baraza

Violet Awindi Barasa (June 21, 1975, Sikhendu village, Bungoma District, Kenya – February 12, 2007, Webuye) was a volleyball player from Kenya. Her surname is sometimes spelled as Baraza.
She was a long-time captain for the Kenyan women's national volleyball team. Baraza represented Kenya in the 2000 and 2004 Olympic Games, three times in the World Championship and in numerous continental events.She was one of the few Kenyan players to play professional volleyball abroad, for Al Ahly in Egypt, Vileo and Unic-Romania in Romania, Panellinios in Greece and Dicle University in Turkey.She died in February 2007 at the Webuye District Hospital of undisclosed causes. At the time of her death, she was still an active player with the Kenya Commercial Bank volleyball club, although she had been dropped from the national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo litapigia kura azimio la kutaka kusitishwa mara moja kwa mapigano huko Gaza

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo litapigia kura azimio la kutakao kusitishwa mara moja kwa mapigano huko Gaza. Azimio hilo haliwekei masharti ya kusitisha mapigano kwa kuachiliwa kwa mateka waliosalia. Kwa maneno mengine, inawaacha Hamas madarakani, wakiwa na silaha, na kuwashikilia...
  2. Kwa haya yanayoendelea kuna umuhimu wa kuwepo Baraza la Dini mbalimbali Tanzania (Inter-Religious Council of Tanzania)?

    Habari wakuu Hili baraza liliundwa baada ya mashauriano kati ya taasisi za kidini kama BAKWATA, TEC, CCT, CPCT, pamoja na wawakilishi wa dini ya Hindu, Baha’i, na Budha. Malengo ya IRCPT ni pamoja na - Kuwezesha viongozi wa dini kushiriki katika utatuzi wa migogoro na kuzuia migogoro kabla...
  3. Live from Four Points by Sheraton DSM: Uzinduzi wa Muongozo Mpya wa Huduma Biashara za Sekta wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC)

    Wanabodi Niko hapa hoteli ya Four Points by Sheraton jijini DSM kuwaletea uzinduzi wa muongozo mpya wa ufanyaji biashara wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) ili Kurasimisha Biashara Ndogo Ndogo na Biashara ZIsizo Rasmi za Sekta Binafsi. Karibuni Paskali
  4. Dkt Godwin Mollel: NHIF imeanza kugharamia gharama za Huduma ya Afya ya Akili

    Serikali imesema huduma za afya ya akili zimeshajumuishwa kwenye vifurushi vya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), na hivyo wananchi wanaonufaika na bima wanaweza kupata matibabu hayo kwa mujibu wa mwongozo wa matibabu uliopo. Akijibu swali la Mbunge wa Iringa Mjini, Mhe. Jesca...
  5. Baraza la mawaziri la usalama la Israel liliidhinisha mpango wa Kuitwaa Gaza kutoka mikono ya Magaidi wa Hamas

    Baraza la mawaziri la usalama la Israel liliidhinisha mpango wa kupanua mashambulizi ya kijeshi huko Gaza, kwa lengo la kuishinda Hamas, kudhibiti eneo na kuwaachilia mateka. Mpango huo ni pamoja na kuwahamisha raia, kuwazuia Hamas kuchukua misaada, na kudhoofisha udhibiti wake. Utekelezaji...
  6. A

    DOKEZO Honorable minister notice of violation of sheria namba 12/1967 ya baraza la michezo la taifa (BMT)

    Your honor, this notice takes into account a letter dated 21stFebruary 2022 that our client (unknown) addressed you and before that our client also addressed two letters to National Sports Council (NSC) (The said letter is attached overleaf). Honorable Minister, on behalf of our client, we...
  7. Naomba kujua Bakwata wao hawakutoa waraka wao siku ya baraza la Eid.?

    Naomba kujua Bakwata wao hawakutoa waraka wao siku ya baraza la Eid.?
  8. A

    PreGE2025 Mwenyekiti wa Baraza la Makanisa ya Kipendekoste ataka mshikamano Tamasha la kuombea Uchaguzi Mkuu 2025

    Mwenyekiti wa Barazaa la Makanisa ya Kipenteksote Mkoa wa Dar es Salaam, Mchungaji Emmanuel Mwasota amesema tamasha la kuombea Uchaguzi Mkuu 2025 lipo kwa ajili ya maombi ya kuombea uchaguzi huo. Mchungaji Mwasota amewataka waumini wa madhehebu yote nchini kuiombea nchi ya Tanzania, viongozi...
  9. M

    MUFTI umeongea sana kuhusu Amani nchini lakini Bila kuzungumzia Haki usia wako unapwelea

    Ndugu Mufti Zubeir Kwa muda mrefu umezungumzia sana suala la amani nchini lakini huwa huzungumzii Haki, Pamoja na ujumbe wako wa amani hata hivyo kutokuzungumzia haki kunaufanya ujumbe wako upwelee. Dini ya Kiislamu inataka amani lakini inakataza dhulma. Mafundisho ya kiislamu yanasema kuwa...
  10. Rais Samia akishiriki Baraza la Eid El-Fitri kumbi wa JNICC Machi 31, 2025

    Rais Samia akishiriki Baraza la Eid El-Fitri kumbi wa JNICC Dar es salaam, leo tarehe 31 Machi, 2025. https://www.youtube.com/live/Hb63c_TjKB8?si=wqlP3wcHwx2apfo2 Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Alhaj Nuhu Jabiri, amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki...
  11. Baraza la Eid -Nyerere Convention Centre

    Baraza kuu la Idd litafanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Nyerere Convention Centre, Posta. Kuanzia Saa 8 mchana. Eid Mubarak.
  12. DC Mbogwe na DAS Arusha watoa utetezi mbele ya Baraza la Maadili

    Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, tarehe 28 Machi, 2025 imewafikisha mbele ya Baraza la Maadili Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe, mkoani Geita Mhe. Sakina Jumanne Mohamed na aliyekua Katibu Tawala wa Wilaya hiyo Bw. Jacob Julius Rombo kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka. Kikao cha...
  13. Baraza la Maadili lawakuta na hatia Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo, Meneja TANESCO, Diwani na Msajili Msaidizi wa Hati

    Cleophas John Mziray, Hakimu Mahakama ya Mwanzo Puge mkoani Tabora akiwa mbele ya Baraza la Maadili tarehe 27 Machi, 2025 kwa tuhuma za kushindwa kuwasilisha Tamko la Raslimali na Madeni kwa Kamishna wa Maadili kwa mujibu wa sheria ya Maadili. Tuhuma ambazo Cleophas amekiri hivyo Baraza...
  14. T

    Hoja za Mchome kuhusu ubatili wa Baraza na Maamuzi yake ni dhaifu

    Hoja za Mchome wa Chama kupinga maamuzi ya Baraza, Kamati Kuu na maamuzi yake siyo hoja inayoweza kutikisa chadema kwa vile hata anayoyalalamikia kama ni kweli yanaweza kurekebishwa kwa kuitisha kikao kingine na kufanya maamuzi ya kubariki uteuzi wa wajumbe wa kamati kuu na kisha kubariki...
  15. Wazir Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amfuta kazi mkuu wa Usalama wa Taifa Ronen Bar

    Baraza la mawaziri la Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu lilipiga kura kwa kauli moja kuunga mkono kumfukuza kazi mkuu wa Shin Bet Ronen Bar, ofisi ya Waziri Mkuu imetangaza. Siku ya mwisho ya Bar itakuwa Aprili 10, huku serikali ikisogeza hatua ya kumfukuza kazi baada ya hapo awali kuratibisha...
  16. N

    Nalishangaa Baraza La Madaktari Tanganyika (MCT)

    Ni mwaka sasa, tangu Baraza La Madaktari Tanganyika (MCT) lianze kusimamia mafunzo ya interns na hatimae kusajiri wataalamu wa lishe hospitalini (Clinical Nutritionist). Nalishangaa sana kwa kutofanya mambo yafuatayo. 1. Kuanza kwa kusajiri interns badala ya kuanza kwa kutambua na kuwasajiri...
  17. M

    Chuo Kikuu cha Iringa hivi imekuwaje Mwenyekiti wa Baraza amerejeshwa kibaruani kimyakimya?

    Mwenyekiti wa Baraza wa Chuo Kikuu cha Iringa, Dkt. Lilian Badi aliondolewa mara ya kwanza kwa tuhuma za mazingira tata lakini hivi karibuni amerejeshwa kazini huku kukiwa hakuna maelezo sahihi ya sababu za kurejeshwa kwake. Kibaya zaidi ni kuwa hakuna maelezo kamili yaliyotolewa kuhusu zile...
  18. Baraza la Uuguzi na Ukunga (TNMC): Wahitimu wanaosubiri Leseni wawe watulivu, tupo kwenye mchakato

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuwasilisha hoja akilitaka Baraza la Uuguzi na Ukunga (TNMC) kuwasaidia wahitimu kwa kuwapatia Leseni mapema kwa kuwa wanapitwa na fursa nyingi Mtaani, ufafanuzi umetolewa na Baraza hilo. Kusoma hoja ya awali, bofya hapa ~ Baraza la Uuguzi na Ukunga (TNMC)...
  19. Balozi Kombo kushiriki kikao cha 46 cha baraza la mawaziri AU

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amewasili jijini Addis Ababa, Ethiopia ambapo anatarajiwa kuongoza ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Kikao cha 46 cha Baraza la Mawaziri la Umoja wa Afrika (AU) kinachofanyika tarehe...
  20. Kama nyuma mwiko na singida zote zingepigwa tungepoteza mtu baraza la mawaziri nusura nyuma mwiko kupata sare!

    Muda huu kungekuwa na msiba mzito kwenye baraza la mawaziri kama nyuma mwiko angefungwa, Naona wanajeshi bado wana mishahara yao wamegomea bahasha na kocha wala hana shobo na nyuma mwiko.....aibu kwa refa aliyepokea bahasha amejitahidi kuongeza dk zake lakini la kuvunda halina ubani refa apewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…