Mara zote tumeandika humu na kwingineko kwamba BAVICHA ndio Taasisi pekee inayojishughulisha na Masuala ya Vijana nchini Tanzania kwa vitendo kabisa.
Pamoja na kwamba Dunia nzima kwa sasa inajiandaa na Siku ya Vijana Duniani ambayo itaadhimishwa 12/8/2022 , lakini hakuna Juhudi zozote za...
Sikilizeni kilichomtokea Twaha Mwaipaya kada wa CHADEMA.
Wapinzani wanalalamika kuonewa pamoja na kwamba Rais amesisitiza kufungua ukurasa mpya wa siasa Tanzania
Niweke wazi kwanza sina chama nimekuwa nikipiga spana pande zote, na unaweza kucheki profile yangu kuthibitisha hilo.
So napenda hoja yangu isijadiliwe kishabiki bali objectively
Ni kuhusu vijana wa Chadema, hawa wapo wengi sana mtandaoni kuliko vijana wa vyama vingine, ACT, CUF, CCM n.k...
Hawa vijana wanachafua mapambano ya katiba mpya kuyahusisha na Simba Fc. Huu ni ubaguzi wa kishamba na usiofaa kabisa. Hawafai hawa vijana ni washamba sana.
Mnatapeli ili iweje? Mnataka kuonyesha kuwa mnakubalika? Kwa nini jiwe la msingi mnaandika kwa peni inayofutika? Sababu mnataka kudanganya.
Hili jengo ni mali yenu? Huko misungwi? Semeni kweli tusijetukawaumbua acheni uongo
Leo, viongozi wa BAVICHA, John Pambalu na ujumbe wake wamekamatwa na jeshi la Polisi Babati wakiwa kijiweni, wakijadili na vijana wenzao masuala ya nchi yao.
Polisi Babati wanasema hili ni kusanyiko lisilokuwa na kibali, hivyo John Pambalu (mwenyekiti wa BAVICHA) na wenzake 7 wamekamatwa kwa...
Tatizo katika nchi hii Kuna kundi linajiona Lina hatimiliki ya upinzani kwenye siasa za Tanzania, wanawaona wapinzani wote ni mamluki wa watawala isipokuwa wao tu ni wazi kabisa kwa sasa hivi kwamba CHADEMA wameshindwa kufanya siasa bila kumtaja mwamba Zitto.
Tokea miaka ya 2009 Chadema...
Ubaya ya kuwa na chama ambacho mwenyekiti ndio one man band. Yaani ndio master minder, mpanga mikakati na hata mhamasishaji.
Kesi imevuruga mipango ya chama chetu kabisa. Uongozi umeyumba kabisa na inaonekana hakuna mikakati kabisa ya kujikwamua. Zimebaki ngonjera tu spacin huko Twita.
Bavicha...
Ile Taasisi ya vijana inayoongoza kwa Ubora barani Africa , na ya tatu kwa ubora duniani , BAVICHA , Imekwishaingia Mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi ya Kusambaza moto wa Katiba mpya Mkoani humo .
Kabla ya kuanza operesheni ya KATIBA MPYA vijana hao wamefika kijiji cha MSIMBA kwa lengo la...
Huu ndio Mtiti ambao hawa vijana wameamua kwenda nao kwa sasa, huku taarifa zikionyesha kwamba kila wanapoingia wanashangiliwa mno. Katavi yote inawaka moto wa Katiba Mpya.
Kwa hali ilipofikia si rahisi tena kuzuia Katiba Mpya.
Mungu ibariki Bavicha.
Katika moja ya mistake kubwa ilifanyika ni kuanza harakati za Katiba Mpya wakati wanachama wameparaganyika. Enzi za Mwendazake ilikua kufanya siasa ni dhambi kiasi ambacho wengi ya wapinzani waliamua kukaa kimya na kuendelea na maisha yao ya kila siku kwa usalama wao na familia zao. Walioendelea...
Leo nimetumia tena muda mrefu katika clubhouse ya Bavicha na mada mbili zilikuwa mezani,kesi ya Mbowe na mkutano wa Dodoma.
Mengi yamejadiliwa lakini niweke haya ambayo naamini ni funzo kubwa,
Kuna mchangaji kwa jina la BM ambaye alihoji mawakili wa Chadema kumuita shahidi aliyeugua kichaa.Kuna...
===
Miongoni mwahazina kubwa ya Vijana viongozi kwa Taifa hili ni huyu kijana Kenani Kihongosi Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa,
Kitendo Chake cha kuibadili UVCCM kutoka Ufuasi wake wa kisiasa pekee kwenda kwenye Ufuasi wa Kiuchumi kitawafanya Vijana wengi wa UVCCM-Tanzania kuwa matajiri wakubwa...
Miezi kadhaa kulikuwa taarifa mahususi kupitia Channel Ten na TBC ikiwa na matamko ya kwamba BAVICHA haihitaji katiba mpya.
Walienea kila mkoa na kwenye vyuo, nani alikuwa anawafadhili badala yakutusaidia maji na umeme.
Vyombo hivyo vya habari vilikuwa vinalipwa na taasisi ipi?
Chongolo...
Ndilo kundi linalonyanyasika sana kipindi hiki.
Nyinyi msijali walikuwaje bali jalini mailage ya kisiasa.Hawa ndiwo watu wanaotegemewa hadi na wajomba zao huko kijijini kuwatumia elfu 5 kila wapatapo sasa wakiikosa ya kuwatumia huko kijijini lazima nao huko waelewe mchawi wa elfu 5 yao ni...
Nimesikitika sana kusikia BAVICHA ati wameenda Butiama kwenye kaburi la Nyerere kumuenzi. Naomba niwakumbeshe dhihaka zao kwa Nyerere.
BAVICHA-Mwenge upelekwe makumbusho
Lissu- wakati wa bunge la Katiba - Nyerere alikuwa laghai-
CHADEMA- serikali za ukabila za majimbo na kuvunja Muungano kwa...
Nenda kwenye nchi yoyote ya kidikteta halafu wasimulie kwamba vijana wa upinzani waliingia lilipo kaburi la hayati mwenyekiti wa chama tawala na wakacheza bao na kunywa maziwa, maandazi na samosa.
Watashangaa sana.
Tanzania tuna demokrasia pana!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.