bagonza

William Bagonza (12 November 1960 – 9 December 2000) was a Ugandan boxer. He competed in the men's light flyweight event at the 1984 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. Mshana Jr

    Kalamu Baba Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza PhD Ndani ya amani kuna utulivu; si kila ndani ya utulivu kuna amani

    Nimesikia serikali ikisisitiza kuwa Tanzania sasa ni tulivu na kila kitu kiko sawa. Tamko hili tamu sana. Lakini kuna haya, yatusaidie kutofautisha utulivu na amani: 1. Sijamsikia kiongozi yeyote wa juu wa serikalini akiongelea utekaji, utesaji, na mauaji. Hata kwa kuigiza, atokee kiongozi...
  2. Mshana Jr

    Kalamu ya Baba Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza PhD: Waziri Mkuu Mwigulu yuko sahihi ila tatizo liko hapa….

    Huu mjadala wa kupigiwa na kutopigiwa makofi msibani ni mgumu kama msiba ulivyo mgumu. Waziri Mkuu Mh. Mwigulu kasema yeye binafsi hahitaji kupigiwa makofi. Kama kupendwa, akiishapendwa na mkewe, INATOSHA. Namuunga mkono. Tatizo linaweza kuwa maeneo haya: 1. Je waliopigiwa makofi mengi...
  3. Mshana Jr

    Askofu Bagonza (PhD) aipongeza na kuishauri Jamhuri

    NAIPONGEZA JAMHURI na KUISHAURI Wale mnaopenda kuwapopoa kwa mawe wale msiokubaliana nao, nawaomba mnipopoe. Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili “Mtundu” wa Taifa, Tundu Lisu, imeamua kukata rufaa kwa kesi ambayo haijahukumiwa au haijafika mwisho. Wamejuaje kuwa wameshindwa na kuamua...
  4. M

    Askofu Bagonza: Wasemaji wengi wanasababisha wakosoaji wengi

    DHAHABU: Wasemaji Wengi Wanasababisha Wakosoaji Wengi. Tabia ya kufichaficha mambo, inasababisha serikali kujikanyaga na kutoa matamko yanayokinzana. “Matamko-mgongano” yakiwa mengi, yanasababisha wasemaji na wazushi wengi kama ilivyo sasa. Ebu ona hili la kuuza RIZEVU/NYANTAKOLWAKOLWA yetu ya...
  5. Dalton elijah

    Askofu Bagonza kuhusu kuuzwa kwa Akiba ya Dhahabu: Tusile Mbegu kama mvua haijanyesha!

    Anaadika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. HAZINA ILIPO NDIPO MOYO WAKO ULIPO: Tunaiuzaje? (Mathayo 6:21). Wajaluo wana kitu kinaitwa “NYANTAKOLWAKOLWA”, yaani “akiba au hazina maalum isiyoguswa guswa bila utaratibu”. 1. Hazina hii hutunzwa mahali pa...
  6. Mshana Jr

    Baba Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza PhD: FEDHA au MABEBERU? Nani awe Mwamuzi wa Haki katika Taifa letu?

    Tuna mambo mengi na muda mchache au mfupi wa kuyasikiliza. Mzee Butiku kamaliza kusema. Kapingwa na kupuuzwa. Lakini tujiulize: Saa mbovu ikisema muda sahihi tutaitii na kuamka au tutapuuza? Mzee Butiku anaweza kuwa katumwa au kachanganywa na wale jamaa LAKINI jambo moja kapatia. HATUKO SAWA na...
  7. Dalton elijah

    Askofu Bagonza :Kenani Kihongosi Ana Hoja Lakini Kaishika Kichwa Chini Miguu Juu!

    Nimemsikia Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM akimzungumzia Mzee Warioba. Kwanza, nitangaze mgogoro wa Maslahi. Nampenda huyu kijana. Huwa ni mnyenyekevu na msikivu. Haaniki madhaifu yake kama sisi wengine. Akisema jambo napenda kumsikiliza. Anasema Mzee Warioba astaafu vizuri. Pia kwamba Mzee...
  8. Dalton elijah

    Askofu Bagonza: Rais Samia kabadilisha mwandishi wa hotuba?!

    Nimemsikia Rais Samia Suluhu akiwahutubia mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini. Hotuba yake imepiga hatua moja mbele. Rais Samia “ameishavua nguo lakini anaogopa kuoga maji”. Ama maji yana moto sana au ni baridi sana. NAMPONGEZA mwandishi wa hotuba. NAMPONGEZA Rais kwa kuwa mwaminifu wa...
  9. W

    Askofu Bagonza: Yesu alimwita Herode kuwa Mbweha. Unang’aka kuitwa Lofa?

    Wakuu Askofu Kalikawe Bagoza anasema; Yesu alimwita Herode kuwa ni Mbweha (Luka 13:32). Unang'ka kuitwa Lofa? Mimi nimeitwa fala nikanenepa 🤣🤣
  10. Chachu Ombara

    PostGE2025 Askofu Bagonza: Utesaji wa vyombo vya ulinzi kutafuta ushahidi unalivunjia heshima taifa letu

    Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. ____ Utesaji unalivunjia heshima taifa letu. Zipo taarifa za uhakika kuwa katika jitihada za vyombo vya ulinzi kutafuta ushahidi, vinatumia mateso na udhalilishaji (torture) ili kuwalazimisha watuhumiwa waseme...
  11. Just Pray

    PostGE2025 Askofu Bagonza: Kufikiri unakataliwa au unakubaliwa kwa sababu ya dini yako ni udini

    Askofu Benson Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook anasema; UDINI UNAWEZA KUWA HUU. Suala la udini katika taifa letu ni mgumu kuuthibitisha. Unachoweza ni kuonyesha au kuona dalili. Ukiona hali hiyo, wewe binafsi unachukua hatua; 1. Kumbagua mtu kwa sababu ya dini yake ni UDINI. 2...
  12. Just Pray

    PostGE2025 Askofu Bagonza: Kazi ya Viongozi wa Dini ni kuombea mvua. Mengine tunajipendekeza tu!

    Kazi ya Viongozi wa Dini ni kuombea mvua. Mengine tunajipendekeza tu! Taifa haliumwi: Uponyaji wa nini
  13. R

    Askofu Bagonza: Taifa lililoungana linaweza kupambana na Mabeberu

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza, amesema Taifa lililoungana lina uwezo wa kupambana na Umoja wa Ulaya (EU), Benki ya Dunia (WB) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Pia akisisitiza kuwa hatari kubwa kwa Tanzania si...
  14. Just Pray

    PostGE2025 Askofu Bagonza: Hivi kuna sababu ya kumwacha huru GWAJIMA wakati utekaji unaendelea na Safe House zimejaa mateka?

    Hivi kuna sababu ya kumwacha huru GWAJIMA wakati utekaji unaendelea na Safe House zimejaa mateka?
  15. Just Pray

    PostGE2025 Askofu Bagonza: Kuliangalia Kanisa kwa miezi 6, yaweza kumaanisha mahubiri yapelekwe idara ya MAELEZO ili yahaririwe. Haitakuwa sawa

    Fikra za Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook; Waziri Mkuu Dr. Mwigulu Mchemba ametoa maelekezo kadhaa. Napongeza kwa uangalifu mkubwa. Mjaluo ukimpongeza kabla hajamaliza kazi, huwa anaacha na kuondoka kwenda nyumbani akiamini amemaliza...
  16. Just Pray

    PostGE2025 Askofu Bagonza: Nawaombea hata waliofika kuniteka wakakuta sipo, Wasikate tamaa, narudi upesi

    Anaandika Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza kwenye ukurasa wake wa Facebook. TUTOKE CHUMBANI TULALE SEBULENI Bibi wa Kijaluo alijiandaa kwa safari ya kwenda mbali kwa miguu. Usiku wa kuamkia safari, alitoka chumba cha kulala na kulala sebuleni. Kisha akajiambia, “hizo...
  17. Just Pray

    Askofu Bagonza: Kubaki ndani si kigezo cha uzalendo. Kuna mijizi, mifisadi, michokoraa, miuza siri za nchi na mirafi imejaa humu ndani

    Wino wa Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook; Kuna kilio na kijembe kimezoeleka masikioni: Kinahusu watu walio nje kuwa ni wachochezi. Kina kasoro nyingi, nashauri kiachwe. a). Watu si wajinga kushawishiwa wasichopenda. Kama huamini, nawe...
  18. Just Pray

    PostGE2025 Askofu Bagonza: Nani aliruhusu wauawe? Hata aliyehukumiwa kifo na mahakama ni mpaka mama aweke sahihi

    Anaandika Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza; NANI KAMA MAMA? Wekeni Mawe Chini! Najua hamtaki niseme NANI KAMA MAMA? Simaanishi huyo Mama mnayedhani nataka kumzungumzia. Basi wekeni mawe yenu chini ili niwasimulie: 1. Mama mmoja, Mjane, mwenye mtoto pekee na wa kiume...
  19. M

    GE2025 Askofu Bagonza: Hili la Askari wa kukodi (Mercenaries) lisikaliwe kimya

    Ameandika Askofu Bagonza Kuna mambo ukiyakalia kimya yanaisha yenyewe kwa sababu hayakusaidii wala hayakuumizi. Kuna mambo ukiyakalia kimya hayaondoki yenyewe na ni ya hatari. Hili la Askari wa Kukodi (Mamluki au Mercenaries), LISIKALIWE kimya. Kama ni kweli wapo, WAONDOLEWE mara moja kimya...
  20. Jidu La Mabambasi

    Nipeni sababu, kwa nini Askofu Bagonza hajagombea hata Udiwani?

    Alikuwepo Mchungaji Chiwanga, Mchungaji Kusupa, na sasa mchungaji Peter Msigwa anayebadili vyama kama mashati. Hatimaye kuna Askofu Gwajima, kiboko ya misukule. Tuje kwa Askofu Bagonza wa Karagwe, mwandishi wa maneno ya hekima na busara, ambaye anapenda ote wamsime. Askofu Bagonza kwa nini...
Back
Top Bottom