% dhahabu inayozalishwa na Shanta, Geita Gold Mine, Buckreef Gold

    Kampuni za madini za Geita Gold Mine (GGM), Shanta na Buckreef Gold zimeingia mkataba na Benki Kuu (BoT) ya utekelezaji wa sheria ya madini inayozitaka kampuni binafsi za uchimbaji madini kuiuzia BoT dhahabu inayozalishwa na kampuni hizo kwa kiwango kisichopungua asilimia 20. Mikataba hiyo...
  20. JamiiForums Tanzania Benki ya Exim yafanya Kampeni ya uchangiaji Damu nchi nzima kuimarisha sekta ya Afya

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Dar es Salaam: KATIKA kuendelea kudhihirisha dhamira yake ya muda mrefu katika kuimarisha afya ya umma, Benki ya Exim Tanzania, kwa kushirikiana na Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS), imefanikisha kampeni ya nchi nzima ya uchangiaji damu. Zoezi hili muhimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…