benki ya maendeleo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Benki ya Maendeleo Tanzania (TIB) yanadi DIRA 2050 katika Mkutano wa Viwanda wa SADC Durban

    Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo Tanzania (TIB), Bw. Deogratius Kwiyukwa, amesema kuwa uunganishaji nguvu ya pamoja ya Taasisi za kifedha katika nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC, utachochea ujenzi wa viwanda vitakavyokuwa chachu ya kukuza maendeleo ya nchi wanachama...
  2. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Bilioni 63.2 za Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (EADB), zasainiwa ili kuwezesha Taasisi za Fedha Tanzania

    EADB YATOA BILIONI 63.2 KUZIWEZESHA TAASISI ZA FEDHA TANZANIA Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (EADB) imesaini hati ya makubaliano ya utoaji wa mtaji wa jumla ya shilingi bilioni 63.2 kwa ajili ya kuziwezesha taasisi tatu za kifedha nchini Tanzania katika shughuli za utoaji mikopo kwa...
  3. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Rais wa Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) akabiliwa na kashfa za rushwa, upendeleo katika ajira, promotion

    Rais wa Benki ya Maendeleo ya Africa, Dr Adesina Akinwumi (PhD) toka Nigeria anakabiliwa na kashfa nzito za Rushwa, Upendeleo katika ajira na Upandishaji wa vyeo kwa watu toka Nigeria. Uchunguzi rasmi umeanzishwa dhidi yake. Hakika Wa-Afrika tuna la kujifunza hapa. Janabi mpira upo kwako -----...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mshauri Mkuu wa Rais wa Benki ya Maendeleo amwagia maua Rais Samia katika Jukwaa la Kimataifa

    Victor Oladokun, Mshauri Mkuu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika ameielezea vyema haiba ya Rais Samia Suluhu Hassan katika maoni yake ya hivi karibuni wakati wa mkutano wa G20 nchini Brazil. Akisisitiza mvuto wake, ujasiri wake, na maendeleo makubwa aliyoyafanikisha kwa Tanzania, kauli ya...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara ya maji na benki ya maendeleo ujerumani (KfW) kuendeleza ushirikiano katika kutekeleza miradi ya maji

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Hamidu Aweso akiwa jijini Frankfurt nchini Ujerumani leo tarehe 09 Oktoba 2024 amepata wasaa wa kufika makao makuu ya Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) na kukutana na Viongozi wa Benki hiyo kwa lengo la kuboresha na kukuza mashirikiano baina ya Serikali ya...
  6. Frajoo

    JamiiForums Tanzania SoC04 TASAF ianzishe benki ya maendeleo ya jamii

    Utangulizi. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilianza kutekeleza mradi wa mfuko wa maendeleo ya jamii yaani Tasaf, kuanzia mwaka 2000.Lengo ni kutokomeza umasikini kwa wananchi. Mpango ukawa ni kujenga kinga ya jamii kiuchumi,na katika katika maboresho ilipofika mwaka 2012 kama...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yahamasisha mageuzi ya uchumi Afrika katika Mkutano wa Mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB)

    Nairobi, Mei 28, 2024 – Katika jitihada za kuboresha maisha na kukuza uchumi wa masoko inayoyahudumia, Benki ya CRDB imeendesha mjadala uliolenga kujadili ukuzaji wa huduma za benki zinazovuka mipaka ya nchi za Afrika ili kuchochea mageuzi ya uchumi barani Afrika. Mjadala huo rasmi umefanyika...
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aipa Mitaji ya Bilioni 208 Benki ya Maendeleo ya Kilimo

    Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ametajwa kuwa wa kiongozi wa mfano katika kuipaisha na kuiletea mageuzi makubwa Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) ikiwemo kuipa mtaji wa bilioni 208 kuwezesha kujiendesha kiufanisi. Imesema mtaji huo umeiwezesha benki hiyo kutengeneza faida na kukuza mtaji wake...
  9. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Wamachinga Dar wafurahia mikopo inayosimamiwa na Benki ya Maendeleo

    Chama cha Wafanyabiashara Ndogondogo Mkoa wa Dar es Salaam (KAWASSO) katika kipindi cha mwaka huu wamesema kuna mwanga mpya wa fursa kupitia kwa wadau wa Banki Maendeleo kwa kuwa 2023 Benki hiyo inatarajia kuwafikia Wamachinga zaidi ya elfu tano,pamoja na makundi ya Wanawake na vijana...
Back
Top Bottom