babalevo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Gari la Mbunge Babalevo T555 EPN halina bima?

    Inasikitisha kutembeza chuma cha zaidi ya thamani ya Tsh Milioni 100 bila kuwa na bima. Waweza kuhakiki kwa kuweka namba ya gari T555EPN https://tiramis.tira.go.tz/#/
  2. M

    GE2025 Aibu kwa Zitto: Tume yamtangaza BabaLevo kuwa Mshindi Kigoma Mjini

    Hii ni aibu ya karne kwa kaka yetu Zitto
  3. Mafyangula

    GE2025 BabaLevo: Samia ametoa zaidi ya Bil. 4 ili kujengwa kwa mifereji ya kutoa maji kata ya Katubuka

    Mgombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini Baba Levo amesema kuwa rais Samia ametoa zaidi ya Bil. 4 ili kujengwa kwa mifereji ya kutoa maji kata ya Katubuka.
  4. H

    GE2025 Babalevo kuwawakilisha wananchi katika bunge la Taifa kiingereza hakina nafasi kwa sasa!!

    Wote wanaoona kiingereza ni kigezo/kikwazo kwa Babalevo kwenda bungeni hawana hoja kwani bungeni kuna wakalimani wa lugha mbalimbali lakini hata hivyo sidhani kama wabunge wa urusi,china,korea,japani,nk wanajadili mambo yao kwa kiingereza?
  5. H

    Tayari:-zitto kamkimbia Babalevo

    Mkiambiwa hakuna wapinzani muwe mnaeleewa,kitendo tu cha zitto kukimbilia kubandika mabango ya kampeni nikajua haendelei keshavuta 10% yake!!
  6. H

    GE2025 Babalevo: uwezo ule wa kuwasemea wananchi ndiyo sifa yangu pekee kubwa niliyonayo....

    Kazi kubwa ya diwani/mbunge ni kuwasemea wananchi wao matatizo yanayosibu ili kupata ufumbuzi kwa maendeleo ya watu wake hayo mengine i.e:kutunga sheria,kupangua hoja,kujadili miswada ni ziada tu na ujanjaujanja ili kuwaibia watu kwani hata madiwani wanatunga sheria ndogondogo bwana? Hili...
  7. H

    Mmemuona Babalevo tu King Msukuma hapana?

    "....Wabunge 16 ambao tovuti ya Bunge imethibitisha rasmi kwamba wewahi kuingia bungeni wakiwa na kiwango cha elimu ya msingi ni Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku (Msukuma) ambaye ameandika alipata elimu yake hiyo katika Shule ya Msingi Fulwe, Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Stephen...
  8. H

    Hao mnaowalalamikia kila leo kuwa ni mafisadi na wezi si ndiyo wafanyakazi wa serikali na wabunge wasomi au ni kina Babalevo?

    Watanzania wanaowalalamikia kwa ufisadi,wizi,ubadhirifu,mikataba feki,madeni,nk ni wasomi haoahao ambao ni wabunge na watumishi wa serikali anaowasema Polepole. Sasa mnapowakataa watu wenye uzalendo kama kina Babalevo tena na kusema hawawezi kutafasiri sheria na mikataba kwakuwa siyo wasomi...
  9. H

    GE2025 Babalevo ni Traore wa Kigoma mjini asipuuzwe, uongozi siyo elimu!!

    Walikuja wasomi kina Dkt Kaburu walifanya nini cha maana? Wabunge wasomi wangekuwa wa maana kungekuwa na ufisadi kila leo? Kujua kuongea kiingereza ndiyo kipimo cha elimu kwa waTanzania walio wengi na ingekuwa hivyo basi nchini uingereza wote wangekuwa wabunge
  10. H

    Wengi humu ni wanasiasa wa majitaka na chuki kwa watu kama Babalevo

    WaTz wengi haeajui uhalisia wa mambo hasa kisiasa wanadhani mtu kisiasa anapimwa kwa elimu yake na pesa au style ya maisha yake,wengi mlimdharau Babalevo na kumkashifu na kusahau kuwa kuna Mungu haya msiemtaka kaletwawa. Mjifunze kubakiza maneno wakati mwingine,Babalevo ni bora kuliko wote...
  11. funaku

    Babalevo -amapiano tetemesha!!

    Baada ya dhiki ni faraja...huu ni mfano katika jamii yetu na tuishi kwa matumaini siku zote. Sikia hili pini la babalevo...kama namuona live..
  12. Auto-Marvelt

    Wamataizy: Nimeumia sana kumuona kwenye interview ya Mwijaku

    Nyota ya mtu inaweza kufifia lakini bado kuna watu wataendelea kuithamini na kuiona ni nyota bora kuliko zote. Amonaizy Wamataizy ni jina maarufu sana mkoa wa Kigoma hususani wilaya ya Kasulu. Binafsi nimemfahamu 2009 kipindi nafanya kazi kambi ya shirika la GTZ, ngoma yake ya kwanza inaitwa Ua...
  13. H

    Kushindwa kwa Babalevo akitokea upinzani kwa tofauti ya kura 88 kuna ujumbe kwa wenye CCM yao!!

    Wenye akili watalifanyia kazi awe ameshindwa au ameshinda ila haki ya kweli ingekuwa pale tu kuwashindanisha washindi wa3 wa mwanzo na kupata namba 1 isiyo na mazonge. Kama siasa ni lelemama kajaribu na wewe!! NAKUPONGEZA BABALEVO USIKATE TAMAA SUBIRI TU SAUTI YA WANANCHI ITAKUBEBA!!
  14. Petro E. Mselewa

    GE2025 'Babalevo' amejiharibia, amepiga teke fuko la pesa!

    Clayton Chipando almaarufu kama Babalevo, aliyekuwa mtiania na mgombea wa ndani wa Ubunge kwa tiketi ya CCM Jimbo la Kigoma Mjini amejiharibia. Kama ulikuwa ni mtego, umemnasa. Kitendo chake cha kumpora 'kihuni' karatasi ya matokeo Katibu wake wa CCM wa Wilaya, aliyekuwa Msimamizi wa Uchaguzi...
  15. H

    Pamoja na Babalevo kucheza kamali ni wa muhimu kuliko Philipo Mpango

    Kucheza kamari siyo kosa bali vioongozi walioidhinisha kamari ndiyo hawafai kabisa hasa wa serikali na dini ambao wanatumia kodi za kamari kuendesha maisha yao.
  16. Mnyenz

    Kwenda VETA ni jau, lakini DEGREES ARE USELESS.

    Degree imekua nyepesi sana kuipata aseee!!! Toka lini kitu kinachopatikana kirahisi kiwe na thamani? Ushauri: Kabla ya kupoteza muda wako kwenda kusoma degree hebu jitafakari kwanza. Game imechenji, chawa wanapata kuliko wenye degree zao(sihamasishi uchawa) Tazama hiyo video hapo chini...
  17. Suley2019

    SI KWELI Clyton Chipando (Babalevo) alisema wenye akili timamu CHADEMA hawafiki 10

  18. sinza pazuri

    Nani ni Brand ambassador bora Tanzania kwa sasa kati ya Babalevo, Idriss Sultan, Mwijaku na Joti?

    Nilikuwa natazama nominations ya tuzo fulani hapa Tanzania. Nikaona majina ya brand ambassadors wanaochuana kama mnavyoona kwenye picha. Kwa mtazamo wako unadhani ni nani bingwa hapa kwa kuitambulisha bidhaa kwa mteja na ikamvutia na kuitumia? Mimi kwa sasa nasimama na Babalevo.
  19. GENTAMYCINE

    Babalevo: Diamond akifa nitalia kuliko hata Mpenzi wake Zuchu

    Mwenyezi Mungu anatufundisha kila Siku tu kuwa tusitegemee Wanadamu bali tumtegemee zaidi Yeye mtoa Ridhiki.
Back
Top Bottom