barabara mbovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Barabara za Bugarika-Mahina-Nyakato jijini Mwanza ni changamoto

    Wahusika wa Barabara za Bugarika kwenda Mahina hadi Nyakato Temeke ni changamoto kubwa kwa wapita njia. Imefikia wakati vyombo vya moto vinasubiriana upande kwa upande jambo ambalo linapoteza muda na mafuta katika foleni.
  2. M

    KERO Barabara Mkuranga siyo nzuri, kuchonga tu pekee haitoshi

    Jimboni kwa Mbunge Ulega hali ya barabara sio nzuri, wasaidie wakazi badala ya kutumia nguvu na pesa nyingi kuchonga.
  3. A

    KERO Mkandarasi wa barabara ya Majichumvi-Migombani anatutesa kwa zaidi ya Mwezi sasa

    Barabara ya External kwenda Majichumvi eneo la Migombani (Majichumvi) inayopita OBAMA BAR kuanzia Ofisi ya Serikali ya Mtaa Mianzini kutokezea njia Panda ya Bonyokwa na Segerea inatutesa sana. Mkandarasi alifunga njia kipindi chote cha mvua, tumeteseka vya kutosha maana diversion aliyotuelekeza...
  4. Ms Billionaire

    Changamoto ya barabara mbovu Goba Kulangwa/Tegeta a Serikali inapuuza?

    Habari wadau. Narudi tena kusisitiza shida za Barabara za Goba kulangwa! Leo tumenusurika tena kupoteza watoto kumi. Sijui tupige vipi kelele hizi barabara zitengenezwe kwa ubora. Sio kutupitishia magreda! Maana Mvua zikija zinasomba tena! Nasisitiza tena. 1. Kuna ile njia Goba kulangwa...
  5. proisra

    KERO Halmashauri ya Mji Kibaha tatueni kero za barabara mbovu katika Kata ya Maili Moja

    Kama kuna aibu inayoinyemelea Halmashauri ya Mji Kibaha ni ubovu wa miundombinu ya barabara zake, na hasa zilizopo katikati ya Mji (Kata ya Maili Moja). Hii ni kero ya muda mrefu sana, kwa Halmashauri ya Mji Kibaha kushindwa kuweka vipaumbele vya ujenzi wa barabara za pembezoni na hasa katika...
  6. JanguKamaJangu

    Hiii ni Kariakoo Gerezani ndani ya Jiji la Dar es Salaam, ni aibu kwa kweli

    Nimerekodi video hii jana asubuhi Machi 20, 2024 nilipokuwa napita mitaa ya Kariakoo, hapa ni jirani na kilipo Kituo cha Mwendokasi pale Gerezani, kama unavyoona mwenyewe hali ya barabara si nzuri. Magari na watu wote kwa pamoja wanapata changamoto ya kupita, mvua ikinyesha hali ndio inakuwa...
  7. Mr Sir1

    KERO Jerry Slaa, jimbo lako linakuhitaji barabara mbovu mno

    Jerry Slaa hebu weka muda kidogo kutoka kukataa hongo ya mil. 300 uje uangalie njia za Ukonga hasa ya Kitunda kuelekea Mwanagati. Hali ni mbaya mno huku. Hatujakuona toka ulipokuja kupiga kampeni.
  8. Msitari wa pambizo

    Hivi kuna manispaa/Halmashauri yenye barabara mbovu nchi hii kuliko Manispaa ya Ubungo?

    Wiki hii nilikua na community based activity mkoa wa Dar es salaam. Nilipita chocho kwa chocho. Na kwa sehemu kubwa nimetembelea karibu manispaa zote za mkoa wa Dar es salaam. Nachelea kisema kuwa manispaa ya ubungo ina hali MBAYA sana ya miundombinu ya barabara. Mpaka nikajiuliza hivi manispaa...
  9. Not_James_bond

    Mbeya ni jiji lenye barabara mbovu kuliko zote Tanzania

    Nimekuwa mkazi wa Mbeya kwa kipindi cha zaidi ya miaka minne sasa, lakini kati ya majiji yote niliyowahi kutembea katika kipindi chote, sijawahi kuona jiji lenye barabara mbovu kama Mbeya. Kuna barabara za lami zimekuwa na mashimo makubwa kwa zaidi ya miaka miwili, na ni barabara zenye umuhimu...
  10. sajo

    TARURA na Mbunge wa Kibamba, barabara ya Kibamba-Hondogo-Kidimu ni mbovu sana. Tutengenezeeni

    Hali ni mbaya sana kwa barabara ya Kibamba kwenda Hondogo kata ya Kibamba wilaya ya Ubungo. Hatuoni viongozi wakichukua hatua kurekebisha, si TARURA, si diwani, mbunge wa kuchaguliwa wala mbunge wa viti maalum wamefanya hata ziara kuangalia au hata kuagiza magreda kuja kutengeneza barabara...
Back
Top Bottom