barani afrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye mambo ya mtandao wa Internet waendelea kupunguza pengo la kidigitali barani Afrika

    Mwezi Agosti mwaka 2021, kwenye mkutano wa kwanza wa Maendeleo na Ushirikiano kwenye mambo ya mtandao wa Internet kati ya China na nchi za Afrika, China ilitangaza kuzindua mpango wa ushirikiano na nchi za Afrika kwenye eneo hilo, ukihusu ujenzi wa miundo mbinu ya mtandao wa Internet pamoja na...
  2. Ushirikiano wa umeme wa upepo kati ya China na Afrika wahimiza mageuzi ya nishati ya kijani barani Afrika

    Hivi karibuni, Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed, Rais wa Djibouti Ismail Omar Guelleh, na Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud walihudhuria hafla ya uzinduzi wa mradi wa umeme wa upepo wa Aysha, uliojengwa na kampuni ya China katika Mkoa wa Somali, mashariki mwa Ethiopia. Kwa muda mrefu...
  3. ATHARI YA SIASA kwenye Taarifa za kifedha barani Afrika. Mfumuko wa Bei Washuka, Lakini Hatari Mpya Zaongezeka

    Taarifa za kifedha barani Afrika. Mfumuko wa Bei Washuka, Lakini Hatari Mpya Zaongezeka 🎯Ongezeko la mzozo wa Mashariki ya Kati limesababisha bei ya mafuta duniani kufikia $90 kwa pipa, kiwango cha juu zaidi katika kipindi cha miaka miwili. Hali hii inatishia kudhoofisha kasi ya kushuka kwa...
  4. Vita barani Afrika

    VITA BARANI AFRIKA.. Nchi ya kwanza kujitawala upya katika Afrika ni nchi za Afrika ya Kusini zilizojiunga na kujiendesha wao wenyewe katika mwaka 1910. Misri, katika mwaka wa 1922 walikuwa wanajiendesha wenyewe, na Tangier katika mwaka wa 1925. Madola mengi ya Afrika yalianza kupigania uhuru...
  5. L

    Rais Samia Ateuliwa Kuwa Bingwa Wa Afya ya Mama na Mtoto Barani Afrika

    Ndugu zangu Watanzania, Usishindane na aliyebarikiwa na Mungu, huwezi kumshusha aliyeinuliwa kwa mkono wa Mungu,Huwezi Kumpaka matope na kumchafua aliyepewa kibali na Mungu . Rais Samia kwa hakika ni chaguo la Mungu,ni Mpango wa Mungu. Alizaliwa kwa makusudi maalumu katika Ardhi hii.. ni Rais...
  6. Tanzania imeshika nafasi ya 22 Afrika kwa kuwa na IQ (uwezo wa akili) mkubwa zaidi barani Afrika

    Tanzania imetajwa na mtandao wa International IQ Test kuwa ya 22 barani Afrika kwa kuwa na kiwango cha juu cha uwezo wa akili kwa mwaka 2026, huku Algeria, Tunisia na Morocco zikiongoza orodha hiyo kwa upande wa bara la Afrika. Kwa Afrika Mashariki, Kenya imeongoza imeshika nafasi ya kwanza...
  7. L

    PICHA: Ulinzi wa Rais Samia ni wa Kikomandoo na haujawahi kutokea barani Afrika. Hata sisiminzi hawezi kukatisha

    Ndugu zangu Watanzania, Sisi Ni Taifa Kubwa,sisi ndio tulio zikomboa na kuzisaidia Nchi Nyingi sana za kusini Mwa Afrika kujipatia Uhuru wake. Sisi ndio Kwa Miaka mingi tumekuwa sauti ya Afrika na waafrika,sisi ndio tumekuwa watetezi wa Afrika na waafrika. Sisi ni Wababe kwa Mambo mengi . Sisi...
  8. L

    Sera ya kuwepo kwa China Moja inasisitizwa wakati wa ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa China barani Afrika

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Bw. Wang Yi, amemaliza ziara yake ya mwaka mpya barani Afrika, kitu ambacho ni sehemu ya desturi ya miaka 36 sasa ya Waziri wa Mambo ya Nje wa China kufanya ziara ya kwanza barani Afrika kila mwaka mpya unapoanza. Moja kati ya mambo aliyofanya akiwa ziarani...
  9. L

    Ushirikiano Kati ya China na Afrika waweka mwelekeo sahihi wa kuboresha kilimo barani Afrika

    Moja kati ya maeneo yanayotajwa kuwa na uwezekano mkubwa wa kuliondoa bara la Afrika kwenye changamoto za umaskini na usalama wa chakula ni kuboresha sekta ya kilimo. Kutokana na bara la Afrika kuwa na ardhi kubwa inayofaa kwa kilimo, idadi kubwa ya watu wanaojishughulisha na sekta ya kilimo, na...
  10. Bei ya Mamlaka: Vurugu za Uchaguzi na Falsafa ya Uongozi Barani Afrika

    Katika historia ya mataifa mengi, uchaguzi—ambao unapaswa kuwa alama ya demokrasia—umegeuka kuwa kumbukumbu ya maumivu, machozi na vifo. Katika baadhi ya nchi za Afrika, imekuwa kawaida kuona majeshi yakimiminika mitaani, mabomu ya machozi yakipiga kelele kila kona, na miili ya vijana ikijaa...
  11. Ramani ya Makundi ya Kidini Barani Afrika

  12. Nguvu ya Dijitali inavyosukuma kwa kasi kete ya mabadiliko ya kisiasa Barani Afrika

    Photo: fintechassociation.africa/ Kwa zaidi ya miongo miwili, tawala nyingi za mataifa mengi ya Afrika zimekuwa zikikabiliwa na lawama nzito kutoka kwa wananchi kuhusu ukosefu wa utawala bora, kuendelea kwa vitendo vya ufisadi na mifumo dhaifu ya uwajibikaji. Hali hii imekuwa ikitazamwa kama...
  13. I

    Jeshi 10 bora zaidi barani Afrika mwaka 2025, uwezo, nguvukazi na bajeti

    Faharasa hupima nguvu kazi, vifaa, na rasilimali za kifedha ili kutoa “Kielezo cha Nguvu” linganishi. Katika ripoti hii, tunaangazia mataifa 10 yenye majeshi bora zaidi barani Afrika, tukielezea uwezo na nguvu zao muhimu, pamoja na takwimu za hivi punde za bajeti ya ulinzi kwa dola za...
  14. Ongezeko la uwekezaji halimaanishi ongezeko la ushawishi wa Marekani barani Afrika

    Takwimu zilizotolewa katika ripoti ya Mpango wa Utafiti wa China na Afrika iliyotolea na Chuo Kikuu cha Johns Hopkins cha Marekani zinaonyesha kuwa, mwaka 2023, uwekezaji wa moja kwa moja wa Marekani barani Afrika ulifikia dola bilioni 7.8, ukizidi dola bilioni 4 za China. Hii ni mara ya kwanza...
  15. L

    Mfuko wa maendeleo wa China na Afrika(CAD-Fund)wahimiza maendeleo ya pande zote barani Afrika

    Mfuko wa Maendeleo wa China na Afrika (CAD-Fund) ulianzishwa kwenye juni mwaka 2007, kwa lengo la kuitikia mahitaji ya ukosefu na fedha na uwekezaji kwenye miradi ya maendeleo katika nchi za Afrika. Katika muda wa miaka 18 tangu kuanzishwa kwake, mfuko huo umetatua changamoto nyingi za kifedha...
  16. L

    Madaktari wa China barani Afrika wapongezwa kwa kuleta matumaini kwa wagonjwa

    Nchi nyingi za Afrika zimekuwa zikikabiliwa na changamoto kubwa za huduma za afya, ikiwa ni pamoja na uhaba mkubwa wa wataalamu na ukosefu wa miundombinu. Licha ya msaada mkubwa wa kimataifa, juhudi za Timu za Madaktari wa China katika kushughulikia masuala ya afya barani Afrika si jambo la...
  17. U

    Uzi maalumu wa picha mbalimbali za Kijana tajiri na maarufu sana barani Afrika Wicknell Chivayo

    Moderator uache Uzi huu uwe huru Tafadhali, mdau weka picha yako
  18. si kweli kuwa Nigeria ndio taifa lililoelimika zaidi barani Afrika

    Mnano agosti 24 2025 kumekuwa a chapisho ambalo linasambaa kwenye mitandao ya kijamii hasa facebook likieleza kuwa taifa la Nigeria ndio taifa ambalo limeelika zaidi huku likifuatiwa na mataifa kadha wa kadha barani afrika …. kando na halo chapisho hilo linasomeka kuwa nchi zilizoelimika zaidi...
  19. Nairobi yatajwa kuwa jiji la tatu lenye hewa chafu zaidi barani Afrika

    Nairobi yatajwa kuwa jiji la tatu lenye hewa chafu zaidi barani Afrika
  20. K

    Unajua kwamba Yanga inagonga 90? Lakini, haijawahi Kuwa Miongoni Mwa Wababe Watano Bora Kwa Soka Barani Afrika..!

    Miaka 90 si haba..! Kwa michuano ya ndani kama NBC na CRDB si haba inayo mafanikio pia ingawa inajulikana michuano ndani kuna janja janja nyingi, sasa Kimataifa tupoje.? Simba yenyewe inaendelea kujivinjari nafasi za juu Ranking za CAF Kwa Ubora wa Kusakata Kabumbu barani Afrika, wakati fulani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…