bara

The Bära is a river in Baden-Württemberg, Germany. The Bära is a tributary of the Danube, and originates at the confluence of the Obere Bära (Upper Bära) and the Untere Bära (Lower Bära). The 12.7 kilometres (7.9 mi) Bära, together with the Lower Bära, which is longer and has a larger drainage basin, has a combined length of 26.5 kilometres (16.5 mi).

Obere and Untere Bära join to form the Bära in the Galgenwiesen ("gallows meadow"), about four kilometers above the resort of Bärenthal. This runs moderately without significant inflow a further 12.7 kilometres (7.9 mi) south-southeast in Talschlingen, draining an additional area of 31.2 square kilometres (12.0 sq mi). Passing through Bärenthal at last it flows into Fridingen and there, near the town mill, it flows last of all in a southwesterly direction into the upper Danube, approximately at the entrance to the Fridingen Danube Bend.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kutoka Dunia ya Tatu hadi Kwanza: Tanzania na Ustawi wa Kiuchumi wa Mikoa yote, bara na visiwani

    1. Ndugu zangu Watanzania, wa dini zote, vyama vyote vya siasa, kanda zote nchini na rika zote, ni wakati wa kujiuliza: [ISPOILERNi wapi tumekosea hadi kushindwa kufikia mafanikio ya kweli ya maisha? 2. Tumeishi kwa matumaini ya maendeleo, lakini bado tunaonekana kubaki nyuma licha ya...
  2. JamiiForums Tanzania Mwaka 2050 bara la Afrika litakuwa na vijana wengi wasomi watakao kwenda kulisaidia bara la Ulaya, Je watanzania tumejiandaaje kutoa vijana hao?

    Kenya already in it - they doing it BIG, Rwanda Next one in line.. Uganda might as well be on the move - Sisi tukajiandikishe daftari la kupiga kura na mambo yetu ya serikali za mitaa kwanza.. Part of Africa is Doing iT 🙃
  3. JamiiForums Tanzania Ni nini siri nzito iliyopo kweye bara la Antarctica

    Bara la Antarctica ni sehemu ambayo tumezoea kuambiwa ni eneo lilojaa barafu likiwa na viumbe waishio kwenye barafu tu ila hivi karibuni watu wamejawa na maswali na shauku ya kuwa hivi ni kweli hii eneo lina barafu na hao viumbe tu na hakuna kitu kingine kilichojificha, viasharia vinaanza...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nasubiri kuiona siku Rais Samia akipigiwa mizinga Zanzibar kama ilivyo huku bara

    Salaam, Shalom!! Sisi wengine shule zetu ndogo, unakaa unajiuliza ikiwa tuna Nchi Moja Tanzania, na Rais Samia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, iweje akiwa Zanzibar Hana mamlaka kama huku bara? Sasa huu Muungano mbona utata mtupu? Kwanini hawezi kugusa hata kisiwa kimoja kule...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Mstaafu Dkt. Kikwete: Amani na Utulivu nchini kwetu ni matokeo ya msingi imara uliowekwa Hayati Mwalimu Nyerere

    RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema amani na utulivu ambayo nchi nyingi duniani na bara hili wanayaona nchini ni matokeo ya msingi imara ambao umejengwa chini ya uongozi wa Baba Taifa hayati Mwalimu Julius Nyerere na kuongeza kuwa ni jukumu la kila Mtanzania kulinda...
  6. JamiiForums Tanzania Je Wajua Kwanini Bara zinaitwa Shule lakini Zanzibar zinaitwa Skuli?

    Wanabodi Kuna baadhi ya maneno hiku Bara yanatamkwa vingine na Zanzibar vingine mfano neno Shule kwa huku bara, kwa Zanzibar zinaitwa skuli. Sikuwahi kujiuliza Kwanini, ila leo ndio nimejua kwanini bara zinaitwa shule lakini Zanzibar zinaitwa Skuli. Kupitia live Mubashara ya TBC kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Msimamo na Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2024-2025.

    Ndugu wanamichezo wote! Leo 16-08-2024, Ligi Kuu Tanzania Bara inaanza. Nawaletea kwenu uzi maalumu utakaokuwa unawapa Updates za Msimamo wa Ligi ulivyo kila baada ya Mechi ndani ya msimu mzima! Mechi ya Leo 16.08.2024 Pamba 0- 0 Prison RATIBA YA GAME ZA 1st to 4th Round. Ligi ina jumla...
  8. JamiiForums Tanzania Ufunguzi Ligi Kuu Bara 2024/25: Pamba Jiji vs Prisons, Agosti 16, 2024, Saa 10:00 Jioni

    Agosti 16, 2024 Pamba Jiji vs Prisons 10:00 Jioni Agosti 17, 2024 Mashujaa FC vs Dodoma Jiji 10:00 Jioni Namungo FC vs Fountain Gate 1:00 Usiku Agosti 18, 2024 Kengold FC vs Singida BS 8:00 Mchana Simba vs Tabora United 11:15 Jioni
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Dr Bashiru Makamu Mwenyekiti Bara

    Heshima sana wanajamvi, Taarifa nyeti chini ya carpet Dr Bashiru Katibu Mkuu Mstaafu na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafishwa anatarajiwa kuchukua mikoba ya Lt Col Kinana. Katika hatua ya kujiondoa taratibu kutoka kambi ya Wazee wa kulamba asali Mama wa Kizimkazi kaamua kijikita zaidi huko Kanda ya...
  10. JamiiForums Tanzania Waamuzi kutoka Zanzibar kwanini wachezeshe mechi za Tanzania Bara?

    Kwa muda mrefu, hayati Hafidh Ali alikuwa anaonekana kama taswira ya waamuzi bora kuwahi kutokea Zanzibar, akiaminiwa na IFOZA wakati huo na baadaye ZFA na sasa shirikisho la Soka la Zanzibar (ZFF), na hadi Shirikisho la Soka Afrika (CAF) na lile la dunia, FIFA. Hafidh Ali hakuishia kuchezesha...
  11. JamiiForums Tanzania Leo tuangalie nchi tajiri kutoka katika kila bara

    Hapa ni orodha ya nchi 20 zilizotajiriwa zaidi katika bara la Asia kutokana na Pato la Taifa la Jumla (GDP) kwa mwaka 2023: 1. China - GDP: $14.72 trillion 2. Japan - GDP: $5.11 trillion 3. India - GDP: $3.18 trillion 4. South Korea - GDP: $1.66 trillion 5. Saudi Arabia - GDP: $833.56 billion...
  12. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nani kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara baada ya Mzee Kinana kujiuzulu?

    Mimi nabashiri Msigwa:p:p:p:p PIA SOMA - Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia
  13. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mzee Alhaj Luteni (Mstaafu) Yusuf Makamba M/kiti CCM Bara

    Kufuatia kujiuzulu Kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara A. Kinana Wachambuzi wa siasa wanampa asilimia kubwa Mzee Luteni (Mstaafu) Alhaji Dr Yusuf Makamba kupokea kijiti cha uongozi CCM. - Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia - Nani atakuwa Makamu...
  14. JamiiForums Tanzania SMZ: Kuna ongezeko la uhamiaji holela wa watoto kutoka Tanzania Bara kuja Zanzibar

    Serikali ya Zanzibar imesema kuna ongezeko la uhamiaji holela wa watoto kutoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar unaochangiwa na umaskini na unyanyasaji. Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Zanzibar, Abeida Rashid ametoa kauli hiyo wakati wa mazungumzo ya kitaifa ya...
  15. JamiiForums Tanzania Shangwe Ayo: Viongozi Wakuu wa ACT Wazalendo watafanya ziara kwenye Mikoa 22 na Majimbo 125 Tanzania Bara

    ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPARENCY (ACT WAZALENDO) TAARIFA KWA UMMA VIONGOZI WAKUU WA ACT WAZALENDO KUFANYA ZIARA KWENYE MIKOA 22 TANZANIA BARA Kuanzia tarehe 22 Julai 2024, Viongozi Wakuu wa ACT Wazalendo watafanya ziara kwenye Mikoa 22 na Majimbo 125 Tanzania Bara kwa ajili ya kujiandaa...
  16. JamiiForums Tanzania Traditional Medicine: Utafiti juu ya Changamoto za kisheria katika kulinda Maarifa ya Jadi Tanzania Bara

    Habari wakuu (English version below) Ninafanya utafiti juu ya Changamoto za Kisheria katika kulinda Maarifa ya Jadi katika Tanzania Bara. Ili kupata matokeo ya utafiti yenye thamani, naomba kuchukua dakika 5 za muda wako kujaza dodoso langu: Ulinzi wa Kisheria wa Maarifa ya Jadi katika Tanzania...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Unafahamu kuwa Upasuaji wa Uzazi (C-Section) wa kuokoa maisha ya Mama na Mtoto ulikuwa ukifanyika Nchini Uganda kabla ya Bara la Ulaya?

    Upasuaji wa kwanza wa Uzazi (C-Section) ulifanikiwa kufanyika Barani Afrika, ambapo Mama na Mtoto wote walikuwa salama, mara nyingi ujuzi huu, ingawa Daktari Mwingereza, James Barry amekuwa akihusishwa zaidi na upasuaji huu kutokea Cape Town, Afrika Kusini. Caesarian Section (C-Section) ni...
  18. JamiiForums Tanzania Sensa ya 2022: Zanzibar wako vizuri kuliko Tanzania bara

    1. umiliki wa simu kwa watu wenye umri miaka 15+ Tanzania bara= 82.5% Zanzibar= 88.8% 2. Kaya kumiliki nyumba au makazi yao Tanzania bara= 64.5% Zanzibar= 71.3%
  19. D

    JamiiForums Tanzania Nchi zilizoungana ni Tanganyika na Zanzibar, kwanini Zanzibar ipo na sisi ni Tanzania bara, kwanini wasioitwe Tanzania Visiwani?

    Muungano wetu ni wa nchi zilizokuwa Tanganyika na Zanzibar. Leo hii viongozi wanaogopa na kuona aibu kutaja Tanganyika ila wazanzibari wanaona fahari kuitaja Zanzibar, wana bendera yao, wimbo wao wa Taifa, wana bunge lao, Rais wao, serikali yao, mahakama zao. Kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mkutano wa Berlin na kuvunjika kwa umoja wa waafrika katika bara letu, je tutukuze mipaka ya ukoloni bila kuungana?

    Ikumbukwe kuwa kabla ya ujio wa wakoloni katika bara la Afrika sisi tulikuwa wamoja kwa kushirikiana katika kila kitu kilicho husiana na Ubuntu wetu kwa kutokuwekeana mipaka katika bara letu. Kwa mfano wangoni chimbuko lao ni South Africa lakini walihama kutoka katika nchi yao kuja mpaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…