bavicha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maandamano ya CHADEMA Mwanza kupinga kutoweka kwa Katibu wa BAVICHA yapigwa marufuku

    Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza limefanikiwa kudhibiti maandamano ya wanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA yaliyokuwa yamepangwa kufanyika siku ya leo katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Mwanza hasa katika wilaya ya Ilemela na Nyamagana. Akizungumza na waandishi wa habari...
  2. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Mtanda azungumzia suala la Katibu wa BAVICHA- Mwanza kupotea, asema serikali haina lengo la kumteka yeyote yule

    Amesema kuwa ameona taarifa ya jeshi la polisi kuhusu kutekwa kwa Katibu huyo, Soma: Pre GE2025 - Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, ameripotiwa kutekwa na kupotea tangu tarehe 14.02.2025 huko Misungwi "Nitaliita jeshi la polisi ambalo lina dhamana ya kuilinda amani, usalama na...
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukipigwa Mdahalo kati ya Mwenyekiti UVCCM na Mwenyekiti BAVICHA ni wazi wa UVCCM ataonekana ni mweupe!

    Nmefatilia hotuba Kadhaa Kati ya Vijana Hawa wawili. Nimefuatilia machapisho na maandiko yako katika mitandao ya kijamii. Itoshe kusema, Mwenyekiti BAVICHA yuko hatua kumi mbele za Uelewa, kujiamini, kujenga hoja, yaani ni MTU anayeweza kukupa Suluhisho la Tatizo lako. Kupata matukio na...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa amvaa Wasira, adai Serikali ya CCM imetengeneza ugumu wa maisha

    Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Wakili Deogratias Mahinyila akiwahutubia wananchi wa Mpwapwa mkoani Dodoma amemvaa vikali Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira na kudai kuwa Serikali ya CCM imetengeneza ugumu wa maisha
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Chadema kwa viongozi wa kitaifa hautakua na amani, utagubikwa na vurugu na rushwa zaidi ya ule wa Bavicha na Bawacha, utahairishwa.

    Kwa hali ya uhasama ilipofikia baina ya wagombea wenyewe, lakini pia hali ya uhasama na uadui wa kweli kabisaa baina ya wafuasi wa wagombea uenyekiti wa Chadema Taifa. Posho na malipo ya kujikimu kwa wajumbe inaweza kua chanzo cha fujo kwenye uchaguzi huo. Ni dhahiri, ustahimilivu umefikia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Bavicha imetoa tamko la kuunga mkono haki za binadamu hususani mapenzi ya jinsia moja

  7. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Nimeguswa na mambo 2 katika mchakato wa BAVICHA

    Binafsi si mwanachadema ila kipindi hiki nimefuatilia michakato ya chadema kuliko wakati mwingine wowote. Moja ya suala lililonifikirisha ni jinsi gani hawa vijana wadogo wanavyokuwa damaged na mambo yanayotokea hasa kijana Deogratius Mahinyila alipotaja kuwa alikuwa mwanasheria wa Deusdedith...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Shangwe la CHADEMA Arusha wakifurahia ushindi wa Deogratius Mahinyila kama Mwenyekiti MPYA wa BAVICHA Taifa

    Shangwe la WanaCHADEMA kutoka soko kuu Arusha wakifurahia ushindi wa Wakili Deogratius Mahinyila kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa. Soma: Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la Vijana (BAVICHA) na Baraza la Wazee (BAZECHA) CHADEMA Taifa 2025 Wanachama hao katika wakisherehekea ushindi...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Je, Mwenyekiti mpya BAVICHA, Wakili Deogratius Mahinyila ni nani?

    14 Januari 2024 Wakili wa Mahakama Kuu achaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa BAVICHA Chadema leo 14.01.25. Je Wakili msomi Deogratius Mahinyila ni nani ? Picha maktaba : Deogratius Cosmas Mahinyila Wakili wa mahakama kuu ya Tanganyika Deogratius Mahinyila leo ametangazwa kuwa mwenyekiti mpya wa...
  10. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Mahinyila mfuasi wa Lissu ashinda nafasi ya M/kiti Bavicha Taifa

    Mahinyila, ambaye ni muumini na mfuasi wa Sera za Lissu, ameshinda na kutangazwa ndiye Mwenyekiti wa Bavicha Taifa. Wakati wa kutangazwa Kwake, mamia ya Wana Bavicha wameinuka na kuimba kwa kutaja jina la Lissu kwa shauku kubwa!
  11. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya John Pambalu kwenye Uchaguzi wa BAVICHA ni Ishara Vijana wa CHADEMA choka Mbaya

    Ukisikiliza quotes za kujifariji za kijana wa CHADEMA John Pambalu kwenye Uchaguzi wa BAVICHA, inaonesha hali mbaya sana ya hawq vijana wa CHADEMA anafanya quotations za watu maarufu ambao kwa sasa wako kuzimu na hawewezi kumtia tumaini lolote huku dubwana na beberu Mbowe likiwa meza kuu...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Vurugu mkutano wa BAVICHA, Waandishi wafukuzwa tena katika ukumbi wa Uchaguzi

    Kutoka Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam (leo, Jumanne ya Januari 14.2024) vurugu zimeshuhudiwa tena kati ya wanahabari na baadhi ya vijana wa BAVICHA ambao wamepinga wanahabari kuwepo kwenye ukumbi wa uchaguzi, wanahabari waliingia ukumbini hapo baada ya kuruhusiwa na msimamizi wa uchaguzi huo...
  13. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Pambalu: Ukiwa na laki tatu tukawakamata wajumbe watakuchagua kuwa mwenyekiti wa BAVICHA

  14. M

    JamiiForums Tanzania BAVICHA ya Pambalu imesheheni wahuni siyo wanasiasa

    Nimefuatilia Uchaguzi wa BAVICHA unaonekana umejaa wahuni wasiojitambua kabisa wakiongozwa na Mwenyekiti wao,nimeona wengine wanasema walifoji vyeti ili wagombee,wengine wanasema bila Posho hakuna kura,wengine wanakamata walipa Posho wanawatangaza ni watoa Rushwa bila kujua athari zake kwa Chama...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania BAVICHA watoa ufafanuzi mazingira ya rushwa kwenye uchaguzi wao

    Taarifa ya BAVICHA iliyo chapiswa kupitia mtandao wa X imeeleza kama ifuatavyo Si kweli kuwa kuna mazingira ya rushwa (kwenye uchaguzi wa BAVICHA Taifa , Idrissa Kassim alikabidhiwa fedha za nauli kwa wajumbe wa BAVICHA kutoka Kanda ya Magharibi, wakati akiwalipa ndio ilitafsiriwa kuwa anatoa...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kimeumana! mjumbe adakwa akidaiwa kugawa nauli uchaguzi Bavicha

    Sintofahamu imezuka katika uchaguzi wa viongozi wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), baada ya wajumbe kumtilia shaka mmoja wa wagombea aliyekuwa akitoa nauli. Uchaguzi wa Bavicha unaendelea katika ukumbi wa Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Januari 13, 2025. Pia, Soma...
  17. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea katika Uchaguzi BAVICHA Taifa

    https://www.youtube.com/live/alKQnvp2Ei8?si=6igthwmbdWuJGUXI Fuatlilia Uchaguzi wa Vijana wa CHADEMA ngazi ya Taifa unaofanyika muda huu. Kutoka Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam sehemu ambapo mkutano mkuu wa uchaguzi wa BAVICHA Taifa unaendelea hivi ndivyo hali inavyoonekana nje ya ukumbi...
  18. G Sam

    JamiiForums Tanzania BAVICHA tayari moshi mweupe

    Kambi ya mabadiliko imeanza na BAVICHA. Twende kazi mpaka kieleweke. Kule tayari moshi mweupe umefuka.
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari waondolewa katika ukumbi wa Uchaguzi wa Baraza la Vijana CHADEMA

    Katika hali isiyotarajiwa waandishi wa habari na wadau wengine wanaotajwa kutohusika moja kwa moja na uchaguzi, wameondoshwa kwenye ukumbi wa uchaguzi wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Taifa kutokana na kile kilichoelezwa kuwa kwa sasa wanaostahili kubali ni...
  20. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mwenye namba ya Mbowe amtumie clip hii ya kwenye mkutano wa BAVICHA. Mbowe ajitafakari sana!

    Wakuu, Mbowe kama ana akili timamu inabidi mara tu akiona clip angejiuzulu mara moja na kutangaza kutokugombea tena. Unapata wapi nguvu ya kutaka kuingia kwenye box la kura na hali iko kama hivi? Mbowe ajitafakari sana!
Back
Top Bottom