bajeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. X

    Trump anataka Marekani, China na Urusi zipunguze nusu ya bajeti zao za ulinzi. Pia anapenda Urusi irudishwe kwenye G7

    "Moja ya mikutano ya kwanza ninayotaka kufanya ni pamoja na Rais Xi wa China, Rais Putin wa Urusi, na ninataka kusema, tupunguze nusu ya bajeti zetu ya kijeshi na nadhani tutaweza kufanya hivyo." – Trump Huu ndio utamu wa kwenda naye kibabe Marekani. Marekani ni superpower kwa mataifa dhaifu...
  2. Ujenzi Ofisi Mpya ya Mkuu wa Wilaya Chunya Kupangiwa Bajeti 2025/2026

    UJENZI OFISI MPYA YA MKUU WA WILAYA CHUNYA KUPANGIWA BAJETI 2025/26 Naibu Waziri, Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Dkt. Festo Dugange amemuelekeza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kuweka kwenye bajeti ya mwaka wa fedha 2025/26 maombi ya fedha kwaajili ya ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Chunya. Mhe...
  3. Waziri wa Fedha apendekeza nyongeza ya Tsh. bilioni 945.7 kwenye bajeti ya serikali ya 2024/25. Pesa za Kampeni zinatafutwa?

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba apendekeza nyongeza ya TSh bilioni 945.7 kwenye Bajeti Kuu ya Serikali ya 2024/25 kutoka kwenye ile ya awali ya Trilioni 49.3 iliyowasilisha Bungeni Juni 13,2024. Soma: Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
  4. Utegemezi Afrika jadi yetu - Bajeti AU, SADC, EAC 60% zinategemea wafadhili

    1. Majengo ya Makao Makuu - AU Addis Ababa (Msaada toka China). EAC, Arusha (Msaada toka Ujerumani). 2. Bajeti zaidi ya 60% kutoka kwa wafadhili (hususani EU, huku wanachama wakisuasua kutoa ada kila mwaka).
  5. JANETH MASSABURI: Serikali ina mpango gani wa kutenga bajeti ya elimu kwa umma kwa masuala mbalimbali yanayotarajiwa kutekelezwa nchini?

    JANETH MASSABURI, Mbunge wa Viti Maalum Anauliza; Serikali ina mpango gani wa kutenga bajeti ya elimu kwa umma kwa masuala mbalimbali yanayotarajiwa kutekelezwa nchini? Serikali imezisisitiza Wizara zote na taasisi zake kuendelea kutenga fedha kwenye mafungu yao kwa ajili ya kutoa elimu kwa...
  6. TV Mpya vs. Mtumba: Ipi ni Bora kwa Bajeti ya Milioni 1.5

    Wataalamu wa mambo naomba msaada wenu katika uamuzi huu. Nina bajeti ya milioni 1.5 kwa ajili ya kununua TV, na leo nimezunguka madukani kutafuta chaguo bora. Katika maduka ya bidhaa mpya, nimepata TV mbili zinazovutia: Hisense 65A6K/N – UHD Smart 4K TCL UHD Smart 4K Zote zinauzwa kwa...
  7. Kamati ya Bunge yapokea taarifa ya utekelezaji bajeti ya Wizara ya Ardhi kwa nusu mwaka 2024/2025

    Kamati ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Timotheo Mzava Januari 23 2025 imepokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kipindi cha nusu mwaka kuanzia Julai hadi Desemba 2024. Katika kikao hicho...
  8. Sebule yenye ukubwa wa futi 14 kwa 13 zinaingia tiles box ngapi na bajeti yake yote

    Wakuu naomba kujua sebule yenye vipimo hivo inaingia tiles box ngapi? Na nahitaji tiles ambazo ni affordable kwa mlala hoi lakin imara urembo SIO kipaumbele, vilevile gharama za ujenzi zote pamoja na mafundi Karibuni kwa mchango wenu wadau
  9. Katika hotuba yake, Lissu anajadili bajeti ya mkutano wa Baraza Kuu wakati alipewa kazi ya kuchangisha milioni 30, hajatoa hata mia. Mnampaje chama?

    Lissu ameanza kutoa milio. Anasema bajeti ya wajumbe kulala, hizo hela wajumbe wasipewe, walipiwe hotel, Lissu anataka hata hela ya safari wajumbe wasipewe, wakodiwe magari, hela ya kula wasipewe, walipiwe kwa mama ntilie. Yaani mjumbe hata kama ana ndugu yake asifikie huko ili kuokoa gharama...
  10. W

    Wenje: Bajeti ya Uchaguzi mkuu wa CHADEMA ni zaidi ya milioni 700

    "Chama chetu kina ruzuku ya milioni 107, huwezi kukiendesha Chama kikubwa kama Chadema kwa kiasi hicho cha fedha. Tunaenda kwenye Uchaguzi Mkuu huu ambao yeye anagombea, bajeti yake ni zaidi ya milioni 700.
  11. Wanauchumi nipeni bajeti nikiwa na buku 3 natoboa vipi siku

    Wanazuoni na walioboboa kwenye uchumi hapa naishije Kwa siku Nikiwa na buku 3 na ramani zimegoma Hapo iwepo breakfast, lunch na dinner na nitambe kwa mtaa Naomba ushauri wa kina, me ni Mtanganyika mwenzenu
  12. Wanauchumi nipeni bajeti nikiwa na buku 3 natoboa vipi siku

    Wanazuoni na walioboboa kwenye uchumi hapa naishije Kwa siku Nikiwa na buku 3 na ramani zimegoma Hapo iwepo breakfast, lunch na dinner na nitambe Kwa mtaa Naomba ushauri wa kina, me ni Mtanganyika mwenzenu
  13. L

    Utajiri Wa Elon Musk unaweza Kufadhili Bajeti Ya Tanzania kwa Miaka zaidi ya kumi mfululizo Pasipo Mtu yeyote kulipa kodi wala ushuru wa aina yoyote

    Ndugu zangu Watanzania, Hivi Dunia Jamani kuna watu wana Hela,kuna watu wana pesa,kuna watu wana Fedha. Watu wana hela mpaka unajiuliza wao wanazipata wapi wakati kuna watanzania wanafanya kazi usiku na mchana kuanzia migodini ,mashambani , mabarabarani,viwandani lakini hawapati pesa hizo...
  14. KWELI PreGE2025 Mchinjita: Mchango wa wakulima kwenye pato la taifa ni 26%, bajeti iliyopangwa 2024/2025 ni shilingi trilioni 49

    Mchinjita alikuwa na mkutano wa hadhara mkoani Mtwara ambapo amezungumzia masuala mbalimbali, tazama hapa hotuba yote.
  15. Mchango wa harusi sio deni. Usipange bajeti zako kwenye mifuko ya wenzako

    Habari waungwana wa humu. Bila shaka hakuna aliye mgeni wa kadhia hii kwenye maisha yetu ya kila siku kwenye jamii zetu.. Kama kawaida ya watu duni umoja wetu ndio nguvu yetu ya kufanikisha yale yanayoonekana yako nje ya kimo chetu kiuchumi. Mshikamano ni jambo la msingi sana lakini inakuwa...
  16. Esther Malleko Aiomba Serikali Kuendelea Kuboresha Bajeti za TAWA, NCAA na TANAPA

    Serikali itaendelea kuboresha bajeti ya Mamlaka ya usimamizi wa wanyamapori(TAWA), Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kutegemeana na hali ya ukusanyaji wa mapato ya Serikali ili kuimarisha shughuli za ulinzi na kuboresha miundombinu ya utalii. Haya...
  17. G

    Ni jambo la hekima sana kumweka wazi bajeti yako kwenye mtoko wa date lasvyo umempa tiketi ya kuagiza vinywaji ghali na kuleta marafiki zake, n.k.

    Hii ni muhimu zaidi kwetu wenye vipato vya kawaida. Sio jambo la aibu hata kidogo wala sio urijali wala ujanja kwenda date bila kumpanga mapema kuhusana na bajeti. Ukishindwa kujipanga jiandae kupata aibu, kuharibu bajeti yako, n.k. Kumjuza bajeti yako itakusaidia mapema kujua kama yupo nje ya...
  18. Mwanamke aliyekatwa Mkono akiamua ugomvi Uchunguzi wakwama, Polisi wadai Bajeti imekosekana

    Mwanamke aitwaye Nancy Simon, Balozi wa mtaa wa Olekeriani, kata ya Olasiti jijini Arusha, ambaye alikatwa mkono akijaribu kumuokoa mwanamke aliyekuwa akishambuliwa na mume wake, ameeleza kuwa uchunguzi wa kesi yake umegonga mwamba. Askari mpelelezi wa tukio hilo amesema kuwa kesi hiyo haiwezi...
  19. Iran yaongeza bajeti ya Jeshi kwa 200%

    Serikali ya Iran imeamua kuongeza bajeti ya kijeshi kwa asilimia 200%. Kulingana na Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI), Iran kwa sasa ina bajeti ya kijeshi ya dola bilioni 10.3. Kwa ongezeko la asilimia 200, matumizi ya kijeshi ya Iran yatapanda hadi dola bilioni...
  20. Usiogope kujenga nipe bajeti yako nikupe nyumba yako.

    Kama rooms 2 haitazidi 10m Kama rooms 3 haitazidi 15m
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…