bandari

  1. JamiiForums Tanzania Mradi wa Tsh 678.6 bilioni wa TPA kuleta mapinduzi ya upakuaji mafuta katika bandari ya Dar es salaam

    Dar es Salaam. Tanzania, kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), inatekeleza mradi wa Sh678.6 bilioni ambao utaboresha utaratibu wa upakuaji mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam. Ujenzi wa Tanks Farm (Matanki ya Mafuta), ambao umefikia asilimia saba, unatarajiwa kuboresha...
  2. JamiiForums Tanzania KERO Tuliohamishwa kupisha Mradi wa Bandari maeneo ya Kaskazini Unguja hatujalipwa fidia

    Mimi ni Mkazi wa Kaskazini Unguja, huku kwetu baadhi ya Watu ambao maeneo yetu yalichukuliwa kwa ajili ya uwekezaji wa Bandari ya Mafuta na Gesi hatujapata fidia. Hadi kufikia leo hii Oktoba 2024, inatimia Miaka miwili hatujafidiwa licha ya kuwa maeneo yetu yalikuwa na uwekezaji wa mazao na...
  3. JamiiForums Tanzania Bandari ya uvuvi ya Kilwa kuleta mapinduzi ya sekta ya uvuvi Tanzania

    Ujenzi wa Bandari ya kwanza ya uvuvi nchini Tanzania, Kilwa Masoko, iliyoko kwenye pwani ya Bahari ya Hindi katika mkoa wa Lindi, uko karibu kukamilika, ikiwa tayari imefikia asilimia 70. Mradi huu ni hatua muhimu katika mkakati wa Tanzania wa kukuza sekta ya uvuvi wa bahari kuu na kuboresha...
  4. JamiiForums Tanzania TPA kuongeza ufanisi katika bandari zake

    Na Mwandishi Wetu, Dar es salaam Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Bw.Plasduce Mbossa amesema kuwa mamlaka hiyo imejipanga kufanya upanuzi wa bandari zake, ili kuweza kuendelea kutoa huduma shindani katika soko la Afrika na kimataifa. Akizungumza wakati wa...
  5. JamiiForums Tanzania Changamoto bandari ya Dar es Salaam

    Jamani ndugu zangu kunakitu hakipo sawa ndani ya bandari ya dar es salaam Kuna uchekeweshwaji mkubwa wa kutoa mizigo kwenye bandari ya dar es salaam iko hivii meli zinashusha mizigo lakini mizigo bandarini haitoki sijui tatizo nini Mfano mimi nina mizigo ya wateja tv zimeshuka tangu mwezi wa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe hili suala la mikataba ya siri sio Tanzania tu na bandari zetu, huko Kenya raisi anahusishwa na kutaka kutoa Jomo Kenyatta Airport kwa siri!

    Karibu viongozi wote wa Afrika wana tabia moja inayofanana - kujitajirisha binafsi kwa kuingia mikataba ya siri inayoumiza nchi zao, huku wakidanganya umma mikataba hiyo ni kwa faida ya nchi zao. Mtu yeyote mwenye akili atajua kwamba mkataba ambao kweli una nia ya kuinufaisha nchi hauwezi...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Mbamba bay itafutiwe Mwekezaji

    Bandari muhimu kwa maslahi mapana ya biashara na Malawi na Msumbiji. Atafutwe mwekezaji toka Arabuni awekeze miundombinu ya kisasa
  8. JamiiForums Tanzania Mashule na maofisi jiji la bandari la Haifa vyafungwa.Maelfu ya raia wa Israel waingia kwenye mahandaki

    Jeshi la Israel limetoa ripoti yenye mkanganyiko baada ya Hizbullah kurusha maroketi mengi nchini humo. Katika taarifa mpya jeshi hilo limesema mashule yote katika mji wa Haifa yatabaki yamefungwa mpaka itakapotolewa tangazo jengine. Maelfu ya watu vile vile walilazimika kujificha kwenye...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Selemani Jafo: Naipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kuboresha miundombinu ya kutolea huduma katika Bandari zake

    Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo (Mb) ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kuboresha miundombinu ya kutolea huduma katika Bandari zake hali iliyoongeza kasi na ubora wa kuhudumia Meli na Shehena. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya 19 ya...
  10. JamiiForums Tanzania Nishati: Mafuta yashuka Bei bandari za Dar, Tanga na Mtwara

    Bei ya Bidhaa za Mafuta imepungua kwa Mwezi Septemba 2024 ambapo Bei ya Petroli imepungua kwa Tsh. 91, Tanga kwa Tsh. 88 na Mtwara imepungua Tsh. 162 kwa kila Lita Dar Petroli itauzwa kwa Tsh. 3,140, Dizeli Tsh. 3,011 na Mafuta ya Taa Tsh. 3,121. Tanga Petroli Tsh. 3,141, Dizeli Tsh. 3,020...
  11. JamiiForums Tanzania Orodha ya bandari kavu za magari Dar es salaam.

    Kutokana na ufinyu wa eneo la bandari ya Dar es salaam ambayo kwa Sasa lipo chini ya uendeshaji wa DP World imefanya bandari kushirikiana na wadau wa sekta binafsi katika kutoa huduma za kibandari. Unapoagiza gari kutoka nchi za nje unaweza kulipokea bandarini TPA ama bandari yoyote kavu kati...
  12. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Bidhaa za Electronics hapa Uganda ni Nafuu sana ukilinganisha na huko Nyumbani Tanzania na bado wanategemea Bandari za Mombasa na Dar?

    Na cha Kushangaza zaidi karibia 85% ya Bidhaa zao hizo za Electronics ni Original kabisa lakini bado wanaziuza / zinauzwa kwa Gharama nafuu sana wakati huko Tanzania ( Nyumbani ) bidhaa nyingi ambazo tunauziwa kwa Gharama Kubwa hapa Uganda bado ni Feki pia. Haya Mangwena ( Wabobezi ) wa Uchumi...
  13. JamiiForums Tanzania Meli ya mafuta ya Ugiriki yakiuka marufuku ya kusafiri kwa bandari za Israel yalipuliwa.

    Wanaukumbi. Ansar Allah ya Yemen AILIPUA meli ya mafuta ya Ugiriki katika Bahari Nyekundu kwa kukiuka marufuku ya kusafiri kwenda bandari za Israel. Yemen wamesema wazii kabisa hawataki kuona Meli yeyote ikipita red sea kupeleka bidhaa zozote Israel kwa wauaji wa Watoto wa Gazza...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tuko Busy na vita ya ukraine, yanga, simba, kuwahoji viongozi faida ya madini, bandari, wala hatutaki tunawasifu na kuwachekea,

    Hawa Akina Lissu, na wenzake na wapinzani wengine wote tuwaunge mkono, Tusikubali wanyanyaswe, tupaze sauti ya haki Kwa watu wetu, Tubadilike tuwe kizazi cha kuhoji mara Kwa mara, tuhoji mapato yatokanayo na rasilimali zetu yanafanya nini miaka yote ya uhuru, Tuhoji mapato viwanja vya ndege...
  15. JamiiForums Tanzania Tetesi: DP world hawakupewa bandari za Tanganyika bure. Nakataa

    Tanzania raha sana, matukio ni mengi, na watu wanakwenda na matukio. Tukio moja lina trend wiki 2 , mwezi, miezi 3 na kubwa sana linachukua miezi 4-6 kisha linazimika. Issue ya ukodishaji wa bandari za Tanganyika especially Dar es salaam port kwa DP world ilitrend kwa muda mwingi na sasa...
  16. JamiiForums Tanzania Abdallah Ulega amesema mradi wa ujenzi wa bandari ya uvuvi ya Kilwa Masoko utatoa ajira elfu 30

    BANDARI YA UVUVI KILWA KUTOA AJIRA ELFU 30 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema mpaka sasa mradi wa ujenzi wa bandari ya uvuvi ya Kilwa Masoko imeshatoa ajira kwa vijana wapatao 570 ambao wanafanyakazi hapo huku akiongeza kuwa utakapo kamilika utatoa ajira elfu 30 katika...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi, lile katazo la kutojenga bandari nyingine bila ridhaa ya mwekezaji, bali lipo?

    Nilikaa hapa nikafikiria, nikatamani wazo la kujenga bandari ya bagamoyo kama lingekuwepo, ikaunganishwa reli ya SGR toka dsm,bagamoyo, tanga, moshi, arusha, musoma to kenya, na bagamoyo kuunganisha na sgr hii mpa. nikakumbuka kuwa kumbe kulikuwa na kipengele cha marufuku kujenga bandari...
  18. JamiiForums Tanzania Wasomali wameungana dunia nzima kupinga Ethiopia wasipewe bandari walini Rasi wao kawapa uturuki pwani nzima ya somali??Hiii Kitaalamu ni akili gani??

    Coast ya Somalia kwasasa inamilikiwa na uturuki!! Lakini huwezi wakutaka wakiongea. Ila nguvu zote wameelekeza kwa somaliland ambayo imempa kipisi tu Ethiopia ijenge Bandari!! Ni chuki au Akili ya kufirikir ndo tatizo
  19. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mtendaji wa Eilat Port Golber ametangaza kuwa kazi katika bandari ya Eilat imesimama kabisa

    Wanaukumbi. Mkurugenzi Mtendaji wa Eilat Port: "Operesheni zimesimama kabisa katika Bandari ya Eilat kutokana na meli kushindwa kupita upande wowote kufika bandarini." https://x.com/suppressednws/status/1815004127891423470?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
  20. R

    JamiiForums Tanzania Ndugu Mwigulu, kama makusanyo ya Bandari anakusanya DP World, tutakwepaje bankruptcy?

    Salaam, shalom!! Ikiwa lango la Nchi, lililo na makusanyo makubwa kuliko yote, tumemkabidhi mgeni atukadirie mapato baada ya Kutoa gharama zake za uendesgaji na ukusanyaji tutakwepaje kuwa bankrupt? Tuliambiwa kwamba, akiingia DP World, atasaidia kufadhili budget ya nchi yetu zaidi ya 50%...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…