KAMA HUYU NI MWANA CCM, wako wana CCM wangapi wa namna hii?
Ukurasa wangu hupokea maoni mengi kutoka pande zote za sarafu, CCM, Wapinzani, Wasio na Vyama kama mimi, Maadui zangu na marafiki zangu.
Jioni hii nimepokea ujumbe huu kutoka Mwana CCM. Nauleta kama nilivyoupokea na mwisho nitaweka...
Maneno mazito ya askofu mpigania haki huyu anaandika:
KAMA NI KWELI: Inaweza kumaanisha hivi..
Eti Kanisa Limefungwa au kufutiwa usajili. Kisa? Kiongozi wake kakosana na waliomsajili au kadaiwa kuhubiri kinyume na alivyotegemewa.
Kama ni kweli; tujifanye kuuliza? Kanisa ni mali ya mtu? Kama...
Wakuu
Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza anaandika kupitia ukurasa wake wa Facebook
==
Huu ni mwaka wa uchaguzi. Tamaa ya madaraka ndani ya CCM ni kama yote. Ubinafsi ndani ya upinzani ni kama wote. Nani mwathirika wa hali hii?
Mwathirika wa kwanza ni nchi/taifa. Tutakosa uwajibikaji (checks...
Wakuu
Anaandika Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD). Askofu wa dayosisi ya Karagwe.
SOMENI BILA SHIDA na SOMENI KWA FURAHA.
Niliishasema na ninarudia tena. Someni Bila Shida na Someni kwa Furaha:
WAPINZANI ACHENI KUIONEA CCM na CCM IACHE KUJIONEA.
1. Taifa hili bila CCM imara...
MWONGOZO WA KUHAMA CHAMA
Katika msimu wa Ligi yoyote, huwa kuna wachezaji kuhama club zao. Hata kwenye siasa, dini na hata ndoa, imeanza kuzoeleka watu kuhama au kuachana. Napendekeza Mwongozo wa kuhama:
1. Unapohama, tueleze uzuri wa unakokwenda, si ubaya wa unakotoka. Tayari tunajua utokako...
Kuna kila na strong justification sababu ya kuimarisha Ulinzi wa Askofu bagonza kwa msimamo wake wa kutetea HAKI.
Yaliyotokea kwa Fr. Kitima hayako mbali naye kwa msimamo wake wa kiroho kutetea haki.
KUCHUKUA TAHADHALI NI MUHIMU
Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana...
Ni vyema watawala wetu wakazingatia ujumbe huu mahususi kutoka Kwa mtumishi huyu wa Mungu mwenye maono aliyekataa nira ya watawala. Mtu huru na aliye objective.
Nisiwachoshe hebu tumusikie wenyewe
Ashangaa, Kanisa likisema "Mnaupiga mwingiiiii' Serikali inakenua meno yooote
Kanisa hilohilo likisema "Mnaupiga mchache" Serikali inanuna.
Asema, Tusiruhusuifumo Onevu na kandamizi kuendeleza Harakati zao
https://youtu.be/_H_J4RBBW0c?si=aTr4zL51ZB0IXjQJ
Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe.
____
1. Nyerere alisema taifa hili bila CCM imara, litayumba. Sina hakika kama bado halijayumba.
2. Ili CCM iwe imara inahitaji upinzani imara. Hatuna utamaduni imara wa kukosoana ndani ya chama kimoja na...
NI KWELI KABISA
1. Ni kweli kabisa, Hotuba ya Mh. Rais siku ya Idd ilikuwa na nia njema.
2. Ni kweli kabisa, si wote waliotajwa na Mwanaharakati Huru Musiba, walikuwa wakijibu hotuba hiyo.
3. Ni kweli kabisa, kama kuna waliojibu hotuba hiyo, walifanya kwa nia njema.
4. Na ni kweli kabisa...
Anaandika Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD)
KUNA MAMBO HAYAKO SAWA
Kuna mambo yanayotuunganisha wote bila kujali itikadi, dini, jinsia, kabila, hali ya mtu kiuchumi, ufupi au urefu wa mtu kama mimi. Haya yote yanaunganishwa na neno HAKI au kwa Kijaluo JUSTICE.
Kuna mambo 10 hayako sawa...
Na Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD)
JUZI KUFURU; Leo HIJJA au Utalii…halafu JINAI.
Wanyambo na Wajaluo wana msemo usemao, “Give me a Break”. Wakisema hivyo wanamaanisha vituko vyako vimezidi, wape muda wapumzike kidogo.
1. Akatoka mmoja juzi. Kamlinganisha rais wetu na Mitume...
Na Askofu Benson Kalikawe Bagonza
KWA WEMA au KWA UBAYA, TUSIMSAHAU MAGUFULI
Miaka minne imepita tangu tangazo la kifo cha Rais wa awamu ya tano, hayati JPM litolewe. Kama kilivyo kitendawili cha umri wa mwanadamu unaanza kuhesabiwa lini (anapoingia tumboni au anapotoka), ndivyo kilivyo...
Anaandika Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook:
Miaka minne imepita tangu tangazo la kifo cha Rais wa awamu ya tano, hayati JPM litolewe. Kama kilivyo kitendawili cha umri wa mwanadamu unaanza kuhesabiwa lini (anapoingia tumboni au anapotoka), ndivyo...
MALUMBANO: MJINGA, MWEREVU, na MSHAMBA.
MJINGA: No Reform, No Election.
MWEREVU: Hatuna muda wa kufanya Reforms hizo.
MJINGA: Tutakusaidia kuzuia uchaguzi ili upate muda wa Reforms.
MSHAMBA: Kama una nguvu za kuzuia, zitumie kuzuia wizi wa kura.
MJINGA: We mjinga vipi? Mbona unanukia wizi...
TAWALA ZA AFRIKA NA BIASHARA YA NISHATI
Tutanunua umeme kutoka Ethiopia kwa ajili ya mikoa ya Kaskazini. Mikoa hiyo ina barabara nzuri, nyama choma nyingi na watalii wengi lakini haina uhakika wa umeme.
Kenya itatumika kama posta. Itapokea kifurushi toka Ethiopia na kukikabidhi Tanzania. Hakuna...
MIAKA 5 IMEPITA LAKINI Dr. BASHIRU BADO HANA MPINZANI!
Miaka 5 iliyopita, siku kama ya leo, Dr. Bashiru Ally, akiwa Katibu Mkuu wa CCM, alisema maneno mazito. Kwa maoni yangu, hayajajibiwa mpaka leo. Naheshimu kimya chake ambacho kina nguvu kuliko maneno yake. Ni juu yetu kudadavua uzito wa...
Salamu za Kwaresima toka kwa Baba Askofu Bagonza (PhD).
DHAMIRI SAFI, DIRA YA TAIFA
Tuongozwe na Katiba?
Tuongozwe na Mtu?
Tuongozwe na Dhamiri?
Tuongozwe na Chama?
Tuongozwe na Vyombo?
Niliwahi kukumbusha:
Kule kwa jirani, “Hawa walipaza sauti, Wale wakanyamaza. Lakini sasa, kila mwaka...
Askofu Kalikawe Benson Bagonza anasema kama mfumo hautafanyiwa marekebisho itakuwa ni sawa na hakuna uchaguzi. Askofu anasisitiza kwamba kwenda kupiga kura is a wastage of time. Sikiliza mahojiano yake hapa chini.
https://www.youtube.com/watch?v=NaZiUuUBAv4
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.