Fikra za Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook;
Waziri Mkuu Dr. Mwigulu Mchemba ametoa maelekezo kadhaa. Napongeza kwa uangalifu mkubwa. Mjaluo ukimpongeza kabla hajamaliza kazi, huwa anaacha na kuondoka kwenda nyumbani akiamini amemaliza...
Anaandika Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza kwenye ukurasa wake wa Facebook.
TUTOKE CHUMBANI TULALE SEBULENI
Bibi wa Kijaluo alijiandaa kwa safari ya kwenda mbali kwa miguu. Usiku wa kuamkia safari, alitoka chumba cha kulala na kulala sebuleni. Kisha akajiambia, “hizo...
Wino wa Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook;
Kuna kilio na kijembe kimezoeleka masikioni: Kinahusu watu walio nje kuwa ni wachochezi. Kina kasoro nyingi, nashauri kiachwe.
a). Watu si wajinga kushawishiwa wasichopenda. Kama huamini, nawe...
Anaandika Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza;
NANI KAMA MAMA? Wekeni Mawe Chini!
Najua hamtaki niseme NANI KAMA MAMA? Simaanishi huyo Mama mnayedhani nataka kumzungumzia. Basi wekeni mawe yenu chini ili niwasimulie:
1. Mama mmoja, Mjane, mwenye mtoto pekee na wa kiume...
Ameandika Askofu Bagonza
Kuna mambo ukiyakalia kimya yanaisha yenyewe kwa sababu hayakusaidii wala hayakuumizi.
Kuna mambo ukiyakalia kimya hayaondoki yenyewe na ni ya hatari.
Hili la Askari wa Kukodi (Mamluki au Mercenaries), LISIKALIWE kimya. Kama ni kweli wapo, WAONDOLEWE mara moja kimya...
Alikuwepo Mchungaji Chiwanga, Mchungaji Kusupa, na sasa mchungaji Peter Msigwa anayebadili vyama kama mashati.
Hatimaye kuna Askofu Gwajima, kiboko ya misukule.
Tuje kwa Askofu Bagonza wa Karagwe, mwandishi wa maneno ya hekima na busara, ambaye anapenda ote wamsime.
Askofu Bagonza kwa nini...
Askofu Bangonza kwenye waraka wake ameeleza mambo mengi sana kuhusu CCM kugeuza nyundo alama ya chama chao kuwagonga wasiokubaliana nao.
Lakini kamalizia na Aya aliyoijaza mambo yanayotaka TAFAKURI ya kina. Askofu Bagonza Kaandika hivi:
"Wamesahau Mungu wetu haongeki na hapokei maelekezo. Kwake...
Wakuu, nawasogezea wino mzito wa Askofu Dkt. Benson Bagonza alioutumia kuwasilisha fikra tunduizi kupitia ukurasa wake Facebook
===
WOTE TUKO NJIAPANDA: Tupande gari gani?
Humphrey Polepole ametuweka njia panda sote. Anayedhani hayuko njia panda, yawezekana tayari ni abiria wa gari la mbele...
Wakuu,
Kuna haja ya kumlinda Askofu Bagonza kwa wivu mkubwa sana.
Jana kufuatia mwenendo wa Kesi ya Lissu, Askofu Bagonza ameshusha waraka mwingine kupitia ukurasa wake wa Facebook. Ameandika yafuatayo:
MAHAKAMA “IMETUPINDUA”: Tuishtaki wapi?
Bila kuathiri mwenendo wowote wa kesi...
Anaandika Askofu Benson Bagonza wa KKKT Karagwe, kwenye ukurasa wake wa Facebook.
====
FUNGA MDOMO, KALAMU, ROHO… halafu?
Leo tumeamka na taarifa za kufungiwa kwa baadhi ya waandishi wa habari kwa sababu Bodi ya ITHIBATI imewatema. Eti hawana vyeti. Jamii yetu ina viroja:
1. Wenye vyeti...
Askofu Dkt. Benson Bagonza wa KKKT Dayosisi ya Karagwe amewaonya wanaodai kuua watu kwa kisingizio cha kulitetea Taifa akiwaambia kuwa Taifa ni la kufia na siyo kuua watu, na kama kweli wanalitetea taifa basi wajiue wenyewe na si kuua watu.
Ameyasema hayo wiki hii aliposhiriki katika ibada ya...
Anaandika Askofu wa Dayosisi ya Karagwe, Kalikawe Lwakalinda Bagonza kuypitia ukurasa wake wa Facebbok
====
Uimara wa nchi hautokani na wananchi kutokosoa wala kutotukana. Uimara na mshikamano wa taifa hutokana na wanaokosolewa au kutukanwa; kuwa na ngozi ngumu na ustahimilivu.
Kiongozi siyo tu...
Askofu Bagonza akihubiri katika Ibada ya kuweka Wakfu Vifaa na Alama za Kanisa zitakazotumiwa na Askofu Mteule wa Dayosisi ya Mwanga, amesema.
Wafalme wabaya na watawala wabaya ili wafanikiwe, huwa wanaanza kuchafua hekalu. Hekalu likishashachafuka na kudhoofika, unabii hukoma, na wafalme...
Kumekucha leo kwenye nyumba za Ibada habari ni uchaguzi , uchaguzi ndio habari.
Askofu wa KKKT Dr. Bagonza Leo kawaambia waumini wake njia ya kulinda kura zao ni kukaa nazo ila wakitumbukiza kwenye sanduku la kura imekula kwao. 😂
Oktoba ipo karibu sana tutajuonea mengi. Mungu tusaidie kuvuka...
Copy and Paste
HILI LA ZAMBIA KAMA SI FUNZO, NI KENGELE. By Bishop Bagonza.
Rais Mstaafu wa sita wa Zambia Edgar Lungu, amefariki tarehe 5/6/2025 akiwa matibabu huko Afrika ya Kusini. Atazikwa Afrika Kusini 25/6/2025 na misa itaongozwa na Askofu Mkuu wa Lusaka Alick Banda.
Wakati huo huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.