bashe

Bashe (Chinese: 巴蛇; pinyin: bāshé; Wade–Giles: pa-she) was a python-like Chinese mythological giant snake that ate elephants.

View More On Wikipedia.org
  1. ChoiceVariable

    Bashe: Nchi Hii Umezuka Mtindo wa Mtu Anaesema Ukweli wa Kilichofanywa na Serikali/Rais Kuitwa Chawa

    Nakubaliana kabisa na Waziri Bashe. Kuna makenge ambayo yamekuja na msemo kwamba ukielezea mambo Mazuri ambayo wao (makenge) hawapendi kusikia na in most cases ni mafanikia ya Serikali ya Rais Samia unaitwa Chawa. https://youtu.be/B26JzIGiuQ8?feature=shared My Take Ni Bora Kuitwa Chawa kuliko...
  2. Just Pray

    Luhaga mpina amvaa Bashe, Tuna changamoto ya mnunuzi mmoja katika zao la pamba, hii kesi haijaisha

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameendelea kuikosoa vikali Wizara ya Kilimo kwa kuruhusu mfumo wa mnunuzi mmoja katika ununuzi wa zao la pamba, akidai kuwa mfumo huo unaua ushindani na kushusha bei ya mazao ya wakulima. Akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Mwandoya, Wilayani...
  3. Patriot

    Bashe na rais Samia wanafahamu ubaya wa Mpina kuliko wananchi waliomchagua??

    Tuseme kidogo juu ya Waziri Bashe, aliyesoma Ushirika, lakini anapenda aitwe ni mchumi. Aliingia wizara ya Kilimo kwa nadharia mfu za BBT. Akapiga keleleee! Eti akukusanya vijana mijini ili wakalime Dodoma! Yaani wakalime Dodoma! Gharama kubwa za kutia mashaka zikatumika kujenga miradi ya BBT...
  4. Megalodon

    Kwa Kauli ya Bashe, Tunapaswa kutilia shaka Mamlaka ya Urais Tanzania-Kumbe inaweza hata kupotoshwa

    Kwa Kauli ya Bashe kuna haja ya kuona sasa Mamlaka ya Urais pia inafaa kutiliwa shaka kwenye decisons zake na kwamba sio sehemu salama sana kwenye kuamua HATMA ya Resources za Taifa kwa kuwa it can even be decieved: What a shame ! ni kauli inayokwenda ku raise question on integrity of...
  5. Carlos The Jackal

    Kwa Dola iliyo makini, Luaga Mpina ni Kiongozi Tunu katika Taifa, Shangwe alopigiwa Mpina, na Ukimya aloupata Samia na Bashe , unatoa Picha halisi!

    Mwanzo Hadi Mwisho wa Hotuba ya MPINA, Wananchi walionekana kufurahia Hoja na kwakuonyesha Hisia Kwa Hoja Makini za Mbunge wao, wananchi wamepiga Makofii, vifijo na nderemo. Alipoingia Rais Samia, Licha ya vichambo vingi Sanaa, Licha ya backup ya Bashe, Bado wananchi wameonekana kutowaelewa...
  6. W

    Bashe akiri, Makonda anatekeleza

    Habari ya weekend ndg wana GT Kwa wanaofuatilia mambo ni kweli sasa somo la NRNE inaanza kueleweka kwa watendaji wa serikali. Ndani ya wiki moja tumeona mambo mawili; 1: Makondo anawaita Shirika la Nyumbu Arusha kuona namna yakufufua kiwanda cha General tyre. 2: Waziri Bashe anakiri tena somo...
  7. B

    Bashe atangaza kuwaweka ndani Wanasiasa wanaopinga Bei ya Pamba

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amewaonya wanasiasa na viongozi kutoka ukanda wa uzalishaji wa zao la pamba kuacha kutumia zao hilo kwa malengo ya kisiasa, akisisitiza kuwa siasa hizo zinachangia umasikini wa wakulima wa pamba na kwamba atahakikisha viongozi hao wanakamatwa na kuwekwa ndani...
  8. M

    PreGE2025 Mkulima aliyewaburuza mahakamani Mwigulu, Bashe ajitosa ubunge na ACT Wazalendo

    Mwanaharakati mashuhuri Kanda ya ziwa,Thomas Nkola maarufu kwa jina la Mkulima, amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama cha ACT Wazalendo kugombea ubunge katika Jimbo la Maswa Magharibi wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu. Amekabidhiwa fomu hiyo leo na Katibu wa chama hicho jimbo la Maswa...
  9. B

    Mkulima awahamasisha Wasukuma kumkabili Bashe anguko la bei ya Pamba

    MTANZANIA Mzalendo, Thomas Nkola maarufu Mkulima kutoka Kanda ya Ziwa ametoa wito kwa wakulima wote wa zao la Pamba kuandaa mashambulizi ya kumkataa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwa kuua zao la Pamba kwa kumtuhumu kuwa ni mnunuzi mkubwa wa zao hilo akishirikiana na baadhi ya wabunge. Kupitia...
  10. Fbn

    Waziri Bashe suala la Malawi ndio tiketi ya kukosa ziwa Nyasa. Najua Serikali haijawahi kufanikiwa kesi

    Tokea kupata uhuru ni serikali ya CCM ndio ipo madarakani, hakuna serikali nyingine mnayowadanganya wananchi kuwa mkinichagua mimi nitaleta maendeleo. Kitendo cha Waziri wa Kilimo Bashe bila kujua uzee wake unaweza kuwa majuto sio marehemu majuto unaweza kupelekea kujuta haya. Malawi...
  11. S

    Kijana Mzalendo aomba uraia wa Bashe uchunguzwe

    KIJANA Mzalendo, David Nkindikwa ameitaka Mamlaka inayohusika kuchunguza uraia wa Waziri Hussein Bashe akidai kuwa Chama cha Mapinduzi Mwaka 2010 kilimkata jina lake kwa tuhuma za kutokuwa raia wa Tanzania.. Sikiliza kwa makini Clip hii Kijana Mzalendo ameongea mambo mengi machafu kuhusu Bashe...
  12. B

    Hussein Bashe: Kwa mujibu wa katiba Rais ndiye msimamizi wa Rasilimali za nchi. Yeye ndiye anaegawa keki

    Wakuu mnaoulizaga ni wapi Rais anapata pesa anazogawa ama ruzuku anazotoa === Hussein Bahe akizungumza kwenye uzinduzi wa benki ya ushirika Dodoma, leo Aprili 28, 2025 amesema kuwa wanaouliza ni wapi Rais Samia anatoa wapi pesa anazogawa kwa wakulima inapaswa wajue Rais ndiye mgawa keki. Bashe...
  13. K

    Waziri Bashe katika makosa mengine ya kuepukika

    Ni ukweli usiopingika kuwa waziri Bashe anafanya makosa yanayoweza kuepukika hususani yale yanayoweza kuhatarisha diplomasia ya nchi kwa nchi ambapo nyenzo kubwa ya kudumisha diplomasia ni mazungumzo na falsafa ya Rais Samia ya 4R inasimamia hilo. Hili la kuzuia bidhaa kutoka Malawi na Afrika...
  14. Pascal Mayalla

    Baada ya Ile Nonsense ya Sukari, Nasubiria kwa hamu nonsense ya Bashe kuzuia Transit Goods za Malawi na SA, Hivi hakunaga Wanasheria huko Mawizarani?!

    Wanabodi Jana nilimsikia Waziri wa Kilimo。Mhe。 Hussen Bashe akitangaza vita vya kibiashara ya vyakula kati ya Tanzania,Malawi na Afrika Kusini, Bashe wakati akitangaza vita hiyo,sauti yake ilikuwa firm na authoritative as if he is CinC!kwa tone kama ya ki Magufuli Magufuli! Bashe ujumbe wako...
  15. Carlos The Jackal

    Mwambieni BASHE, Hasara ni kubwa Kwa Wafanyabiashara wa Bidhaa zinazoharibika mapema, Serikali iwalipe Fidia Hawa wafanyabiashara!!

    Huwezi kulala usiku, Asubuhi utoe zuio kama hilo, Bila kujua ni Bidhaa gan ' perishable goods ' ziko njiani kuelekea Nchi Jirani , na Zuio kama lake litagharimu Hasara kiasi gani. Pia soma: Bashe apiga marufuku mazao ya kilimo kutoka Malawi na Afrika Kusini kuingizwa nchini BASHE alikua na...
  16. Just Pray

    Bashe apiga marufuku mazao ya kilimo kutoka Malawi na Afrika Kusini kuingizwa nchini

    Tamko la Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu Biashara ya Mazao ya Kilimo na nchi za Malawi na Afrika Kusini. Pia soma: Malawi yazuia unga na mchele kutoka Tanzania, Serikali yaitaka nchi hiyo kufungua masoko, yatishia kuzuia === Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, ametangaza uamuzi...
  17. Just Pray

    Video, Bashe: Hii ndio hali ambayo wafanyabiashara wetu wako nayo baada ya Malawi kuzuia mazao kuingia nchini kwao

    Hii ndio hali ambayo wafanyabiashara wetu wako nayo baada ya Serikali ya Malawi kuzuia mazao kuingia nchini kwao. Kuvumilia hili kama Serikali inayohangaika na sekta ya kilimo ni ngumu. Nafahamu kumekua na maoni mbali mbali lakini naomba niendelee kusisitiza kuwa hadi Jumatano hii inayokuja...
  18. Just Pray

    Malawi yazuia unga na mchele kutoka Tanzania, Serikali yaitaka nchi hiyo kufungua masoko, yatishia kuzuia bidhaa za kilimo za Malawi

    Waziri wa kilimo Hussein Bashe kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X. ==== Salaam Ndugu zangu Watanzania,Serikali imepokea taarifa kuwa Serikali ya Malawi imezuia kuingia kwa mazao ya kilimo kutoka Tanzania, yakiwemo unga, mchele, tangawizi, ndizi, na mahindi. Hatua hii imeathiri moja kwa moja...
  19. S

    Mimi ni Mtanzania, lakini kwa huu msimamo wa Bashe kwa Malawi huu sio uungwana wala ujirani mwema

    Tanzania inaonekana hatuna sera ya mambo ya nje, tupo tupo tu. Lakini hata hivyo, kauli za Bashe kwa Malawi juu ya Malawi kuzuia uingizaji wa bidhaa za kilimo sio ya kiungwana, na haiakisi -Utanzania tulio nao. Tukio liko hivi, katika kudhibiti matumizi ya fedha za kigeni na kukuza kilimo ndani...
  20. S

    Wakulima wa Tumbaku Tabora wasema Bashe hafai kuwa Waziri anamharibia Rais Samia

    WAKULIMA wa Tumbaku Tabora wamepaza sauti zao kwa Rais Samia kumuondoa kwenye nafasi ya uwaziri wa Kilimo Mheshima Bashe kwani anamharibia sana kwa wananchi kutokana na kushindwa kuisimamia wizara ya Kilimo... Wasikilize kwenye hii link wakulima
Back
Top Bottom