Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogro leo Julai 20, 2025 limedaiwa kuvunja kongamano la Baraza la Vijacha Chadema (BAVICHA) kuhudhuriwa na Mwenyekiti wa baraza hilo Taifa, Deogratius Mahinyila.
Taarifa kutoka BAVICHA zimesema askari wa kutuliza ghasia walizingira eneo la ukumbi wakiwa na mabomu na...
Mwenyekiti wa BAVICHA jimbo la Geita Vijijini, Mbeshi Paulo, ameripotiwa kutoweka katika mazingira ya utata baada ya kuchukuliwa na watu waliodaiwa kujitambulisha kuwa askari wa Polisi.
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA) Taifa, Wakili Deogratius Mahinyila, kupitia ukurasa wake...
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo mkoani Mbeya, Mwenyekiti wa BAVICHA Mbeya Elisha Chonya amesema kwamba CHADEMA wana haki ya kuendelea na mikutano ya kisiasa kwani katazo la Mahakama halikuwalenga viongozi wote wa CHADEMA bali viongozi wachache.
Akiwa anazungumza kwenye kikao chao mkoani Mbeya ...
Katibu Mkuu wa BAVICHA akishiriki katika kipindi cha Malumbano ya hoja ITV jana alimshangaa Jumanne Murilo kutishia wananchi na kupiga marufuku kwenda kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Taifa Chadema Tundu Lissu katika mahakama ya Kisutu.
Katibu Mkuu huyo amehoji Kamanda...
Aliyekuwa Katibu wa Vijana wa Vyuo vikuu Mtandao wa Wanafunzi (CHASO) wa Mkoa wa Dar es Salaam na Mwenezi wa Baraza la Vijana wa CHADEMA Jimbo la Ukonga Ndugu Eliah Mlewa Rasmi amehamia Chama Cha Mapinduzi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
Wajumbe wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Cchadema (BAVICHA) Mkoa wa Dodoma, leo tarehe 7 Aprili 2025, wamemchagua Joseph Mussa Mahindoni kuwa Mwenyekiti mpya wa baraza hilo katika uchaguzi uliofanyika katika Ofisi za CHADEMA Kanda ya Kati.
Soma Pia: Shangwe la CHADEMA...
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma, Khalifa Mtukura amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwa miongoni mwa wanachama 26 waliohama kutoka vyama vya upinzani.
Mtukura ametangaza uamuzi huo wakati wa mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Emmanuel...
Elisha Asa Mwambene, Katibu wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Mtaa wa Msasani, Tunduma, Mkoa wa Songwe, ameibua mjadala mzito kuhusu kampeni ya “No Reforms No Election” inayoendeshwa na Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Tundu Lissu.
Kupitia mahojiano na wanahabari, Elisha amesema vijana...
Mwenezi wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAVICHA), Siglada Mligo, ameendelea kufichua kwa undani tukio lililompelekea kupigwa na hatimaye kulazwa hospitalini akiwa katika hali mahututi.
Kwa mujibu wa Mligo, tukio hilo lilitokea wakati wa kikao cha ndani cha wanachama wa CHADEMA kilichoongozwa na...
Nimeshaandika mara kibao!
Chadema wale vijana wa mbowe wamepewa kazi kuuhujumu uongozi wa lissu.
BAVICHA Mnalemba nini kuwaonya hawa vijana wenzenu?
Yericko Nyerere, Nchome, Ntobi walitakiwa wawe wameshashika adabu mpaka muda huu!
Habari nilizopokea za maagizo ya hao vijana zitakichafua chama...
Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Kanda ya Victoria limeitaka Serikali kuunda Baraza la Vijana la Taifa litakalojadili masuala ya vijana, kutoa mapendekezo kwa Serikali, na kusaidia kupatikana kwa ufumbuzi wa changamoto zinazowakabili.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi...
Wakuu hii ni kweli kuwa Mahinyila amesema vijana wa CHADEMA wanafanya mambo ya kihalifu, wakikamatwa wanataka chama kiseme wametekwa na watu wasiojulikana?
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Deogratius Mahinyila anazungumza na Vyombo vya Habari muda huu akizungumzia sakata la utekaji nchini huku akianza kueleza namna ambavyo Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, alivyotekwa na kupotea tangu...
Leo ni siku ya 15 kijana wa BAVICHA mkoa wa mwanza tangu amenyakuliwa na watu wasiojulikana hakuna taarifa yoyote ya maana iliyotolewa na viongozi wa serikali.
Kwa sasa nchi yetu siyo mahali salaama kuishi hususani kwa wapinzani wenye ushawishi mkubwa kwenye jamii maisha ya wapinzani yamekuwa...
Katibu Mkuu wa BAVICHA amenukuliwa akisema CCM inawafanya watanzania ni maskani lakini wao wakifaidika sana. Maneno hayo yanafanya nijiulize sana juu ya uelewa wa vijana hao wa CHADEMA na mambo yafuatayo nimefahamu:
Kwanza, Vijana hao wamemeza sumu mbaya ya kujilemaza kifikra. Taifa lolote...
Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana CHADEMA Dua Lyamzito amesema uwepo wa Chama cha Mapinduzi madarakani unaendelea kuwafanya wantanzania kuwa maskini hali yakuwa wao(CCM) wanakua na maisha mazuri.
Akizungumza akiwa Kibanga, Muleba mkoani Kagera Dua amesema “kwetu Karambi nikienda miaka mitano...
Je,
huwa wanajua na wanafahamu kabisa kwamba hawaaminiki, hawaelewekagi wala hawakubaliki mbele ya wananchi?
Nini kifanyike kuondoa unyonge huo wa wanachama wa chadema hasa wakiwa mitaani bila viongozi wao?
Na kipi hupelekea vijana hao kupata mihemko na makasiriko ya kiwango cha kurusha ngumi...
"Nitoe wito kwa OCD Misungwi, nitoe wito kwa RPC Mwanza, nitoe wito kwa Waziri wa mambo ya ndani, na nitoe wito kwa anayefanya kazi ya kuteua hao wote, Amiri jeshi mkuu ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nitoe wito kwamba maisha na uhai wa mtu mmoja unafaa kuwa na thamani kubw...
Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA (BAVICHA) Kanda ya Victoria limelaani na kukemea matukio ya watu kutekwa yanayoendelea kujitokeza nchini.
Akitoa kauli hiyo, tarehe 19 Februari 2025 Mwenyekiti wa BAVICHA Kanda, Fred Michael akiwa kwenye kikao cha baraza hilo Jimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.