Salaam wanajamvi, natumaini mko salama na kwa wale mliokatika mfungo, Mungu akawaongezee palipo pungua.
Wakuu mwenzenu yamenifika, kidole changu cha kati mkono wa kulia kimevimba hatari. Kinauma mno yaani hakukaliki, hakulaliki. Najihisi mnyonge, nimekosa tumaini.
Nimeweka mafuta ya taa...
Uchunguzi uliofanywa na Jumuiya ya Kiafrika ya Madawa ya Maabara (ASLM) imeonesha nchi 14 za Kusini mwa Jangwa la Sahara, Tanzania ikiwemo zinakabiliwa na hatari ya kuongezeka wagonjwa wenye vimelea wasiotibika kutokana na usugu wa dawa.
Ripoti hiyo imebaini kuwa ni vimelea vitano tu kati ya 15...
KUDHIBITI USUGU WA DAWA ZA KUTIBU MAGONJWA YANAYOSABABISHWA NA BAKTERIA NA KUVU (FANGASI) TANZANIA.
Usugu(Upinzani) wa dawa ni hali ambayo vijidudu kama bakteria na fangasi kuzishinda dawa ambazo zimeundwa kuziharibu na hilo husababisha mtu kushindwa kupona ugonjwa fulani unaosababishwa na...
Aprili 27, 2022, Uingereza ilitoa taarifa kwa Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO) kuhusu kundi la wagonjwa wenye maambukizi ya bakteria wa Salmonella Typhimurium.
Uchunguzi ulihusisha mlipuko huo na chokoleti ambayo imesambazwa katika nchi 113.
Ripoti ya WHO inaeleza zaidi ya watu 150...
Shirika la viwango vya vyakula nchini Uingereza liliondoa bidhaa hizo zinazo tengenezwa nakampuni ya Italia -Ferrero – ambayo ni watengenezaji wa Kinder Joy – wiki hii kutokana na visa 63 vya bakteria aina ya Salmonella husasan ni miongoni mwa Watoto.
Ferrero ilisema kuwa hakuna bidhaa yake...
MAABARA NI NINI
Maabara ni jengo maalumu lilojengwa mahususi lilosheheni mashine na vifaa maalumu (machine and equipments) na vitendanishi (reagents) kwa ajili ya kufanya majaribio (trials), vipimo (tests) mbalimbali kulingana na mahitaji. zipo maabara za aina nyingi sana kama vile maabara za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.