babati

Babati is a small town in Babati Urban District of Manyara Region of Tanzania. It is the administrative capital of Babati Urban District and Babati Rural District and also the administrative capital of Manyara Region.

Babati town has developed from a mere village since Babati District was established in 1985. The new status boosted the town into rapid growth. The town is located at the end of Tarangire National Park and at the base of Lake Babati, nestling under Mount Kwaraha (2145 m asl.).

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Watumishi wa afya Babati tunahamishwa kwa kushtukizwa lakini hatupewi stahiki zetu za uhamisho

    Watumishi wa afya Babati tunahamishwa sana tena kwa kushtukizwa lakini hatupewi stahiki zetu za uhamisho, inatakiwa ulipwe ndio uhamishwe kwenda kituo kingine lakini tunashinikizwa kuhamishwa na hatupewi pesa zetu za uhamisho. Wengine ni miaka sasa ushaomba hupewi wengine wamehamishwa hivi...
  2. K

    Niko Babati Manyara, nipeni chimbo la bata

    Niko babati Manyara... nipeni chimbo la bata
  3. DuaZaMama

    RC Queen Sendiga ampongeza Mbunge wa Babati (V) Daniel Sillo kuwa Naibu spika wa Bunge

    Wananchi wa Wilaya ya Babati, mkoani Manyara, wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo, Queen Sendiga, wamepongeza Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kumchagua Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini, Daniel Sillo, kuwa Naibu Spika wa Bunge. Sendiga amesema kuaminiwa kwa Sillo ni heshima kubwa kwa...
  4. DuaZaMama

    Tazama Nyuki Walivyovuruga Mchezo kati ya City FC Abuja na JKU FC katika dimba la Tanzanite Kwara Babati, Manyara

    Tazama namna nyuki walivyovuruga Mchezo kati ya City FC Abuja kutoka Nigeria na JKU FC ya Zanzibar ulisimamishwa hapo jana Jumatano baada ya kundi la nyuki kuvamia uwanja; wachezaji na waamuzi walilazimika kujilaza chini huku wengine wakikimbia hovyo kutafuta usalama.
  5. Jamii Opportunities

    New Vacancies at Babati Town Council, August 2025

    Babati Town Council, a cornerstone of local governance in Tanzania’s Babati Town, is dedicated to enhancing community welfare and delivering high-quality public services. Renowned for its commitment to sustainable development and efficient administration, this esteemed organization is thrilled...
  6. Nipe Maji

    GE2025 Serikali yatoa bilioni 19.99 kujenga Stendi Kuu ya mabasi Babati

    Kilio cha muda mrefu cha wananchi wa Babati kuhusu ujenzi wa stendi kuu ya mabasi sasa kimesikika, baada ya Serikali kutoa shilingi bilioni 19.99 kwa ajili ya kuanza rasmi ujenzi wa stendi hiyo, ambao unatarajiwa kukamilika ndani ya miezi 15. Akizungumza leo, Julai 24, katika hafla ya...
  7. Abdul Said Naumanga

    TLS: “Wakili Joseph Masanja Aliuawa kwa Kushambuliwa na Askari Magereza Katika Bwalo la Magereza Babati”

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society – TLS) kimetoa taarifa rasmi leo tarehe 30 Juni 2025 kuhusu tukio la kuuawa kwa mmoja wa wanachama wake, Wakili Joseph Masanja (Roll No. 7664), lililotokea tarehe 23 Desemba 2024 katika bwalo la Jeshi la Magereza, Babati – Manyara. PIA...
  8. Just Pray

    PreGE2025 Thomas Materi achukua fomu ya kuomba uteuzi kupitia CCM kugombea Udiwani Kata ya Terrat, Simanjiro

    Thomas Materi amejiunga rasmi na mchakato wa kugombea Udiwani Kata ya Terrat kwa kuchukua fomu ya kuomba uteuzi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
  9. A

    KERO Wauza Chipsi wa Stendi ya Mabasi Babati zingatieni usafi wa huduma yenu ya chakula. Mnaweka hatarini afya za wateja wenu (abiria)

    Nilifika Babati kusubiri basi kwa ajili ya kuelekea mkoa fulani, wakati nipo pale nilihisi njaa, niliamua kutafuta sehemu mojawapo wanaopika pale hususan wanaokaanga chipsi ili nile. Nilipokelewa vizuri na kuoneshwa sehemu ya kukaa, niliagiza chipsi, nikaletewa lakini zilikuwa za baridi sana...
  10. G

    Police Tanzania Babati Manyara ni changamoto sana

    Kwa siku tatu au nne kwa wiki wanapiga Risasi juu katikati ya mji! bila kujali uwepo Watu wagonjwa katika maeneo yanayo wazunguka. Hata kama ni mazoezi ni vema wakafanyie huko nje na sio kuzua hofu hapa mjini.
  11. Just Pray

    PreGE2025 Bilioni 17 kubeba ujenzi wa stendi kuu na barabara za lami Mjini Babati

    Serikali imetenga Shilingi bilioni 17 kwa ajili ya ujenzi wa Stendi Kuu ya Kisasa mjini Babati pamoja na ujenzi wa kilomita 10 za barabara za lami katika mji huo. Ujenzi wa miradi hiyo unatarajiwa kuanza rasmi mwezi Mei 2025 kama sehemu ya kuboresha miundombinu na huduma kwa wananchi. Pia...
  12. Just Pray

    DC Babati: Uvamizi maeneo ya serikali, Sitaki kumkuta mtu kwenye eneo la Serikali

    Mkuu wa Wilaya ya Babati, Emmanuela Mtatifikolo Kaganda, ameonya vikali wale wote waliovamia maeneo ya wananchi na yale ya Serikali katika Kata ya Mamire, akiwataka kuyarejesha mara moja kabla hajachukua hatua kali. Kaganda ameweka wazi kuwa Serikali haitavumilia vitendo vya uporaji wa ardhi...
  13. Doyi

    Uongozi serikali ya mtaa babati mjini kwa hili vumbi mnalotulisha wapiga kura wenu ni haki?? Mkurugenzi na timu yako mjitathmini

    Tunafahamu kuna ujenzi wa daraja maeneo ya msasani barabara ya kuelekea stendi mpya inaendelea na ni sehemu ya juhudi za serikali katika kuboresha miundo mbinu,ila kosa la kwanza mlilofanya ni kumpa tenda mkandarasi asiye na weledi kabisaa kabisaa,kwa maarifa yangu madogo alipaswa ajenge njia...
  14. Waufukweni

    PreGE2025 CCM wasikiliza kero za Wananchi Babati. Ally Hapi atoa elfu 50 kwa mstaafu wa jeshi tangu mwaka 1994 ambaye anadai mafao mpaka leo

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Ally Hapi, amesema kuwa kero nyingi zinazowakabili wananchi zinatokana na baadhi ya watendaji waliopo kwenye nafasi mbalimbali kutotenga muda wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Akizungumza na wananchi wa Babati Mjini...
  15. Tembosa

    Full Time: Fountain Gates FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kwaraa Stadium, Babati | 06-02-2025

    SIKU YA MECHI KALI. VIKOSI VINAVYOANZA LEO. p UPDATES..... 4:15pm Kandanda imeanza tayari, Game inapigwa zazuri kabisa. DK 2 Simba wanafanya move nzuri hapa, inababatizwa na Mchezaji wa FG inakuwa warusha. Unarushwa hauleti madhara yoyote 0-0 DK 4 Mpira unaendelea vizuri kabisa hapa. Simba...
  16. SSH2025_2030

    Ipo wapi Haki ya aliyeingizwa Chupa sehemu za siri Babati?

    Haki ya Kijana aliyeingizwa Chupa sehemu za siri huko Babati na Mheshimiwa Mbunge ipo wapi? Kijana kadhulumiwa Haki yake na mtunga Sheria? NB: TLS, wanaharakati kulikon?
  17. Cute Wife

    LGE2024 Babati: Wagombea wa CHADEMA hawakuondolewa kwa uonevu, mtu hawezi kuwa wakala na mgombea kwa wakati mmoja

    Wakuu, Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Babati mjini Shaban Mpendu ameeleza uhalisia wa madai ya CHADEMA kuwa mawakala wake 63 waliondolewa kwenye vituo wakati wa upigaji kura. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha...
  18. Waufukweni

    LGE2024 DC Babati: Kura yako ni fyucha ya kitaa

    Wananchi Mjini Babati mkoani Manyara wametakiwa kujitokeza Novemba 27 mwaka huu kupiga kura ili kuwa kuchaguavViongozi waadilifu watakao waongoza katika kuleta maendeleo, huku wakitakiwa kujiepusha na vitendo vya rushwa. Akizungumza na wananchi, Mkuu wa wilaya ya Babati, Emmanuela Kaganda...
  19. Waufukweni

    LGE2024 Manyara: Wanawake Babati wataka kampeni za kistaarabu, uchaguzi ufanyike kwa amani

    Wanawake wa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara wamewataka Wagombea wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na wanachi kwa ujumla Wilayani humo kufanya na kushiriki kampeni za kistaarabu katika uchaguzi huo pindi zitakapoanza Novemba 20, 2024. Soma: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa...
  20. Anonymous

    DOKEZO Wasimamizi wa mtihani wa taifa kidato cha 4 Babati mji waambiwa warudishe kiasi cha pesa walilicholipwa kwa ajili ya usimamimizi

    Halmashauri ya Babati mji iliyoko wilayani Babati mkoani Manyara ni moja ya halmashauri zinazoendelea na tukio la ufanyikaji wa mtihani wa taifa kidato cha 4 huku wasimamizi wakiwa ni moja ya wahusika wakuu katika zoezi hilo. Wasimamizi hao walipewa kiasi cha pesa kulingana na siku...
Back
Top Bottom