Benki zinatajirika

Benki zinatajirika

idiomer

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
292
Reaction score
347
Wateja wanakuwa mafukaraa.

Hawaoni ni wakati wa kushusha riba. Benki ina faida ya bilion 672 kwa mwaka daah

Hakuna anayeonaa wateja dhoofu li hali
 
Lazima wajipigie maana the future is uncertainty... Haijulikani nani atakuja km magu alivyoshtukiza
 
Ni vile tu shida na changamoto zimegoma kuachana na sisi wananchi wa kipato cha kati na chini.
 
Back
Top Bottom