barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wayahudi wamekimbilia wapi miji yote mieupe hamna hata mbwa barabarani

    Baada Netanyahu kukimbia kwa mwendo wa ngiri raia nao wamekimbilia kwenye mapango kujificha kuogopa kamikaze za uajemi Sasa hata paka hawaonekani barabarani
  2. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini watu wanaoendesha Harrier ni wazembe na wazubavu sana barabarani?

    Hawa watu huwa wanakuwa na matatizo gani? Wanazubaa hovyo barabarani na kusababisha usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara. Mpaka kuna wakati nadhani magari yao ndio mazito na mizigo maana haiwezekani kila mahali naona wanafanana tabia.
  3. JamiiForums Tanzania Tumefanya hii kampeni ila lazima tukubali tunawajibu wakiingia barabarani kivyovyote vile

    Hawa jamaa wameshajilimbikizia mimali na kadri miaka inavyozidi kwenda wanazidi kutesa wananchi ni wajibu wetu sisi kama wananchi kuingia barabarani kivyovyote vile na hii ndio njia rasmi ya kudai haki mtandaoni tumeshawaweza ni mda wa kuingia barabarani na tutashinda tu wataobaki salama...
  4. JamiiForums Tanzania CCM Mbeya yatoa Rambirambi kwa Familia 28 zilizopoteza wapendwa katika Ajali ya Barabarani

    Chama Cha Mapinduzi CCM mkoa wa Mbeya kimetoa rambirambi yake kwa familia 28 zilizoondokewa na ndugu kufuatia ajali ya magari iliyotokea siku ya Jumamosi usiku. Soma: Watu 28 wafariki kwenye mteremko wa Mbalizi, mkoani Mbeya, wengine 9 wajeruhiwa Akiongea na wafiwa kwa niaba ya Mwenyekiti wa...
  5. JamiiForums Tanzania Waumini wa kanisa la Askofu Gwajima wafanya maombi barabarani

    Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Josephat Gwajima, Ubungo Dar es Salaam wamelazimika kufanya maombi pembezoni mwa Barabara ya Ubungo-Kimara baada ya kanisa hilo kufungwa. Kanisa hilo limefungwa huku askari polisi zaidi ya 20 wakiwa wamelizunguka kuimarisha ulinzi eneo hilo.
  6. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kupata uzoefu barabarani

    Kwa Wadau wa usafirishaji na madereva. Mimi naomba kutembea na mtu kwenye gari hasa magari makubwa ili nipate uzoefu barabarani Nina lessen daraja D. Naishi Kiluvya-Pwani. Nipo tayari kujituma na kufanya kazi atakazo nipa. Mawasiliano yangu Email. farajanh53@gmail.com
  7. JamiiForums Tanzania Wamachinga barabara ya Soko la Kariakoo wapewa wiki mbili kuondoka

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametoa wiki mbili kwa wafanyabiashara ndogondogo walio katika barabara za kuingia soko kuu la Kariakoo kuondoka. Hatua hiyo inakuja ikiwa ni kuelekea ufunguzi wa soko hilo, lililokuwa katika ukarabati tangu Julai 10, 2021 baada ya kuungua...
  8. JamiiForums Tanzania Polisi Trafiki komesheni ajali za wakimbia kwa miguu barabarani

    Polisi Trafiki waelimisheni wanaokimbia au kutembea kwa miguu barabarani watumie upande wa kulia ambao wanatazamana na vyombo vya moto vinavyokuja upande wao. Mara nyingi zimetokea ajali za watembea au wakimbia kwa miguu kugongwa na vyombo vya moto vinavyokuja nyuma yao kutokana na kutoviona.
  9. JamiiForums Tanzania Kunani ongezeko la magari yanye ngao (bullbar) barabarani, zinaruhusiwa na wengine tufunge?

    Kwa kumbukumbu zangu magari yenye ngao yalipigwa marufuku kwa sababu ya usalama wa watumiaji wengine wa barabara. Hii ilisaidia kidogo madereva kuwa makini, hata kama una gari kubwa ilikuwa lazima uwe na nidhamu, ukigonga wenzako basi ujue fedha ya taa na bampa zinakuhusu. Sasa hivi kila basi...
  10. JamiiForums Tanzania Madereva wa Serikali mnatumalizia Maboss barabarani!

    Juzi mmekatisha uhai wa Boss wa TANESCO Leo tena mmesababisha vifo vya maboss zetu kwa ajali Dakawa. Hali hii itaendelea mpaka lini?
  11. JamiiForums Tanzania KUWA MAKINI unaposhoboka na wanawake barabarani!

    Salamu wakuu! Twende kwenye mada husika, Hii imetokea kweli, Kuna bi dada mmoja alikuwa anajipitia zake barabarani, ghafla ikapaki gari pembeni mwa barabara, na ndani ya gari alikuwepo mchina(mwanaume) basi akamsemesha bidada Kwa kiswahili chake kibovu, bi dada bila hiyana akampa namba, baada...
  12. JamiiForums Tanzania Kazi za barabarani roho mkononi

    Hapa nazungumzia bodaboda na Bajaj Ni wazi kuwa ajali anapanga Mungu, ila ukiwa na KAZI tajwa hapo juu basi uwezekano wa kupata ulemavu wa kudumu ni 65% Na uwezekano wa kupata kifo muda wowote ni 50% Ni aina ya KAZI ambayo inakushape kupata hela ya kula kesho, kulipa Kodi na kuvaa. Sio KAZI...
  13. JamiiForums Tanzania Nimesikitika kusimamishwa barabarani nusu saa kisa Stephen Wasira anapita

    Tukio limetokea leo asubuhi Dodoma, tumesimamishwa na Polisi magari yote yakae pembeni nikadhani ni kiongozi mkubwa anapita kumbe ni Mzee Stephen Wasira
  14. JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kukutana na Trekta, Guta, au mikokoteni ya ng'ombe na punda inayohatarisha usalama wa barabarani?

    FUNGUKA! Huenda safari zako nyingi ni za usiku. 1. Je, uliwahi kukutana na Trekta, Guta, au mikokoteni ya ng'ombe na punda ambayo inahatarisha usalama wa barabarani? 2. Taja wilaya/mkoa, au eneo lolote lenye changamoto ya wingi wa matrekta, guta, au mikokoteni ya ng'ombe na punda ambayo...
  15. JamiiForums Tanzania Somo kwa vijana: Hatukuhitaji ubwatukaji barabarani kurejesha mfumo wa vyama vingi bali utashi na utulivu wa kisiasa

    Kwenye miaka ya 90s Chama cha Mapinduzi na Serikali kiliridhia kwa utulivu uanzishaji au urejeshaji wa mfumo wa vyama vingi. Hii ni baada ya mchakato wa kupata maoni ya watanzania japo wengi wao hawakutaka kuwepo kwa mfumo huu wa sasa. Hivyo wala hatuhitaji ajitokeze mwanasiasa aliyeshiba bia...
  16. JamiiForums Tanzania DAWASA yarekebisha eneo la Posta kulipokuwa na changamoto ya majitaka kutiririka barabarani

    UTIRIRISHAJI MAJITAKA POSTA WADHIBITIWA Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imedhibiti utiririshaji wa majitaka kwa uondoaji wa majitaka na taka ngumu zilizokuwa zimepelekea chemba kuziba katika eneo la Posta. Mamlaka inasisitiza matumizi sahihi ya miundombinu ya...
  17. JamiiForums Tanzania Chemba zilizokuwa zikitiririsha majitaka barabarani maeneo ya Posta (Dar) zimerekebishwa

    Juzi niliandika hapa JF taarifa kuhusu maji taka yaliyokuwa yakitiririka eneo la Posta barabara inayotokea Kanisa la KKKT kuelekea Karimjee ambayo yalikuwa yanatoka katika chemba zilizokuwa zimefumuka. Inadaiwa kuna maafisa wa Mamlaka ya Serikali wamefika na kutengeneza miundombinu iliyokuwa...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Uchaguzi hautafanyika wananchi mkakubaliana na msimamo wetu mkaandamana siku ya uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, chama hicho kitaitisha maandamano ya kuuzuia uchaguzi usifanyike. Kauli hiyo ya Lissu, inajibu swali kuhusu mbinu ambayo chama hicho itaitumia kuzuia uchaguzi...
  19. JamiiForums Tanzania KERO Responded Posta ya Dar kuna chemba zinatiririsha maji taka barabarani, Mamlaka hazijaona, mbona zipo kimya?

    Eneo la Posta barabara inayotokea kwenye Kanisa la KKKT kuelekea Karemjee kuna chemba zimepasuka zinatiririsha maji taka, hali ni mbaya hasa kwa watembea kwa miguu. Tunaomba mamlaka zitafute suluhu ya hii changamoto, njia nzima imejaa maji taka hali ambayo inaleta kero na hofu ya Watu kupata...
  20. JamiiForums Tanzania Picha: Chombo cha usafiri kutembea bila taa usiku, je ni salama?

    Picha inajieleza, chombo hakina taa kinatembea usiku kwa hisani ya aliyetangulia mbele na kimenyofolewa namba za usajili ili kisitambuliwe. Je usalama barabarani unabagua?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…