INAUZWA Nauza Printer HP kwa bei nafuu

Niko interested,je risiti zile za EFD unatoa nazo au ndiyo unatumia kitambulisho cha h

Niko interested,je risiti zile za EFD unatoa nazo au ndiyo unatumia kitambulisho cha Chinga
Hii Printer niliinunua lakini sikuitumia baada ya computer niliyotegemea kutumia kuharibika monitor.
Hivyo hii ipo nyumbani na risiti za kununulia.
Nipo Dsm, tabata Kinyerezi
 
Epson ni 🔥🔥 na huu ndiyo ukweli mchungu. Mimi nina hiyo L.850! Yaani nakula tu mafao!
Kila kitu kina ubora wake na ndio maana vitu vyote vinauzwa madukani,
ila sio jambo jema kuanza kusifia kitu chako kwenye tangazo la mtu mwingine, huo sio ustaarabu.
Ni vyema ungeanzisha mada inayojitegemea kuhusu hicho kitu unachokisema
 
Kwa printer Bora bado Epson waku juu,ninazo mbili l850 na l805 ni nzuri na zinadumu,gharama ya wino chini Sana,na zinatoa coloured
Uko sahihi kabisaa

Ila hiyo HP na hizo Epson ulizotaja ni mashine mbili zilizotengenezwa kwa kazi tofauti kabisa.

Pia lazima ujue tofauti ya Inkjet na Laserjet.

Gharama toner, toner genuine ni expensive sana. Toner nyingi tunazotumia fake tu.
 
Kila kitu kina ubora wake na ndio maana vitu vyote vinauzwa madukani,
ila sio jambo jema kuanza kusifia kitu chako kwenye tangazo la mtu mwingine, huo sio ustaarabu.
Ni vyema ungeanzisha mada inayojitegemea kuhusu hicho kitu unachokisema
Wala usiwe na hofu ndugu juu ya hilo. Utauza tu hiyo mashine yako. Kwanza bei yako ni rafiki ukilinganisha na hizo Epson.
 
Uko sahihi kabisaa

Ila hiyo HP na hizo Epson ulizotaja ni mashine mbili zilizotengenezwa kwa kazi tofauti kabisa.

Pia lazima ujue tofauti ya Inkjet na Laserjet.

Gharama toner, toner genuine ni expensive sana. Toner nyingi tunazotumia fake tu.
Ni kweli kabisa ulichoandika, Hizo Inkjet wanazosema ni bei rahisi kujaza wino ila hazidumu, pia ubora wa maandishi ni hafifu.
HP Laserjet inatumia powder cartridge na wakati hizo Inkjet zinatumia liquid cartridge au toner
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom