Mimi, mmoja wa watumiaji na mdau mkubwa wa lugha ya Kiswahili na mpenda maendeleo ya lugha hii adhimu, ninaandika malalamiko haya kwa masikitiko makubwa juu kukosekana kwa kamusi mtandao ya taasisi kubwa na yenye mamlaka kama BAKITA katika zama hizi za ukuaji wa kasi wa teknolojia. Awali...