Imenipendeza kutoa maoni yangu kupitia jamiii forum.
Hapa Dodoma imekuwa jiji na makao makuuu ya nchi. Ushauri wangu kwa wahusika, barabara kuu kutoka Dodoma kwenda Dar ni ya siku nyingi sana.
Hivyo ujio huu wa makao makuu imezidiwa sana na magari,hasa kipindi cha asubuhi na jioni na...