badili

Badileyan (Persian: بديليان‎, also Romanized as Badīleyān and Badīlīān; also known as Badīlī and Shahrak-e Badīlīān) is a village in Kheybar Rural District, Choghamish District, Dezful County, Khuzestan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 400, in 75 families.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 yanayotupeleka kimataifa

    Historia inaonyesha kuwa orodha ya viongozi mashuhuri Duniani imejawa na watu wanaopenda kufanya mageuzi chanya yenye kuleta mabadiliko. Rais Samia naye ameonyesha kwa vitendo kuwa aina ya kiongozi mwenye kariba hiyo. Haya ni baadhi ya mageuzi anayoyasimamia kwa weledi mkubwa; 1. Mageuzi katika...
  2. JF Member

    JamiiForums Tanzania Bei ya Mafuta: Rais Samia, badili uongozi wa juu ili wananchi tupate ahuweni

    Chonde Rais Samia, utuonee huruma wananchi wako. Tunaonba sana, kwa aina ya uongozi wa Juu kabisa uliouweka kwenye nishati, na kama ukiendelea kuwepo tutaumia na kuishia kukulaumu wewe kila uchao. Pamoja nar udhuku unayo toa, italiwa na mafuta yatazidi kupaa na bei za Vitu vingine vitapanda...
  3. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huwezi badili tabia ya mwanamke hata ufanye nini

    Salute wakuu! Mimi ni kijana wa miaka 27,kipindi na soma chuo niliwahi kutongonzwa na binti ambaye alikuwa tayari ana mtoto sikuona kuwa ni shida maana kila nlipo kuwa na hamu nae alinipa bila usumbufu wowote. Kwa mwanzo nlikuwa sijajua maisha yake taratibu nikaanza kumjua, kumbe ni binti...
  4. mbasa ya konge

    JamiiForums Tanzania Unaweza badili chuo?

    Nilichaguliwa vyuo viwili UDOM na Mzumbe University lakini nilikofemu kwenda Mzumbe nikijua nitapata mkopo wa kutosha kutoka bodi lakini nipewa mikopo mdogo sana . Wanajukwaa kuna uwezekano wa kubadili chuo niende udom ambapo tution fees ni ndogo.
  5. finance2014

    JamiiForums Tanzania Nilikopa Tigo Niwezeshe ila simu imeibwa na nimebadili laini, nitatafutwa?

    Habari Wakuu niliibiwa simu katikati ya mwezi huu nikafanya maamuzi ya kubadili line sasa nilikuwa na deni la tigo niwezeshe la 160,000 lilipaswa kulipwa mwezi ujao. Nauliza, je Tigo watanitafuta au nijisalimishe kuclear jina langu, kuna yeyote aliyewahi kubadili line akiwa na deni na...
Back
Top Bottom