Gerald Lee Baliles (July 8, 1940 – October 29, 2019) was a Virginia lawyer and Democratic politician whose career spanned great social and technological changes in his native state. The 65th Governor of Virginia (from 1986 to 1990), the native of Patrick County previously served as the Commonwealth's attorney general (1982–85), and represented Richmond and Henrico County in the Virginia House of Delegates (1972-1982). After another stint in private legal practice, with Hunton & Williams (1991-2005), Baliles directed the nonpartisan Miller Center of Public Affairs associated with his alma mater, the University of Virginia (2006-2014).
Wanabodi,
Niko hapa ukumbi wa Aga Khan University, kuwaripotia live, kinachoendelea kwenye huu mkutano ambapo Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile, atawasilisha mada ya Media Sustainability amid Digital Era. Miongoni maw watu muhimu nimewaona hapa, ni Boss wa JF, Mkuu...
Mwezi Julai 2025, aliyekuwa mtangazaji wa Clouds FM na kipindi cha Power BreakFast, Masoud Kipanya, alichora Cartoon ambayo mtu yupo chooni alafu Toilet paper imeandikwa MEDIA, akiwa na maana kuwa Media zinatumika vibaya kwa maslahi ya wachache na si kwa maslahi ya jamii nzima kutokana na...
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile akizungumza Novemba 5, 2025 katika Mjadala wa Nafasi ya Vyombo vya habari katika uchaguzi wa Tanzania na DW ameelezea kuhusu Waandishi wa habari na Wahariri walikuwa wapi wakati wa uchaguzi swali ambalo limezua gumzo Mtandaoni...
Balile ni kijana wa Rostam anatumiwa na Wanamtandao mpuuzeni mfutilie Istoria yake ametokea wapi ameshafanya kazi kwenye kampuni ya Rostam na Chanel ten huyo ni kijana wa wana mtandao
Tunakujua Ndani nje , tunajua Maisha yako na Mali zako ambazo umezipata Kwa Hila , tukikaa vijiweni unajitamba Kwa majumba yako uloyapata au sio ?.
Mara ya Mwisho tumekaa Butiama.
Ujifungue mwenyewe Chumbani kwako, Mkeo akikupikia Chai, kwakua tu wee ni TISS na Mwenyekiti wa TEF ndio uje na...
Deodatus Balile, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) akizungumza na Clouds TV leo, Septemba 29, 2025 amesema;
"Wakati tunakua miaka ya 70 hadi 80 tulikuwa tunaoga mtoni pale kijijini kwetu. Mimi natokea Bukoba Vijijini kuna kijiji kinaitwa Nyanga.
"Nina ndugu zangu wapo kijiji...
Kwa mujibu wa Andiko la Boni Yai (EX-MAYOR Ameandika hivo kupitia andiko hili
anaandika Boni Yai
BALILE NI MWANDISHI AU DOLA..?
MASWALI KUMI (12) KWA BALILE.
1.Balile anawezaje kugeuka kuwa mchomaji wa waandishi wenzake wa Habari..?
2.Balile aliyefundishwa kujifundisha na kukosoa jamii...
Ndio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa habari/wanahabaria/media kuitwa/kulinganishwa na Toilet pape Tanzania (TEF)
Kama una muda wa kutsha soma alichokiandika.......uchawa mtupu but worthy of reading!
Ona anavyonjudge Lisu ka dhihaka!
Extract from the story: Niseme mapema kuwa hata siku nilipofanya mahojiano na Lissu pale ofisi za CHADEMA Dar es Salaam, nilimpa tahadhari juu ya “kamdomo”. Hakunisikiliza...
Deodatis Balile amechaguliwa bila kupingwa kuwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) kwa kipindi cha miaka minne ijayo. Uchaguzi huo umefanyika leo, Jumamosi, Aprili 5, 2025, mjini Songea, mkoani Ruvuma.
Balile, ambaye alikuwa mgombea pekee, ameendelea kuaminiwa na wanachama wa...
Ni muhimu sana waandishi wakawa na specialisation. Taaluma ya habari ni kibebeo cha taaluma maalum ambayo mtu anayo.
Nimesikiliza mjadala katika jukwaa la wahariri hakika utaaluma wa Balile katika sheria ulimfanya Lissu ayumbe, akaishia kutoa maneno ya kashfa na matusi na hata kujaribu...
Mimi nazungumzia
1. Maadili
2. Elimu
3. Umri
Zamani sana ilikuwa huwezi suluhisha ugomvi wa baba na mama. Hata kama unamjua mkosaji. Huwezi sema kitu. Unawafuata wazee unawaambia wakaongee na wazazi. Tena wazee wenye akili, busara na hekma. Siyo kila mzee.
Sijaelewa wapi tulikuja anguka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.