bei nafuu

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kama ni mkazi wa Arusha na taa za gari yako zina ukungu au zimefubaa karibu tukung'arishie kwa bei nafuu

    Hii ni kwa wale walioko Arusha Mjini, na taa za magari yao zina ukungu au zimepauka. Tunang'arisha taa hizo kwa kutumia kifaa maalum na kuzirudishia mng'ao wake kwa gharama nafuu kabisa. Tupigie kwa simu namba 0621 846107 (call/WhatsApp). Huna haja ya kutembelea taa isiyomulika vizuri kwa...
  2. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza ramani za nyumba za aina mbalimbali

    Ramani ya vyumba viwili, chumba kimoja masta, kingine cha kawaida, pia ina; ~sebule ~dining{chumba cha kulia chakula} ~jiko ~stoo ~choo cha kushea ~baraza ya mbele na ya jiko ~Ukubwa wa Ramani ni mita 11.6 kwa mita 8.6 ~Mahitaji: Tofali 2650,Bati pisi 34 { futi 10 urefu na upana futi 3} ~kupata...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta Hostel ya bei nafuu Dar

    Wakuu habari zenu? Nina kijana wangu wa kiume anataka kuja DAR kuanza kazi hivyo anahitaji kupata malazi/accommodation ya bei nafuu wakati akijipanga kutafuta chumba na vitu vyake. Kazi yake ipo maeneo ya Posta hivyo anatafuta malazi yaliyo jirani na hapo au angalau apande daladala moja wakati...
  4. JamiiForums Tanzania Angekuwepo Hayati Magufuli bwawa la JNHP lingekamilika Juni 2022 na tungeanza kupata umeme kwa bei nafuu

    Hayati JPM alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa kuhakikisha rasilimali za umma zinatumika kwa manufaa ya umma. Kwa manufaa ya umma na watu wa chini na wanyonge lazima angekomaa na bwawa la JNHP kukamilika ili watanzania wapate umeme wa bei rahisi na wa uhakika. Watanzania tusitarajie huu mradi...
  5. JamiiForums Tanzania Mambo matano (5) ya kukusaidia kununua nyumba ya kupangisha kwa bei nafuu kuliko bei halisi

    Kanuni mama ya uwekezaji kwenye viwanja na nyumba ni kutengeneza fedha wakati wa kununua nyumba. Kanuni hii inamhusu mwekezaji yeyote anayewekeza kwenye viwanja na nyumba. Kwa kutumia mbinu yoyote ya uwekezaji huu na kwa wakati wowote unatakiwa kutengeneza fedha wakati wa kununua nyumba...
  6. JamiiForums Tanzania INAUZWA Jiunge na Dirm VFD uokoe 50% ya EFD machine, ni bora, salama kisasa zaidi

    HABARI NJEMA... katika kipindi hiki cha kufunga na kuanza mwaka mpya, na kufanyiwa makadilio ya kodi za TRA, ninayo furaha kubwa kukujuza wewe Mfanyabiashara kuwa unaweza kuokoa mpaka 50% ya garama za kununua mashine za EFD endapo utajiunga na mfumo wa Dirm VFD ambao ni mbadala wa EFD machine...
  7. JamiiForums Tanzania Jeneza la Askofu Desmond Tutu lichukukiwe kama somo kwa wanaopenda ufahari kwenye mazishi

    Naangalia matangazo mubashara ya mazishi ya shujaa wa kupambana na utawala wa ubaguzi wa rangiu, mtu aliyetumia Maisha yake yote kupigania haki za wananchi wake, Askofu Desmond Tutu, unaoonyeshwa kwenye vituo mbalimbali vya kimataifa vya TV, kama vile SABC, CNN, BBC, Sky News na Al Jazeera...
  8. JamiiForums Tanzania IST ya bei nafuu inahitajika

    Habari wakuu, inahitajika gari aina ya Toyota IST iliyo katika hali nzuri na tayari kwa kazi. πŸ’Iwe Dar au jirani na Dar πŸ’Isiwe imerudiwa rangi au kufunguliwa engine πŸ’BEI ISIZIDI 7M πŸ’Nitapenda niuziwe na mwenye gari, iwapo utakua ni dalali basi hakikisha umemalizana na boss wako na uwe unaijua...
  9. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja Kibaha kwa bei nafuu ya ofa

    Viwanja KIBAHA - PANGANI - Lumumba Street. -Ni mradi mzuri na wa kuvutia sana. -Mradi upo kilomita chache kutoka Loliondo Stand na kwa njia nyingine waweza pitia Kibamba Shule. -Ni sehemu nzuri na ya kuvutia sana. -Huduma za kijamii kama maji,umeme,shule zinapatikana. -Neighbourhood yake...
  10. JamiiForums Tanzania Nahitaji kampuni zinazoweza kunitengenezea kreti za vinywaji kwe bei nafuu

    Habari wan JF. Kuna yeyote anayeweza kunipa connection ya kampuni yoyote inayotengeneza kreti za vinywaji hapa Tanzania?
  11. JamiiForums Tanzania INAUZWA Pata mabati kwa bei nafuu na usafiri bure

    Tunatoa offer ya Misumari kwa kuanzia bati 80 Tunatoa offer ya Usafiri @ Kuanzia bati 80. Tupigie 0762 75 31 40 Whatsapp 0762 75 31 40 KARIBU TUKUHUDUMIE. ********** Migongo midogo ni Tsh 23500/= Migongo mipana ni Tsh 23500/= Versatile /Vigae Tsh 34000/= 𝐂𝐀𝐋𝐋 : πŸŽπŸ•πŸ”πŸ πŸ•πŸ“πŸ‘πŸπŸ’πŸŽ, πŸŽπŸ”πŸ—πŸ πŸ•πŸ”πŸ‘πŸ‘πŸŽπŸ”...
  12. JamiiForums Tanzania Mtandao wa Alibaba una magari ya bei nafuu sana, Sijajua ushuru wake kuyaingiza nchini

    Nimepitia mtandao wa Alibaba, naona kuna magari ya bei nafuu sana kuliko mitandao ya magari tuliyoizoea, Na kuna magari mengi ya umeme ya chini ya 5M Tzs, Sijajua ni kuna mlolongo upi wa manunuzi na masuala ya tax clearance kwenye bisahara ya magari huko Alibaba mpaka watu wanakomaa na mitandao...
  13. JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza suti kwa bei nafuu kabisa

    Suti mseleleko ni wauzaji wa suti za kike, kiume na suti za watoto kwa wateja wa Dar-es - salaam na mikoani. Bei zetu ziko poa kabisa zinaendana na gharama ya fedha yako. Kwa mawasiliano zaidi wasiliana Nasi kupitia namba; WhatsApp number: 0712878245 Suti za kiume(mikoani)...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Connection ya Maduka (Wholeselers) /Viwanda vinavyouza Dawa za Binadamu kwa bei nafuu zaidi

    Habari wajumbe. Naomba Connections za Maduka au Viwanda tunapoweza kupata Dawa za binadamu wa bei nafuu zaidi.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Nyumba za Bei Nafuu za Malipo Kiduchu Kila Mwezi Huko Kigamboni!!

    Inakaribia mwaka mmoja sasa mshikaji wangu wa karibu kabisa alipofika home na kuniambia kuhusu JPM kutaka kujenga nyumba za bei za nafuu kwa ajili ya wavuvi huko wilayani Kigamboni!! Ndugu yangu huyu akanieleza kwamba, wavuvi hao walitakiwa kufungua akaunti benki na kuweka kiwango cha pesa...
  16. JamiiForums Tanzania INAUZWA Mawakala wa tangawizi kwa bei nafuu sana

    Tunajihusisha na uuzaji na usambazaji wa tangawizi, bei 1kg=800tsh Gunia kubwa(debe 12)=lak 1.4 Ni fursa kubwa kwa wafanya biashara za viungo na viwanda vinavyojihusisha na bidhaa za tangawizi kujipatia mzigo kwabei nafuu sana. Tunapatikana RUNGWE-Mbeya lakini mzigo usiozidi gunia 5...
  17. JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata walau GB 10 za internet kwa siku kwa bei nafuu?

    N.B: NI KWAJILI YA MATUMIZI YA KUONGEZA ELIMU NA TAALUMA. Si ajabu wengi wakiwemo hata viongozi wanadhani internet ni kwajili ya upuuzi tu maana wengi kwenye hutumia internet kufanya vitu visivyo na faida mfano kudiscuss umbea kwenye magrupu, kufanya umalaya, video za x, kuwa waraibu wa muvi...
  18. JamiiForums Tanzania Ni wapi nitapata AVR amplifier used kwa bei nafuu??

    wakuu babari, nikipita kwenye maduka ya bongo ya electronics naona zimejaa subwoofer za mchina tu na hometheter za mchina na sio malysia wala japan. kwa sisi wanazi wa.mziki ningependa nipate walau mashine ya avr amplifier 7.2 channel yenye bluetooth,usb na walau inasukuma kuanzia 150watts...
  19. JamiiForums Tanzania INAUZWA Computer CPU naiuza kwa bei nafuu

    Nauza CPU ya Computer kwa bei nafuu Ni Dell Vostro Ram 4 GB Hard Disk 800 GB Bei laki mbili (200,000/=) Ukinunua nakupa Keyboard na mouth bure Nipo DSM, Tabata Kinyerezi
  20. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Printer HP kwa bei nafuu

    -
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…