bariadi

Bariadi is a town in Tanzania, East Africa. It is the capital of Simiyu Region, and the administrative seat of Bariadi District. Bariadi also refers to Bariadi Ward, an administrative unit in the district.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Hongereni Halmashauri ya Mji Bariadi kwa kulitengeneza gari hili la maji taka

    Siku chache zilizopita kupitia Jukwaa hili, nilileta moja ya hoja kutoka kwenye Halmashauri yangu ya Mji wa Bariadi. https://www.jamiiforums.com/threads/halmashauri-ya-mji-wa-bariadi-imetelekeza-vifaa-vilivyonunuliwa-kwa-fedha-za-kodi-za-wananchi-hawajali-hakuna-anayeumia.2413699/ Hoja hiyo...
  2. A

    DOKEZO Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Simon Simalenga azuia uwanja wa mpira wa Halmashauri kutumika kwa mazoezi ili achungie mifugo yake

    Umepita mwezi sasa uwanja wa mpira wa Halmashauri ya mji umezuiliwa kutumika. Hii ni mara ya pili, mwanzo ilizuiliwa Mkurugenzi akaruhusu mazoezi kufanyika na ukafunguliwa. Ghafla tu umefungwa kila watu wakifuatilia hakuna sababu zinazoeleweka kuhusu kuzuilia watu kutofanya mazoezi hali ambayo...
  3. K

    DOKEZO Halmashauri ya Mji wa Bariadi imetelekeza vifaa vilivyonunuliwa kwa fedha za Kodi za Wananchi, hawajali, hakuna anayeumia

    Kuna vitu vinafanywa na serikali ukiviangalia vinaumiza, vinatia watu hasira, na hata hakuna anayejali, au kuumia kama ambavyo Wananchi tunaumia. Hapo juu kuna picha nne, ingawa nimeziunganisha ili zikae sehemu moja, ni picha ya gari la taka, nyingine la kukusanya uchafu na nyingine ni mashine...
  4. Vodacom na Stanbic Benki wametoa msaada wa kijamii kwa Halmashauri ya Mji wa Bariadi, ukiwemo wa viti mwendo, Simiyu.

    Meneja Mauzo Mwandamizi wa Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Ziwa, Straton Mchau (wa pili kushoto) pamoja na Meneja wa Benki ya Stanbic Tanzania Tawi la Mwanza Geoffrey Makondo wakikabidhi moja ya viti Mwendo 4 kwa Afisa elimu maalum - Halmashauri ya mji wa Bariadi Rutherford Magayane (kulia) na...
  5. Mwl. Makungu amechukua fomu kuwania Ubunge Jimbo la Bariadi Vijijini, kuchuana na Masanja Kadogosa

    Aliyekuwa Katibu wa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Simiyu, ambaye ni Mwalimu na Mwandishi mahiri wa Makala , Mwl. Makungu Mussa Sweya, jana 2/7/2025 alichukua na kurejesha fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Bariadi Vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mwl. Makungu Ms amesema...
  6. Naibu Katibu Mkuu John Mongella Akinukisha Bariadi

    GTs, Ndugu Mongella amesema Mwenyekiti awaachie vijana washughulike na wakosoaji wake awaita hawana akili. Maana yake sijui tutegemee nini sasa kwa akina Mpina na Gwajiboy?
  7. SIKUKUU YA WACHAWI (MBINA) BARIADI LEO TAREHE 31/05/2025

    Unataka kuona uchawi njoo bariadi. Kuna Wagalu, Wagika na Wazuna Ikinyesha mvua ujue Wagika wameshinda na jua likiwaka ujue Wagalu wametoboa. Unataka kuona Fisi wanao ongea na wenye namba kama magari, njoo bariadi Unapenda kuona mtu akipaa na Ungo, sogea bariadi Unataka kuona mawe...
  8. B

    Gazeti la Jamhuri: Naibu Waziri Kundo Mathew anadaiwa kupata elimu na kazi kwa jina FEKI. Jina lake ni Andrew Nsumbu

    Mbunge wa Bariadi na Naibu Waziri wa Maji, Kundo Mathew anadaiwa kutumia jina FEKI kupata elimu na kazi. Inadaiwa Kundo alibadilisha jina baada ya kufeli na kurudia darasa la saba. Jina halisi la Waziri huyo ni Andrew Nsumbu, na alibadilisha jina hilo baada ya kwenda kurudia darasa saba huko...
  9. PreGE2025 Katibu wa CHADEMA Bariadi na wengine 83 wajiunga na CCM

    Katibu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu Bwana Charles Nduhi Lyaganda amejiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM akiambatana na Wanachama wengine 83 wa Chama hicho. Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa Kadi ya CCM, Lyaganda amewaambia wananchi kuwa...
  10. Sikiliza Nondo za Godbless Lema akiwa Bariadi Simiyu

    https://youtu.be/Um8sc9LW6bs?si=YZuMeOBmA6cRHtUj
  11. Responded Barabara ya Bariadi - Itilima Mkoani Simiyu iliyolalamikiwa na Mdau yafanyiwa maboresho

    Barabara ya Bariadi - Itilima ambayo ilielezewa na Mwanachama wa JamiiForums.com kuwa ni kero kwa Watumiaji, akaomba Mamlaka zinazohusika ziboreshe kwa kuwa shughuli nyingi za Kiuchumi na Kijamii zinasuasua kutokana na hali hiyo, sasa imeanza kufanyia matengenezo. Kuona hali ilivyokuwa awali ~...
  12. K

    DOKEZO Mnada wa Mifugo Bariadi - Simiyu, mapato mengi yanaishia mifukoni mwa Wakusanya Mapato

    Kama kuna sehemu uongozi wa Mkoa wa Simiyu, Wilaya ya Bariadi na vyombo vya kiuchunguzi wanatakiwa kutupia macho sana ni hili eneo la mnada wa mifugo Bariadi, unaopatikana kwenye eneo la Halmashauri ya Mji wa Bariadi, Mtaa unaitwa KIDINDA. Kwenye huu mnada wetu ambao kwa wiki unafanyika mara...
  13. Ujumbe wa Levinus Kidamabi katika "Barua ya Wazi kwa Emmanuel Nchimbi kuhusu Kutekwa Nikiwa Ndani ya Gari la Mwenyekiti wa UVCCM, Bariadi"

    Barua ya Wazi kwa Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi, Kuhusu Kutekwa Kwangu Nikiwa Ndani ya Gari la Mwenyekiti wa UVCCM, Bariadi Ndugu Katibu Mkuu, Amani iwe nawe! Ni imani yangu kuwa barua hii itakufikia ukiwa mwenye afya njema, ukiendelea na majukumu ya kulitumikia taifa letu ambalo leo...
  14. K

    KERO Responded Barabara Bariadi kwenda Itilima ni hatari, wananchi tunateseka, TANROADS - Simiyu hamuioni?

    Huu ndiyo mwonekano wa Barabara kutoka Wilayani Bariadi kwenda Wilayani Itilima Mkoa wa Simiyu, hii Barabara ni hatari Kwa Sasa imekuwa kero kubwa kwetu wananchi. Barabara imejaa mashimo kuanzia Bariadi hadi Itilima, Kwa Sasa tunasafiri Kwa muda wa saa mbili wakati ni mwendo wa Dakika 30 Kwa...
  15. K

    KERO NMB huduma zenu Tawi la Bariadi Simiyu ni kero, zinaudhi. zinatwibia wateja.

    NMB Bank nyie ni taasisi kubwa hapa nchini, kila siku mnajigamba kuwa ni Benki kubwa kuliko zote hapa nchini. Ni kweli nyie ni wakubwa, nasi wateja wenu tunakubali hilo, ila Kwa upande wetu wateja wa Wilaya hii ya Bariadi hamtutendei haki. Boresheni huduma zenu za ATM Mashine, Tawi kubwa kama...
  16. LGE2024 Halmashauri ya Mji Bariadi yautaka Umma kupuuza taarifa za upotoshaji za uwepo wa kura feki

    Hayo yamebainishwa katika taarifa iliyowekwa na TAMISEMI katika ukurasa wao wa Mtandao wa X TAARIFA KWA UMMA JUU YA UPOTOSHAJI WA UWEPO NA KARATASI FEKI(BALLOTPAPER) ZA KUPIGIA KURA KATIKA HALMASHAURI YA MJI BARIADI Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Mji Bariadi Ndugu. Adrian Jungu anapenda...
  17. LGE2024 Simiyu: Karatasi za kupigia Kura zakamatwa zikiwa zimewekewa tiki kwa wagombea wa CCM

    Anaandika mkurugenzi wa mawasiliano na mambo ya nje wa CHADEMA John Mrema kupitia mtandao wa X "Karatasi za Kupigia kura zikiwa tayari zimekwa tiki kwa wagombea wa CCM zimekamatwa Mkoa wa Simiyu Jimbo la Bariadi Mjini Mtaa wa Ngashanda kata ya Malambo" Soma pia: Mbinu za wizi wa kura...
  18. K

    DOKEZO Bila laki mbili Mjamzito hapati huduma za upasuaji, Hospitali za Serikali Bariadi, Simiyu

    Habari za wakati ndugu wana Jukwaa, Kwa muda sasa nimekuwa nafuatilia hii changamoto kwa wajawazito ambayo wanakumbana nayo wakati wa kujifungua katika vituo vya Afya na Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Bariadi Wilaya ya Bariadi hapa kwenye mkoa wetu wa Simiyu. Nimekutana na changamoto hizi...
  19. K

    KERO Dampo la Kidinda Bariadi linaanza kurudi, baadhi ya watu wanatupa taka usiku. Hatua zichukuliwe haraka

    Habari za wakati huu wanajukwaa. Kipindi cha miezi kadhaa iliyopita mwaka huu, Mimi kama mkazi wa hili eneo, niliandika hapa juu ya Dampo ambalo siyo rasmi lililoanzishwa na Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu katikati ya makazi yetu. Dampo hili ambalo lipo mtaa wa Kidinda, Halmashauri...
  20. K

    DOKEZO Tozo za ushuru wa Uchafu, Halmashauri ya Mji Bariadi - Simiyu hatuzielewi, tunaibiwa? Tunaomba ziwekwe wazi

    Habari za wakati huu. Mimi ni mkazi wa Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu, na ni Mfanyabiashara wa hapa mjini Bariadi ambako ni makao makuu ya Mkoa wa Simiyu, lakini makazi yangu yapo hapa hapa Mjini. Hivi Karibuni uongozi wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi, ulileta mzabuni mpya wa kukusanya taka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…