baba

A rum baba or baba au rhum is a small yeast cake saturated in syrup made with hard liquor, usually rum, and sometimes filled with whipped cream or pastry cream. It is most typically made in individual servings (about a 5 cm tall, slightly tapered cylinder) but sometimes can be made in larger forms similar to those used for Bundt cakes.
The batter for baba includes eggs, milk and butter.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Baba askofu wa Kanisa Katoliki Nchini Marekani Father Hilarion Heagy amesilimu na kuingia katika Uisilamu

    baba askofu Hilarion Heagy baada ya kusilimu amechagua jina "Said Abdul Latif" alisema kwamba "Baada ya miongo kadhaa ya kuhisi kuvutiwa na Uislamu kwa viwango tofauti, hatimaye niliamua kusilimu", "Sikuwa na chaguo lingine isipokuwa ni kusema Laailaha illa Allah Waanna Muhammad...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna mda wanawake kwa tamaa zao wanafanya watoto wanakosa haki kwa baba zao

    Nilikuwa na mahusiano ya mda mrefu na binti mmoja tangu tukiwa masomoni kiasi kwamba mpaka ndugu na wazazi wa pande zote wakayafahamu mahusiano yetu. Tuliendelea kuwa pamoja hata wakati ambapo tulikuwa tumemaliza masomo yetu ya elimu ya juu. Tuliishi wote nikiwa nimepanga baada ya kupata kidogo...
  3. JamiiForums Tanzania Simu ya baba

    Baba: calling -------------- Mimi: Hallo, shkamoo mzee wangu. Baba: Marahaba, hujambo? Mimi: Mimi sijambo mzee, vipi huko wazima? Baba: Huku wazima tumetingwa na kilimo hapa. Vipi wewe mbona sikuelewi, simu hupigi hadi mimi nikupigie sio? huna vocha au? Mimi: Aaaah$$,$:! Hapana nisamehe...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Sifurahishwi na Wachina kujenga sanamu ya baba wa Taifa

    JF Nimeona tangazo la Mh.Waziri kuhusiana na Sanamu ya baba wa Taifa ambayo wamesema watajitolea kugharamia na ambayo itawekwa Makumbusho ya Taifa. Najiuliza kwa sauti kubwa sana 1. Hivi nchi yetu haiwezi kugharamia hili? how much? 2. Ile ni Sanamu nyeti mno na ni nembo kwa Taifa letu...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mama aliniambia baba aliyenilea kwa miaka 25 si wangu baada ya kifo chake, lakini daima nitakukumbuka baba uliyenilea kuzidi aliyerusha mbegu

    Baba niliemjua ni baba yangu mzazi ambae nae alijua mimi ni mtoto wake alinilea kwa mapenzi yote, kunifundisha vingi katika maisha, kunisomesha shule mpaka chuo kikuu, kunivisha, kunilisha, n.k. Kwa miaka 25, hata nilipoanza kujitegemea bado nahesabia kuna majukumu yake kama baba yaliendelea...
  6. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alijiona kama Baba wa Taifa na next to none

    Salaam Wakuu, Leo sionglei hela za Wahujumu Uchumi kwenda kufichwa China na mchakato wa Investigating Plea Bargaining. Ni uzi mwingine ntaweka. Kipindi anaenda kuchukua fomu ya kuomba apendekezwe kugombea urais kupitia CCM, alienda Dodoma kimyakimya kama mwizi na kwa Mjibu wa Zitto ni Mwizi...
  7. JamiiForums Tanzania Baba in town

    Siwezi kuficha furaha yangu kabisa ama hakika nimekomaa lakini daah hapana siwezi kuificha lazima niwachane na kuwaambia ukweli jamani nimepata watoto wawili mapacha mmoja ni wa kiume na mwingine ni wa kike ama hakika ni furaha tupu niliyokuwanayo wakuu Nimempa majina wa kiume nimemuita haji na...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Shabani Matola amuua baba mwenye nyumba baada ya kudaiwa kodi ya pango

    Shabani Saidi Matola mkazi wa Kata ya Likongowele wilaya ya Liwale mkoani Lindi, amemuua baba mwenye nyumba wake aitwaye Siamini Rashidi Mtopoka (40), baada ya kumpiga na panga kichwani katika ugomvi unaolezwa kila mmoja akigombea alipwe fedha zake. Imeelezwa kuwa mwenye nyumba alimfuata...
  9. JamiiForums Tanzania kifo cha lazima kwa Stanley Meyer mgunduzi na baba wa gari inayotumia maji na umeme leo kwa jina magari ya umeme (water fuel cell)

    Ni vigumu sana binadamu kuamini ya mbele sana kuliko yale wanayo yatumia kwa mda huu. ulishawai kusikia kuna mgunduzi aligundua gari inayotumia maji na sio mafuta ila kimaelezo ilipewa kipaumbele maji basi jina lake ni water fuel cell (Seli ya mafuta ya maji ). Seli ya mafuta ya maji ni muundo...
  10. JamiiForums Tanzania Ili Mungu aibariki familia (ndoa) ni lazima baraka zipitie kwa baba

    Ndoa iheshimiwe na watu wote. Salaam. Ama baada ya salaam leo napenda nishiriki nanyi kitu kipya kiitwacho baraka. Baraka sio utajiri ila hutajitisha. Baraka ni ulinzi wa ki-Mungu juu yako. Wakati mtaani kwenu kideri kinaua kuku, kuku wako watakuwa salama. Utakuwa huna pesa lakini...
  11. JamiiForums Tanzania Facebook bado ni baba wa mitandao Tanzania

    Takwimu za TCRA zinaonyesha kwamba mtandao wa kijamii wa facebook unaimilikiwa na kampuni ya meta bado ndio mtandao unaotumiwa na watu wengi zaidi Tanzania kuliko mtandao wowote ule. Kwa mujibu wa TCRA, kiwango cha data kinachotumika kwenye Mtandao wa facebook ni sawa na data zinazotumika...
  12. JamiiForums Tanzania Kanisa la Anglican la Uingereza (Church of England) linajadili kutumia maneno yanayomhusu Mungu yasiyowakilisha jinsia yoyote (gender neutral terms)

    Kanisa la Anglican linajadili uwezekano wa kutokutumia jinsia pale unapotaja Mungu. Yaani mungu sio baba ama mama. Lengo la kufanya hivyo ni kuhakikisha kwamba dini inaendana na muda na wakati wa sasa na dini inakua jumuishi. Dini kua jumuishi ama inclusive ni kutambua haki za mashoga na watu...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Shetani baba wa Uongo

    Uongo ule ule alioanza nao mwanzo kwa binadamu bado mpaka leo anaendelea nao. Funguo (the power/keys to the gates of the hell) alishanyang'anywa miaka zaidi ya 2000 iliyopita. Kichekesho kikubwa asilimia kubwa ya wahubiri siku hizi wanahubiri nguvu zake. Fungulia redio za haya makanisa (aka...
  14. JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kuhusu wanaume

    Natumaini mko poa, Nilipoteza baba nikiwa najitambua kiasi nikabaki na mama pekee. Mama alikuwa mchakarikaji sana lakini kuna vitu vilibadilika sana mambo hayakuwa kama yalivyo awali. Maisha yalikuwa tofuti sana na kipindi baba yangu yuko hai nikaona ni kiasi gani mzee aliteseka kuhakikisha...
  15. JamiiForums Tanzania Lissu ukirudi Tanzania zingatia hili, kumkashifu Baba wa Taifa ni off limits

    Tundu Lissu karibu Bongo. Nchi hii imeundwa, na walioiunda wengi wametangulia mbele za haki. Lakini sera, misimamo na misingi yao ya haki na maendeleo kiuchumi, kijamii kwa ujumla mustakabali kitaifa iko pale pale. Misingi ya umoja wa kitaifa ndio umeijenga nchi inayoitwa Tanzania. Kinara wa...
  16. JamiiForums Tanzania Familia ya Hayati Magufuli inajisikiaje Baba yao kutukanwa miaka miwili baada ya kufariki?

    Kabla ya Hayati Magufuli walikuwepo Marais wanne waliomtangulia, ila wote hakuna anayetukanwa si mitandaoni wala majukwaani. Hayati Magufuli amevunja rekodi ya kutukanwa na kubezwa sana,si majukwaani au mitandaoni. Alikosea wapi? Familia inajisikiaje?Au wameshazoea? Je, tuna la kujifunza kwake...
  17. JamiiForums Tanzania Omari Mwariko na Historia ya Kifimbo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

  18. JamiiForums Tanzania Baba Levo una 'bullying' za waziwazi, TCRA wanakuangalia tu pamoja na uongozi wako

    kiukweli huyu jamaa Baba Levo hapa tu kupewa rungu Wasafi na Media kapitiliza kwenye kuongea. wanakipindi chao cha kutafuta vipaji, una katabia cha ajabu kukosoa wanadamu na kuwakejeli. Hata kama unatafuta sifa kufika kama Salama Jabir ila huwezi. Salama ana hayo mambo na uwezi kuona ujinga...
  19. JamiiForums Tanzania Baba zetu wakiamua kufunguka na kulaumu kama wanavyofanya mama zetu basi hapatakalika, hapatalika wala hapatalalika

    Mwaka 2002 nikiwa nyumbani kwa mzee wangu fulani niliemtembelea nilipata bahati ya kutazama albamu ya picha zake. Mnakumbuka enzi hizo hakuna social media hata Tv bado sio sana kwahiyo mgeni kupewa albamu kutazama ilikuwa mojawapo ya kiburudisho. Nilivutiwa na picha za familia alizopiga miaka ya...
  20. JamiiForums Tanzania Je, Mtoto aliyezaliwa nje ya Ndoa anafaa kuitwa Jina la ubini la Baba yake?

    Kwa mujibu wa imani ya kiislamu mtoto ambaye amezaliwa nje ya ndoa hatambuliki Kwa mujibu wa Sheria kama mtoto wa Baba husika. Kwasababu kizazi au uzao WA familia unatakiwa upatikane ndani ya ndoa ya kisheria au ndoa iliyofungwa Kwa misingi ya Dini,na nje ya hapo huyo ni mtoto wa zinaa ambaye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…