bavicha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Garatwa: Emmanuel Ntobi, Henry Kileo, Boni Yai, Martin Maranja, Yericko Nyerere ni Vijana wanaomuunga mkono Mbowe kwa sababu ya Bia na Konyagi tu.

    Na; Garatwa Francis Wakati umma unaomuunga mkono Tundu Lissu ukiwaza zaidi juu ya kumpata Tundu Lissu awe M/Kiti wa CHADEMA ili Chama kiweze kuinuka tena na kutoka kwenye mifuko ya CCM na Dola yao walikokificha kwa manufaa yao. Wengine wanawaza zaidi kuhusu tumbo zao na wengine wanawaza kuhusu...
  2. PreGE2025 BAVICHA wafika nyumbani kwa Bibi yake Soka, washerehekea Krismasi pamoja

    Vijana wa CHADEMA kutoka Kanda ya Kaskazini walijumuika kusherehekea Sikukuu ya Krismasi nyumbani kwa bibi yake Deusdedith Soka, huko Kibosho. Hafla hiyo pia iliadhimisha siku ya kuzaliwa ya Soka, ikileta furaha na mshikamano kati ya viongozi na wanachama wa chama hicho. Pia, Soma: Mke wa...
  3. J

    Askofu Mwamakula: Vijana wa CHADEMA hawana tena uwezo wa kujibu hoja wamebakia kusema " Hafai, hana sifa, aondoke"

    Askofu Mwamakula anesema ni aibu kwetu sote kama taifa iwapo Vijana wetu wamefikia hatua ya kushindwa Kujibu na kujenga Hoja na badala yake wanaishia kutoa lugha za mkato " Hafai, Hana Sifa, Aondoke ' ====================== 'Hana sifa', 'Hafai', 'Aondoke'! Hizo ndio kauli za makundi ya kampeni...
  4. J

    Ukimya wa Bavicha na Bawacha ni Ishara ya Ukomavu wa kisiasa kule UVCCM Jasusi Membe alivyotangaza kugombea Urais 2020 ilikuwa balaa tupu 🐼

    Saa 24 baada ya Tundu Antipas Lisu kutangaza kuvunja Utawala wa kidikteta ndani ya Chadema kwa kutia Nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti dhidi ya Freeman Mbowe aka Mugabe, Bavicha na Bawacha hawajatoa kauli yoyote ya kumpinga Hii ni hatua kubwa sana kuelekea mabadiliko ya kweli Zitto Kabwe...
  5. PreGE2025 Aisha Machano, Katibu mwenezi BAWACHA Taifa, alitekwa na kupigwa sana, ameokotwa porini akiwa na hali mbaya

    Katibu Mwenezi Bawacha Taifa Mhe. Aisha Machano akiwa Kibiti kuendelea na majumu ya Chama ametekwa na kupigwa sana kisha kutupwa porini. Vijana wa bodaboda wamemuokota akiwa katika Hali mbaya na maumivu makali. Waliomteka walitaka maelezo ni nani aliwaelekeza kuchoma vitenge vilivyogawiwa na...
  6. LGE2024 Mwenyekiti wa BAVICHA Dodoma afichua madhaifu na ubadhirifu unaoendelea kwenye zoezi la uandikishaji wa wananchi kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Aisha Madoga, Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) Mkoa wa Dodoma, amekosoa uandikishaji wa wananchi katika Daftari la Mkazi katika baadhi ya vituo, akisema si sahihi kuwaandikisha wananchi bila kuwapa taarifa kuhusu namba zao. Aliyasema hayo alipofika kujiandikisha katika Kituo...
  7. BAWACHA watangaza kuchoma vitenge walivyopewa kama zawadi na Rais Samia mwaka jana

    Baraza La Wanawake CHADEMA maarufu kama BAWACHA imetoa tamko rasmi kufuatia matendo ya utekaji na mauaji yanayoendelea nchini. BAWACHA wakiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari siku ya leo wametangaza kuwa kutokana na kitendo cha Rais Samia kutokuwawajibisha wote waliohusika na mauaji ya...
  8. Alikuwa wapi kiongozi wa BAVICHA taifa, John Pambalu wakati wa maandamano?

    Ni jambo la kushangaza na kustua kidogo kuona chama kikuu cha upinzani kinàandaa maandamano ambayo wahudhuriaji wakubwa ni vijana lakini hatukuona mwenyekiti wa taifa wa baraza la vijana John Pambalu akijiusisha kwa lolote kuanzia kwenye hamasa mpaka ushiriki. Chadema kuna shida kubwa sana.
  9. Mwaipaya: Hakuna Jeshi la Polisi litaloweza kutuzuia vijana tukiamua kutafuta haki yetu barabarani

    Duuh, jamaa ana uchungu,katema cheche hatari. Ana hasira na yuko tayari kwa lolote.... Katibu mwenezi BAVICHA Taifa Twaha Mwaipaya amesema hakuna Jeshi la Polisi litaloweza kutuzuia vijana tukiamua kutafuta haki yetu barabarani. Ameyasema haya alipokuwa akichangia hoja katika kongamano la TCD...
  10. Aliyekuwa Mweka Hazina BAVICHA ahamia CCM, apokelewa na Zungu

    Aliyekuwa mweka hazina wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) Taifa, Evelyne Meena, pamoja na wenzake zaidi ya 20, wamejiunga rasmi na Chama cha Mapinduzi (CCM). Evelyne na wenzake wamejiunga leo Septemba 8, 2024, kwenye mkutano mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa CCM Wilaya ya Ilala uliofanyika...
  11. John Pambalu alipataje uongozi BAVICHA?

    Huyu Mheshimiwa alipataje huo uongozi? Mbona hawezi Kujenga hoja akaeleweka? 1. Uzoefu wa siasa? Mafunzo ya uongozi? 2. Kiwango cha elimu?
  12. Mahakama yaamuru Polisi kuwatafuta viongozi wa BAVICHA (kina Deusdedith Soka) waliopotea

    Jaji Wilson Dyansobera kutoka Mahakama kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam amesema baada ya Mahakama kusikiliza hoja za pande zote mbili (2) na kupitia kwa makini kiapo cha mwombaji aitwaye Mohammed H. Zimu ambaye ni rafiki wa karibu wa Deusdedith Soka na wenzake wawili (2) imejiridhisha...
  13. PreGE2025 Watu Wasiojulikana: Malisa aelezea tukio la kutekwa kwa Deus Soka na vijana wengine wawili wa CHADEMA

    Wanaharakati wa haki za binadamu na wanachama wa CHADEMA wamekuwa wakipaza sauti kupitia X kijana wao Deusdedith Soka kuchukuliwa na wanaosemekana na polisi na mpaka sasa hajulikani alipo. Vijana wengine kutoka CHADEMA ambao ambao hawajulikani walipo baada ya sekeseke la maandamano ya BAVICHA...
  14. R

    PreGE2025 Awadhi Haji kubaki ofisini licha ya vitendo walivyofanyiwa CHADEMA ina maana gani? Kwanini hawajibishwi?

    Rais Samia angelikuwa amechukizwa na udhalimu alioufanya Awadhi, basi angelikuwa amemfukuza kazi kama alivyowafukuza akina Ummy, Kairuki na wengine wengi baada ya ku underperform to her expectation so to say, if I am right in that thinking! Pia soma: Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi...
  15. Picha: Kipenzi cha vijana wa CHADEMA. (BAVICHA) Wanamkubali kinyama.

  16. T

    PreGE2025 Je, Kamata kamata bila haki na kuweka ndani watu haivurugi Amani kweli?

    Tukio la kamatakamta la CHADEMA limetikisa nchi na kumchafua mama. Watu wameingiwa na hofu kuhusu uchaguzi ujao, je tufanye nini sasa? Polisi lazima waangalie upya utendaji wao, wafanye kazi kwa weredi vinginevyo kwa tabia ya watanzania wanachukizwa sana na upendeleo wa chama kimoja. Hii ni...
  17. J

    PreGE2025 Jeshi la polisi watanda Ruanda Nzovwe kudhibiti maadhimishi ya Bavicha

    Askari wa Jeshi la Polisi wametanda katika Uwanja wa Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya kulipopangwa kufanyika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani yaliyokuwa yameandaliwa na Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha). Maadhimisho hayo yalikuwa yafanyike leo Jumatatu, Agosti 12, 2024, lakini Jeshi la...
  18. Taifa lolote makini lazima liwe mikononi mwa vijana.Vijana makini watalinda mali za umma.

    Iwe kwenye tamaduni na mila zetu. Vijana ni nguzo muhimu sana. Vijana hutumika kuzalisha, na hata kuvuna na kulinda mazao. Soma Pia: Tundu Lissu, John Mnyika na Joseph Mbilinyi Wawasili Mbeya kwa ajili ya Kongamano la Bavicha, Wapuuza Amri ya Polisi Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa...
  19. PreGE2025 Freeman Mbowe atoa tamko. Alaani kukamatwa kwa viongozi na vijana wa CHADEMA

    "Tunalaani vikali Jeshi la Polisi kukamata Viongozi wetu Wakuu wa Chama ikiwemo Viongozi wa Baraza la Vijana wa Chadema, BAVICHA. Aidha, tunalaani mkakati wa Msajili wa Vyama vya Siasa kwa kushirikiana na Polisi kuzuia kongamano la Bavicha katika kuazimisha siku ya vijana duniani hapo kesho...
  20. PreGE2025 Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA siku ya vijana duniani

    Jeshi la Polisi linapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusiana na kuwepo kwa mipango ya viongozi wa chama cha siasa nchini [CHADEMA] kuhamasisha vijana kote nchini kukusanyika Mkoa wa Mbeya Agosti 12, 2024 kwa lengo la kufanya maandamano na mikusanyiko kwa mwamvuli wa maadhimisho ya siku ya vijana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…