bavicha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Picha: Kipenzi cha vijana wa CHADEMA. (BAVICHA) Wanamkubali kinyama.

  2. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, Kamata kamata bila haki na kuweka ndani watu haivurugi Amani kweli?

    Tukio la kamatakamta la CHADEMA limetikisa nchi na kumchafua mama. Watu wameingiwa na hofu kuhusu uchaguzi ujao, je tufanye nini sasa? Polisi lazima waangalie upya utendaji wao, wafanye kazi kwa weredi vinginevyo kwa tabia ya watanzania wanachukizwa sana na upendeleo wa chama kimoja. Hii ni...
  3. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la polisi watanda Ruanda Nzovwe kudhibiti maadhimishi ya Bavicha

    Askari wa Jeshi la Polisi wametanda katika Uwanja wa Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya kulipopangwa kufanyika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani yaliyokuwa yameandaliwa na Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha). Maadhimisho hayo yalikuwa yafanyike leo Jumatatu, Agosti 12, 2024, lakini Jeshi la...
  4. JamiiForums Tanzania Taifa lolote makini lazima liwe mikononi mwa vijana.Vijana makini watalinda mali za umma.

    Iwe kwenye tamaduni na mila zetu. Vijana ni nguzo muhimu sana. Vijana hutumika kuzalisha, na hata kuvuna na kulinda mazao. Soma Pia: Tundu Lissu, John Mnyika na Joseph Mbilinyi Wawasili Mbeya kwa ajili ya Kongamano la Bavicha, Wapuuza Amri ya Polisi Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe atoa tamko. Alaani kukamatwa kwa viongozi na vijana wa CHADEMA

    "Tunalaani vikali Jeshi la Polisi kukamata Viongozi wetu Wakuu wa Chama ikiwemo Viongozi wa Baraza la Vijana wa Chadema, BAVICHA. Aidha, tunalaani mkakati wa Msajili wa Vyama vya Siasa kwa kushirikiana na Polisi kuzuia kongamano la Bavicha katika kuazimisha siku ya vijana duniani hapo kesho...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA siku ya vijana duniani

    Jeshi la Polisi linapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusiana na kuwepo kwa mipango ya viongozi wa chama cha siasa nchini [CHADEMA] kuhamasisha vijana kote nchini kukusanyika Mkoa wa Mbeya Agosti 12, 2024 kwa lengo la kufanya maandamano na mikusanyiko kwa mwamvuli wa maadhimisho ya siku ya vijana...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni fursa na wakati sasa Wanawake kushika hatamu za juu ndani ya CHADEMA

    Kwa unavyoona mambo yalivyo pale BAWACHA au hata BAVICHA, nani unadhani anaweza kuwa Mwanamke wa nguvu wa kwanza kushika wadhifa wa juu wa chama hicho Kikuu cha upinzani ukiachilia mbali uongozi alionao sasa kulingana na kundi alilopo ndani ya chama hicho? Je, ni Catherine Ruge au Halima Mdee...
  8. JamiiForums Tanzania BAVICHA yatinga Rufiji, Yakagua Mafuriko na kufanya Tathmin kabambe

    Viongozi wa Bavicha , ambayo imetajwa kote Duniani kama Taasisi bora kabisa ya Vijana Barani Africa , imefika Rufiji kwa ajili ya kuwafariji Wahanga na kushiriki uokozi, ikiwa ni pamoja na kufanya tathmini ya madhara yaliyotokea. Baada ya kumaliza ziara hiyo wataongea na Waandishi wa Habari...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa BAVICHA wakishiba na kuvimbiwa, wanawaza maandamano bila kujali hali za vijana wanaowataka kuandamana.

    Nawapongeza sana UVCCM maana wanachofanya siku zote ni kuwaheshimisha vijana, huwezi kukuta UVCCM wanapanga kufanya maandamano huku wakijua vijana wanatakiwa kutafuta ugali wao muda huo. Maandamano ya UVCCM yananifurahisha Kwa sababu yanakuja baada ya vijana kushiba tofauti na ya BAVICHA ambayo...
  10. JamiiForums Tanzania BAVICHA kuna ombwe kubwa la uongozi

    Nimemuangalia pambalu anavyozungumza ,nimegundua CHADEMA hawapo tayari kushika dola. Ni kama comedian ana cheka cheka hata pasipo hitaji kucheka kifupi hayupo serious ,kama ndio tanuri la viongozi wa baadae wa Chadema na huyo ndio mnamtegemea naiona chadema ikidumaa . Haitopata vijana tena...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema, pesa za mafuta ya bodaboda na posho kwenye maandamano mngewapa mtaji Bavicha

    Wanaukumbi. Chadema wanapoelekea kwa sasa itakuwa kama UMD kinakufa taratibu, leo hii Chadema wanaandaa Maandamano wanakusanya Bodaboda na Bajaji zaidi ya 200 wajaze Maandamano wanamdanganya nani kama raia wamekaa maandamano yako wanawaonyesha UN ili iweje. Nani analipa hizo pesa za mafuta...
  12. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kuongea na Waandishi wa Habari kwenye ofisi za Makao Makuu Mapya ya Chama Mikocheni

    Mwamba wa Siasa za kisasa kwenye eneo la Maziwa Makuu ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema ambacho ni Chama kinachoungwa mkono na watu wengi zaidi nchini Tanzania, huku takwimu zikionyesha kwamba kina wanachama hai zaidi ya mil 15, atazungumza na Waandishi wa Habari wa Kimataifa na wa ndani ya...
  13. JamiiForums Tanzania Bavicha yaanza semina Mjini Morogoro

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , ile Taasisi bora ya Vijana Barani Africa , ambayo pia inatajwa kushika nafasi ya tatu kwa Ubora Duniani Bavicha , inakutana mkoani Morogoro kwa semina ya kuwaongezea uwezo Wajumbe wake wa Kamati ya Utendaji. Wakati Taasisi hii ambayo ndio Chimbuko la...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Uhuni cha UVCCM Chato kinapaswa kulaaniwa na watu wote wanaoitakia mema nchi yetu

    Sielewi kwa nini hadi sasa jeshi la polisi halijachukua hatua zozote zile kuhusiana na kitendo cha kiharifu cha wale Vijana, sijui ni kwanini Msajili wa Vyama vya Siasa hajakemea, na sijui ni kwa nini Viongozi wa Dini hawajajitokeza kukemea. Wako wapi wanaojiita viongozi wa vyama walinda amani...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Malisa GJ huna uhalali wa kumlalamikia Nape kuku-block. Wewe ni kinara wa kupiga block

    Leo kwenye post ya kada wa chama cha Mbowe ndugu Yericko Nyerere nimeona post inayoelezea kada mwenzie Malisa Godlisten akilalamikia kulamba Block toka kwa Mheshimiwa Nape huko Twitter. Mimi sifurahishwi kabisa na mambo ya watu kupigana block mitandaoni kwasababu ni mwanzo wa chuki na upotevu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Idara za vijana kwenye vyama zimekosa mweleko. UVCCM na BAVICHA hawaeleweki

    Ndugu wanaJF huu ni uzi wangu wa kwanza hapa ninaandika nikiwa nina hasira zisizo na mfano dhidi ya hizi idara za vyama vya siasa. Hawa vijana wamekosa mwelekeo na kuishia kuwa vituko tofauti na malengo ya uweo wao. Leo nitatoa mtazamo wangu kuhusu idara maarufu za ACT, BAVICHA na UVCCM kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Asante BAVICHA Mkoa wa Tanga kwa Kuwamaliza Watu Wasiojulikana

    Salaam Wakuu, Kama mnakumbuka, Baraza la Taifa vijana la CHADEMA Mkoa wa Tanga, Walitoa siku nne Watu wasiofahamika Waliompiga risasi Lissu Wajitokeze. Na Wasipojitokeza Watasoma Albadir. Baada ya siku nne kuisha Wasiojulikana hawakujitangaza wakakaa kimya. Hivyo Albadir baada ya siku nne...
  18. JamiiForums Tanzania BAVICHA wapewe elimu ya upigaji kura, hii ni aibu

    Halafu makamu mwenyekiti anacheka tu, Kisha analalamika kuibiwa kura. === Mpiga kura akimpatia Mh. LISSU kura aliyompigia mwaka 2020 ambayo ameiweka kwenye kioo (glass laminated vote) kumtia moyo aendeleze mapambano
  19. JamiiForums Tanzania BAVICHA: Uzoefu wa kazi usiwe kigezo kwenye kuajiriwa

    Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), John Pambalu ameiomba serikali kulegeza kigezo cha uzoefu wa kazi kama mojawapo ya sharti la ajira kwa vijana. Pambalu alisema hayo Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya...
  20. JamiiForums Tanzania Kamanda wa Bavicha Calvin Lekule afariki dunia -Alitabiriwa kifo wiki moja nyuma

    Habari wana JF, Chadema imepata pigo kwa kumpoteza kamanda Calvin Lekule ambaye alikuwa mpambanaji sana, Lekule alikuwa mwanaharakati kama alivyo mdude, alikuwa anapinga sana police brutality na uonevu wa aina yeyote kwa vitendo na bila kuogopa. Wiki moja iliyopita alitabiriwa kifo na mmoja wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…