Innocent Lugha Bashungwa (born May 5, 1979) is a Tanzanian Minister of Industry and Trade and a member of the Chama Cha Mapinduzi political party. He was elected MP representing Karagwe in 2015. He was appointed Deputy Minister of Agriculture by President John Magufuli on 10 November 2018. On November 13, 2018, he was sworn in as Deputy Minister.
Jakaya ndo alimkuza Samia na kumfikisha Bara mpaka hapo alipo ni juhudi za Kikwete na genge lake, jambo la kushangaza amekuja kuzima nyota za akina Bashe, Bashungwa, Biteko na wenzao wakina Makamba sasa sijui anafaidi nini?
Ameishia kutuletea mijitu ya ajabu ajabu ikina Thabiti Kombo sjui kama...
Tangu wamwagwe, sijawasikia hao machawa hapo juu. Anayejua wako wapi na wanafanya nini atujuze. Kama wako humu wajue, tunafurahia walivyofanyiwa kitu mbaya baada ya kutumika na kutupwa kama ganda la mua. Uchawa na ufunza havilipi.
Mtu yeyote anayesahau alikotoka anayohatari ya kurudia makosa yake. Leo tuwaangazie mawaziri wetu wa mambo ya ndani katika awamu ya sita kujua tulipotoka, tulipo na kama tuna la kujifunza huko mbeleni tuendako.
Nimetafakari namna hawa mawaziri wawili, moja kijana, moja mkongwe, kijana akiwa...
Kabla ya kufungiwa kwa Kanisa la Gwajima tuliongea; ilipotolewa barua ya kufungiwa nikakutafuta kwa njia nyingine nikakwambia “Serikali ijitenge na hili” - nayo ukanipuuza.
Ilipofika kufungiwa, nikakutafuta na kukushauri maamuzi ya haraka yafanywe na pande mbili ziongee - ukanieleza upande...
Huu mchezo hauhitaji hasira.
Na Bashungwa na mbwembwe zake kuelekea Uchaguzi.
Ulitumika effectively brother. Yaani, ukatumika kufungia Kanisa la Gwajima, matumizi yako yamefika mwisho bro
Leo Novemba 13, 2025, Dkt. Mwigulu Nchemba ameteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Waziri Mkuu wa JMT. Kama ilivyo ada, anapoteuliwa Waziri Mkuu ndio mwanzo wa kuunda Baraza la Mawaziri ili kumsaidia Rais.
Soma > Dkt. Mwigulu Nchemba apendekezwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri...
Bashungwa acha uongo wewe! Hiyo Switzerland unajua vizuri kweli! Uchawa unakusumbua sana
Vumbi limejaa pale, wakazi wengine hata maji hakuna
======================
Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Karagwe Mkoani Kagera na Waziri wa mambo ya ndani wa Tanzania Innocent Bashungwa amesema...
Mgombea ubunge wa Karagwe, Innocent Bashungwa amesema kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama pekee chenye uwezo wa kuendelea kuongoza Serikali bila nchi kuingia kwenye machafuko.
Bashungwa ameyasema hayo jana Oktoba 10, 2025 katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika katika Kijiji cha...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Karagwe ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC), Innocent Bashungwa, ameendelea na kampeni za kuomba kura za Mgombea wa Urais, Ubunge na Udiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Karagwe kwa kueleza kuwa CCM ndicho chama pekee chenye uwezo wa...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amevihimiza Vyama vya Siasa pamoja na Wagombea wa Urais, Ubunge na Udiwani kunadi sera zao kwa Wananchi bila kutumia lugha ya matusi au kuanzisha vurugu zinazoweza kuhatarisha amani, pia amewasisitiza Wananchi kushiriki katika shughuli za...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amewatunuku vyeti Wafungwa 170 waliomaliza mafunzo ya ujasiriamali na stadi za biashara yaliyotolewa na Jeshi la Magereza kwa kushirikiana na Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) katika Gereza kuu Arusha.
Hafla ya kutunuku vyeti hivyo ilifanyika...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameliagiza Jeshi la Polisi kuendelea kuzingatia maelekezo yaliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kuhakikisha linashughulikia masuala ya jinai ikiwemo kukomesha matukio ya utekaji nchini.
Mbali na hilo, ameliagiza jeshi hilo kudhibiti...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus Wambura, kuhakikisha Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya usalama linaimarisha doria mtandaoni (online patrol) kwa lengo la kudhibiti baadhi ya wahalifu wanaotumia...
Akiwa anazungumza leo, Waziri Bashungwa amemtaka IGP na Jeshi La Polisi kwa ujumla waboreshe "doria za mtandaoni" kama ambavyo wanafanya doria mtaani.
Amesema Doria za mtandaoni zitasaidia kuondoa utapeli pamoja na kukamata wahalifu ambao wanania ya kuvunja amani
=========
BASHUNGWA AMUAGIZA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.