benki

Benki Birugali (Kannada: ಬೆಂಕಿ ಬಿರುಗಾಳಿ) is a 1984 Indian Kannada film, directed by Thiptur Raghu and produced by H. V. Sowbhagya. The film stars Vishnuvardhan, Shankar Nag, Jayanthi and Jayamala in the lead roles. The film has musical score by M. Ranga Rao. This movie was remake of 1968 Bengali film Apanjan.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ateta na Rais wa benki ya AfDB

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya mazungumzo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Sidi Ould Tah kando ya Mkutano wa 61 wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika unaofanyika leo Jumanne Mei 26, 2026 katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kintele...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini bado unajaza mamilioni benki wakati kuna USDT na other stable coins?

    Wakuu salama. Kuna mada naona inabidi tuichambue kwa jicho la kisomi kidogo, hasa kuhusu jinsi tunavyouza jasho letu wenyewe kwa kuziachia benki za kiasili zishikilie akiba zetu za muda mrefu. Ukiweka akiba ya Shilingi benki leo, kiuchumi unakutana na vitu viwili vinavyokula mtaji wako kimya...
  3. X

    JamiiForums Tanzania Je, ulijua kati ya Benki 5 kubwa duniani 4 ni za China? Benki za Marekani zikifuata nyuma ya China

    The top 5 largest banks world largest banks by assets: 1. Industrial and Commercial Bank of China (ICBC) | China Assets: $7.30 trillion 2. Agricultural Bank of China | China Assets: $6.80 trillion 3. China Construction Bank | China Assets: $6.20trillion 4. Bank of China | China...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hiki wanachofanya benki ya CRDB ni unyanga'nyi wa peza za watu

    Takriban mwezi mmoja umepita nilinunua umeme wa Shiling 50,000 kwa kutuia APP ya simbanking. Nilisubiri kutumiwa token zangu za Luku akini sikuzipata. Kesho yake niliwapigia sim Tanesco nikidhani tatizo lipo upande wao lakini wakanihakkishia kwamba crdb hawaja 'generate' token. Nikachukua...
  5. JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yadhamini Mei Mosi 2026, yashiriki kikamilifu

    Na Mwandishi Wetu Njombe. CRDB Bank Plc imeendelea kuonesha dhamira yake ya kuunga mkono wafanyakazi na maendeleo ya taifa kwa kudhamini na kushiriki kikamilifu maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani kwa mwaka 2026 yaliyofanyika kitaifa mkoani Njombe. Maadhimisho hayo yameongozwa na Rais...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Hatma ya mkopo wa Benki baada ya mkopaji kufariki

    Je, nikiwa nimekopa Mkopo katika Benki yoyote nchini Tanzania (NMB as case study) alafu kabla sijamaliza kulipa Mkopo huo, Nikafariki. Je, Mkopo huo bado utatakiwa kulipwa ? Kama ni ndio, je ni nani atawajibika kulipa ? Naomba Ufafanuzi pamoja na msimamo wa Sheria katika jambo hilo
  7. JamiiForums Tanzania Angalia salio lako kwenye benki ya kijani

    Wameondoka na sh ngapi kwenye account yako?
  8. JamiiForums Tanzania Marekani imekubali kuachilia mali za Iran zilizozuiliwa zilizoshikiliwa Qatar na benki zingine za kigeni, chanzo kikuu cha Iran kiliambia Reuters

    Wanaukumbi. Marekani imekubali kuachilia mali za Iran zilizozuiliwa zilizoshikiliwa Qatar na benki zingine za kigeni, chanzo kikuu cha Iran kiliambia Reuters Jumamosi, kikielezea hatua hiyo kama ishara ya "uzito" katika juhudi za kufikia makubaliano na Washington wakati wa mazungumzo huko...
  9. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia kuikopesha Tanzania Shilingi Trilioni 1.4 kusaidia Ajira ni Pigo jingine kwa CHADEMA

    Poleni sana Chadomo Kwa hili pigo na kuendelea kujaza maji kwenye neti. ====== The World Bank has approved $550 million in financing for Tanzania to boost jobs and support vulnerable households. The funding will benefit more than three million people through skills training and social...
  10. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaidhinisha Tsh. Trilioni 1.422 kwa ajili ya Tanzania ili kuimarisha ajira na kusaidia kaya zilizo hatarini

    Benki ya Dunia imejitolea kutoa kiasi cha dola milioni 550 kusaidia jitihada za upatikanaji wa ajira na usaidizi wa kijamii nchini Tanzania. Benki ya Dunia imemidhinisha ufadhili mpya wa dola milioni 550 kwa ajili ya Tanzania, ukilenga kutengeneza fursa za ajira na kusaidia kaya zenye uhitaji...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini Bodi ya Mikopo hairuhusu madeni yao kulipwa kupitia benki nyingine?

    Kwa sisi watumishi wa umma tunaotumia mfumo wa ESS, katika kipengele cha mikopo na tulionufaika na mikopo ya elimu ya juu. Bodi ya mikopo elimu ya juu HESLB wamekua na kero ya kutokuruhusu mtumishi kulipa mkopo wake kwa kutumia Bank nyingine (yaani kuuza mkopo wa HESLB bank nyingine). Hivyo...
  12. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia kutoa Shilingi Bilioni 5 kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

    Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI anayeshughulikia Miundombinu, Mhandisi Rogatus Matavila, ameishukuru Benki ya Dunia kwa msaada wa kifedha na kitaaluma wa kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi. Akifungua kikao cha Kamati Kuu (National Steering Committee) ya...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Mange kwa Rais wa Afrika Kusini: Unaweza kuombea mkopo benki na riba ukapunguziwa

    Sijui huyu bwana aliongea nini hasa kuhusu ukoloni mambloeo wa wazungu, ila Mwanaharakati, Mange Kimambi, kamjibu hivi kupitia mtandao wa X: No. @CyrilRamaphosa Africa must confront black colonialism before it starts shouting about white colonialism returning. The real and present danger to...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Amefika benki na kukuta deni ambalo halifahamu

    Muda si mrefu napokea simu kutoka kwa relative yangu mmoja, Kisa chake alivyonisimulia kiko hivi. Ameenda benk, anataka aombe mkopo (basically kufanya top up). Ila ana mkopo mwingin benk ya NMB. Sasa huko akaambiwa kwenye mfumo kuna deni la milioni 3 NMB. Alipoenda NMB napo wanaangalia...
  15. JamiiForums Tanzania Dhahabu yetu iko chini ya CCM ama Benki kuu?

    Jee maamuzi ya kuhusu dhahabu yetu yapo chini ya maamuzi ya wanasiasa wa CCM au benki kuu? Jee ni waziri wa fedha anayeamua ni kiasi cha akiba ya dhahabu tunachotakiwa kuwa nacho ama Gavana wa Benki kuu? Jee waziri wa fedha akisema dhahabu iuzwe Gavana wa Benki Kuu anaweza kuzuia ama Gavana wa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Uvumilivu wa IPTL Walipa Katika Mzozo wa Dola Milioni 168 na Benki ya Standard Chartered ya Hong Kong

    12 January 2026 Tanzania: Uvumilivu wa IPTL Walipa Katika Mzozo wa Dola Milioni 168 na Benki ya Standard Chartered ya Hong Kong Januari 12, 2026 Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imeshinda rufaa iliyowasilishwa na Benki ya Standard Chartered Hong Kong katika Mahakama ya...
  17. JamiiForums Tanzania Benjamin Fernandes atangaza nia ya kununua benki Afrika Mashariki

    Je anunue benki gani CEO wa mama Nala?
  18. JamiiForums Tanzania Manispaa ya kahama,Ina stendi nyingi na benki nyingi kuliko wilaya zote zilizopo mikoani ambazo sio majiji

    Leo nipo kikazi hapa ila nimeangalia mji ulivyo hapa kama mjini. Una stendi nyingi za kwenda sehemu nyengine na cha kushangaza ndio yenye benk nyingi na zengine zinakuja.
  19. JamiiForums Tanzania Burkina Faso, Mali na Niger Zazindua Benki ya Kanda kwa Uwekezaji wa Pamoja

    Bamako, Mali – Nchi tatu za Afrika Magharibi, Burkina Faso, Mali na Jamhuri ya Niger, zimezindua rasmi benki ya uwekezaji ya kikanda yenye mtaji wa awali wa faranga bilioni 500 za CFA, sawa na takribani dola milioni 895 za Marekani. Hatua hii inalenga kuimarisha uhuru wa kiuchumi wa mataifa...
  20. P

    JamiiForums Tanzania DHULMA TUNAZOTENDEWA NA BENKI YA CRDB ILHALI BENKI KUU YA TANZANIA , INAONYESHA KUWA UPANDE WAO KWA KUSHINDWA KUJIBU "REVISION" KWA MUJIBU WA SHERIA.

    TATIZO KUBWA – WITO WA HAKI NA UWAZI KIFEDHA TANZANIA Kampuni ya Peachy Village Company Limited, yenye makao yake makuu Dodoma, Tanzania, imejikuta katika hali mbaya kifedha baada ya kufunguliwa kwa akaunti za benki zisizo halali kwa jina lake. Tukio hili limeleta hasara kubwa, likiathiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…