beach

A beach is a landform alongside a body of water which consists of loose particles. The particles composing a beach are typically made from rock, such as sand, gravel, shingle, pebbles. The particles can also be biological in origin, such as mollusc shells or coralline algae.
Some beaches have man-made infrastructure, such as lifeguard posts, changing rooms, showers, shacks and bars. They may also have hospitality venues (such as resorts, camps, hotels, and restaurants) nearby. Wild beaches, also known as undeveloped or undiscovered beaches, are not developed in this manner. Wild beaches can be appreciated for their untouched beauty and preserved nature.
Beaches typically occur in coastal areas where wave or current action deposits and reworks sediments.

View More On Wikipedia.org
  1. Magari ya Biashara

    JamiiForums Tanzania House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini Ina vyumba vitatu kimoja master Jiko, sebule, dinning na public toilet Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000 Hati miliki mkononi Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Mkesha Mwaka Mpya: Polisi yasema kukaa ufukweni mwisho saa 12 jioni

    Kuelekea mkesha wa mwaka mpya, Jeshi la Polisi Nchini limewataka Wananchi watakaokusanyika katika fukwe za Bahari na Maziwa kurejea nyumbani ifikapo saa 12 jioni. Vilevile uchomaji wa Matairi umepigwa marufuku na kwakuwa unasababisha uharibifu wa miundombinu mingi ambayo imejengwa kwa gharama...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nimepasikia sana Beach Kidimbwi. Kunani huko?

    Poleni na majukumu ya mwisho wa mwaka wadau. Niseme tu nimezunguka maeneo mengi sana ya starehe hapa DSM mengine ya kistaarabu na mengine ya kishenzi ila sijawahi fika beach kidimbwi. Kwanini Beach Kidimbwi? 1. Salim Kikeke akiwa likizo alitembelea beach kidimbwi na akapiga picha na AY. 2...
  4. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania KKKT Mbezi Beach msilazimishe waumini kuabudu kwa Kiingereza

    Wakati Taifa lina lengo la kuimarisha matumizi ya lugha yetu kwenye nyanja zote ikiwa ni pamoja na elimu wapinzani wa taifa kujikomboa kwenye ukoloni wa lugha na utamaduni wa kigeni wanajibu mapigo kupitia makanisa. Kama muomini wa KKKT Mbezi Beach sioni mahitaji na ungezeko la ibada na mafunzo...
  5. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mwizi maarufu wa Kawe/Mbezi Beach 'Minyembe' auawa na Wananchi

    Kijana aliekuwa maarufu kupiga watu visu na mapanga na kuleta wezi wa Manzese na Magomeni kuwatesa wananchi wa Kawe na Mbezi ameuwawa usiku huu Kijana Minyembe kijana mwembamba na mwemye mbio kuliko mwanariadha Bolt ameuawa usiku huu baada ya kumuibia dada mmoja njia ya mchangani chadema Kama...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mahubiri ya Baba Askofu Mtetemela pale KKKT Mbezi Beach yamenishawishi kuachana na siasa za "Kishabiki"

    Kiukweli jana nilibarikiwa sana na mahubiri ya askofu mkuu mstaafu wa Kanisa Anglican Donald Mtetemela aliyoyatoa kwenye mkutano mkuu wa Sinodi ya DMP katika Kanisa la KKKT Mbezi Beach. Kwamba William Wilberfoce aliingia bungeni huko Uingereza na kujenga hoja zilizopelekea biashara ya utumwa...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 Msikie 'Mrisho Mpoto' wa Coco Beach akituma salamu mahsusi kwa Dkt. Magufuli kuhusu Uchaguzi

    Wanabodi, Kuna vitu vingine vya Magufuli alivyofanya, watu hawavijui, na sio vya kuhadithiwa, hebu msikilize mwenyewe huyu huyu Kibonge Mweusi ambaye ni 'Mrisho Mpoto' wa Coco Beach, bwana Benard Mwinuka, akituma salaam mahsus kwa JPM, wao pale Coco Beach, wanamwita Magufuli, Uncle Magu...
  8. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini manispaa hazina vitengo maalum vya kusafisha beach kama ilivyo kwa barabara?

    Huwa tunashuhudia makampuni yakipewa kandarasi za kufagia barabara na kusafisha mitaro kwa malipo maalum. Sasa je, ni kipi kinachoshindikana kwa beach mbali mbali hapa jijini Dar hadi ambazo zinajaa matakataka ya plastiki yanayosukumwa na maji toka baharini?
  9. R

    JamiiForums Tanzania Naomba namba ya simu ya Mkuu wa Shule Bahari Beach High School - Ununio Dar es Salaam

    Wakuu naomba msaada wenu kupata mawasiliano ya simu na mkuu wa shule tajwa hapo juu. Mimi niko mbali na Dar es salaam. Nime- Google namba walizotoa aidha zilikuwa za walimu walishahama. Natanguliza shukran
  10. B

    JamiiForums Tanzania Je unahitaji Bussiness plan ya Kampuni kwa ajili utalii Tanzania

    Habarini wanajukwaa Sekta ya utalii ni sekta ambayo inaliingizia taifa letu fedha nyingi za kigeni, pia ni sekta inayokua kwa kasi kutokana na uwepo wa vivutio vingi tulivyobarikiwa hapa nchini. Kama ambavyo tatizo la korona taratibu limeanza kuzoeleka na watu duniani kote ,ni matarajio ya yetu...
Back
Top Bottom