bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kumbe bado kuna mahali Tanzania hii wanatumia Internet ya 2G, kweli Mama hatukudai

    Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb.), akijibu maswali yaliyoulizwa na Wabunge mbalimbali kuhusu sekta hiyo, Bungeni jijini Dodoma, Mei 8, 2025
  2. L

    JamiiForums Tanzania Bado Wengine Wazito kutoka ndani ya Sekretarieti Ya CHADEMA Wataondoka. CHADEMA itabakia Kama Pagala.

    Ndugu zangu Watanzania, Mimi nimejaliwa macho ya Kuona Mbali sana kabla ya jambo kutokea. Na wakati mwingine hutoa tahadhali Kwa muhusika au wahusika ili wachukue hatua. Niliwatahadhalisha sana CHADEMA,niliwasihi sana wana CHADEMA kuwa msithubutu hata siku moja wala kurogwa mkamchagua Lissu...
  3. JamiiForums Tanzania Kasumba ya "umangi" bado inawatesa Timu-Mbowe: G-55 ya kina Mrema wamekubali ushindi wa Timu Lissu kwa kujitoa Chadema na kutokomea kusikojulikana

    Zaidi ya 50% ya wajumbe wa kikundi kinachojiita G-55 ni wachaga wa Arusha na Moshi, na walikuwa TImu Mbowe kabla, wakati na baada ya uchaguzi wa Mwenyekti Lissu wa Januari mwaka huu. Tangu kuasisiwa kwake hadi mwaka jana, kati ya vikwazo vikubwa vya kisiasa dhidi ya Chadema, kikwazo namba moja...
  4. JamiiForums Tanzania Dada katoa Code kwetu wanaume, mnakubaliana naye au mnabisha wakuu?

    Dada katoa Code kwetu wanaume, mnakubaliana naye au bado mnabisha? Huyu dada mpaka anazungumza haya anafahau ukweli wa wanawake wenzake Binafsi nakubaliana naye kwasababu nimeona mengi sana
  5. JamiiForums Tanzania 92.5 Dar Bado wanachambua michezo hadi mchana huu saa saba kasorobo. TZ tunasafari ndefu sana

    GT. Ila Tanzania ujinga umetamalaki aisee imagine masaa kama haya radio bado inachambua michezo .game ya Simba na yanga. Hizi radio nadhani vijiwe vya kahawa aisee ina maana hawana ajenda zingine kama 1. Afya 2. Kilimo 3. Uchumi 4. Elimu 5. Utalii 6..usafiri 7.ufundi 8.Mapishi. 9..siasa...
  6. JamiiForums Tanzania Wanawake mnaolalamika wanaume wanamaliza haraka mnataka tuwaeleweje?

    Mtu analalamika eti wanaume wana haraka katika kufanya tendo, ila mtu huyo huyo yeye ana haraka ya maisha kupelekea kukuacha wewe ambaye bado una hustle. Kwa sisi mabaharia ile haraka huwa ni munkali wa stress zilizopo kichwani za kuambiwa turudi veta plus nauli ulizokula hapo nyuma. So kila...
  7. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kivuko cha Pangani ni hatari kwa maisha ya Watu, tunalalamika kuhusu ubora wake lakini bado hali ni tete

    Hapa Pangani kuna kivuko kinachounganisha Pangani na Bweni kimekuwa na hitilafu za mara kwa mara na sasa kimegeuka kuwa chanzo cha usumbufu mkubwa. Wiki moja iliyopita, kivuko hicho kilipata hitilafu ya injini na kusombwa na maji kuelekea baharini, ingawa abiria waliokolewa kwa kutumia boti...
  8. JamiiForums Tanzania Watu wenye tamaa za madaraka ni watu dhaifu sana kuliko wanavyo chukuliwa na kuogopwa hawana hekima yoyote na hawana akili

    siasa za kimagharibi ni wazi bado haziwezi kufanya kazi hasa anapotokea kiongozi mwenye tamaa za madaraka huku africa. Watu wenye tamaa za madaraka wanatumia kivuri cha demokrasia kufanya mauwaji, utekaji na ukandamizaji wakijificha kwenye kichaka cha demokrasia na amani ili kusalia madarakani...
  9. H

    JamiiForums Tanzania SAMSUNG GALXY A35 5G BADO MPYAA IPO SOKONI KWA BEI YA KUTUPA

    Samsung Galaxy A35 5G Storage GB 256 Two Sim Cards Imenunuliwa 22/01/2025 Simu bado ni mpya kabisaa Ina Screen protector ya Privacy Bei: 700,000 Maongezi yapo Ipo Dsm kigamboni Simu: 0783242247 Wa kuiwahi maana ni simu nzuri sanaa. Haina dalali, mmiliki ni mimi mwenyewe. Naiuza kwakua nime...
  10. JamiiForums Tanzania Bado Hatupo Tayari kwa Mageuzi

    Taifa lolote ama jamii yeyote ina njia mbili za kufanya mageuzi ya mfumo wa kujitawala, Njia ya kwanza ni njia ya Amani kwa majadiliano, maridhiano na mapatano yanayoweka mizania ya kujiongoza. Njia ya pili ni vurugu au nguvu baina ya makundi mawili. Kundi linalotawala linataka kuendelea...
  11. JamiiForums Tanzania 1 Timotheo 2:12 una maana gani? Je kwa leo hii bado mstari huu una mashiko?

    Mnaoijua biblia tuwekeeni hapa maana au tafsiri ya huu mstari wa biblia. 1 Timotheo 2:12 - "I permit no woman to teach or to have authority over a man; she is to keep silent." Je huu mstari bado una mashiko kwa dunia ya leo?
  12. JamiiForums Tanzania Hivi ukiuchukua Urais kwa Dharula ya Kikatiba na Kuongoza kwa miaka 3 au 4 bado unastahili kuitwa Baba au Mama wa Taifa?

    Nitashukuru mkinijibu manake kuna Dada Mmoja hapa Mtaani amekuwa ni Mjumbe wa Kata yetu tokea Mwaka 2021 na hakuna anachofanya zaidi tu ya kupenda Umbea, ila nashangaa wana Mtaa Wenzangu wamemkubali hadi kufikia kumuita Mama wa Taifa la Mtaani, ila Mimi mpaka sasa sijaona Maendeleo ya hapa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nashangaa mzazi mwenzangu bado ana number yangu ya simu mpaka leo.

    Aliondoka nyumbani hapa na watoto na kila kitu chake tena kwa nyodo,akajiapiza hatokaa anitafute kwa lolote na number yangu ya simu anafuta. Sasa leo ktk kuperuzi huko whatsapp nakutana na status yake kaweka vifungu vya biblia, nijuavyo mtu kama hana number yako akiweka status wewe huwezi...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushahidi Video: MwanaCHADEMA aliyepigwa rungu la kichwa na kung'atishwa mbwa. Je, polisi bado mnakana kwamba hamhusiki?

    Katibu mkuu John Mnyika anaonesha video ya mtu mmoja aliyemtaja kwa jina la Noeli Mhema akiwa amelala chini baada ya kupigwa rungu la kichwa na kung'atishwa mbwa ambapo pembeni wanaonekana polisi pembeni na baadaye wakimpakia kwenye gari kumpeleka hospitali. Kwenye taarifa ya jeshi la polisi...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa misururu hii ya Miradi iliyotekelezwa na inayotekelezwa hata kama Bwana Tundu Lissu atakuwa mwenyekiti wa INEC bado Rais Samia ataibuka mshindi

    Sikilizeni Wapinzani, Naomba mfanye utafiti mdogo tu ili muamini kwenye uchaguzi wa Oct 2025 hakuna wa kupambana na Rais Samia, Fanyeni hivi, Piteni kwenye kila Kijiji kwenye vijiji vyote 12,333 kama hamtakuta mradi wowote wa maendeleo ulianzishwa ndani ya miaka hii minne ya Rais Samia...
  16. JamiiForums Tanzania Wahouth huko Yemen bado wanachezea kichapo toka majeshi ya anga ya Maekani

    Wakati Iran inateseka na mvua za rasha-rasha kuzima mioto ya Banar ABBAs na Tehran Houth nao usiku kucha hawalali kutokana na kipondo wanachopata kutoka kwa majeshi ya anga ya Maekani sehemu mbalimbali mhimu za kijeshi zimę shambulio a vibaya sana hata tu kuuzima moto kwao imekuwa ni shida...
  17. JamiiForums Tanzania Kama huamini uchawi kwenye biashara basi wewe bado sana kwenye biashara,sitasahau hili tukio

    Habari zenu wana jamiforum ,hakika hili jukwa linazidi kuwika kila siku maana kila unachohitaji kujifunza kipo hapa . TWENDEE KWENYE MAADA. Katika harakati za kufanya biashara yangu ya dagaa nilipata mteja mmoja ambae sijawahi na sikufikiria kuwa inaweza kuwa hivyo maana mambo ya ushirikiana...
  18. JamiiForums Tanzania IRAN bado inahangaika kuzima moto uliotokana na mlipuko kwenye Bandari!!

    Iran bado mpaka asubuhi ya leo Inahangaika kuzima moto uliosababishwa na mlipuko mkubwa amabao Iran wenyewe wameshindwa kujua umetokana na nini na wanataka kuhaha kusingizia kuwa kuna mkono wa Mwanaume Israel!!! Msemaji wa serikali ya Mapinduzi wa Iran amekiri kukosa uwezo wa kuu zima moto huo...
  19. JamiiForums Tanzania Kitendo cha Makonda kuwa na tabia ya kumdhalilisha mbunge Gambo mara kwa mara mbele ya hadhira ni utoto

    Kitendo cha Makonda kuwa na tabia ya kumdhalilisha mbunge wa Arusha mara kwa mara mbele ya hadhira ni utoto na tabia za kike. Watoto ndo wanatabia za kusemana hadharani ili mmoja aonekane bora kuliko mwenzake Wanawake ndio wanatabia ya kuchambana mbele za watu ili kuaibishana Makonda ni mara...
  20. JamiiForums Tanzania Mambo ni vice versa(Tutalalaje hapachakucha?),Mjini ni ya vimbweka bado!

    Wanajukwàa. katika kipindi ambacho dunia inaomboleza Kifo cha Baba mtakatifu(Papa Fransco),Taifa linashuhudia mitikisiko ya kisiasa ndani ya vyama( chadema),na vijana wenzetu wanapotea kwenye kelele za mitandao -mimi  Kalooo nimekuja na ujumbe wa aina hii mbele yenu. kuhusu kifo cha Baba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…