baba wa kambo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Damu ni nzito kuliko maji: Baba wa kambo hata uwajali watoto, wakikua wataanza kutafuta asili za baba zao, hata kama mama zao waliwasingizia mabaya

    N:B: Uzi huu kwa namna yoyote ile haushinikizi kukataa watoto wa nje wala kuoa wanawake wenye watoto, bali unaeleza nature ya mwanadamu kwenye kutaka kuwa karibu na asili yake kadri anavyokua. Nimewahi kuona familia kadhaa ambazo ndani yake kuna watoto waliozaliwa nje ya ndoa, na baadaye...
  2. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Baba wa Kambo acheni kuchapa watoto wadogo wa wake zenu mnajidhalilisha

    Unakuta mbaba mtu mzima na nguvu zake kila Siku anamchapa mtoto tena Chini ya 5 yrs, uliza kosa sasa, eti aliruka juu ya makochi, mara oooh alipeleka masufuria sebuleni. Mara oooh alichora ukuta , ooh anahangaika Sana hatulii. Mtoto mdogo wa umri huo anapaswa kupewa adhabu ndogo ndogo na...
  3. Silent Echo

    JamiiForums Tanzania Kijana wa Miaka 25 Kuwa Baba wa Kambo wa Mtu wa Miaka 36, Inawezekana Kweli?

    “Mimi ni mvulana wa miaka 25, nina mapenzi na mwanamke wa miaka 55. Tunakaa pamoja na mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 36 na mvulana huyu haniheshimu kama baba yake wa kambo. Najaribu kumuelimisha kuhusu maisha lakini hasikii. Tafadhali nisaidie,nifanye nini?” Huyu ni kijana anaomba...
  4. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ubaya wa kuwa baba wa kambo ni kwamba kila ukimtazama mtoto wa mwenyewe ndani kwenu unaanza kukumbuka bao la mwanaume mwenzako

    Maisha ya kuwa baba wa kambo yanahitaji moyo wa chuma sana.umekaa zako sebuleni unakunywa zako chai kwa amani. Ghafla katoto kanakuja kakikimbia, kanakupanda mapajani na kukuita baba. Wewe unatabasamu kwa nje lakini ndani ya moyo kuna sauti ndogo inakuambia: "Moyo, kumbuka huyu mtoto ni...
  5. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru Baba wa Kambo kuendelea kulipia matunzo ya watoto wake wa kambo mara baada ya talaka na single mama

    Daah! Wakuu sisi tunaoishi na SINGLE MOTHERS tuwe makini sana. Mwenzetu huko Afrika Kusini aliyekuwa akiishi na single mama yamemkuta. Kaamriwa kuendelea kulipia matunzo ya watoto wa single mama. Ni hela mingi laana. =========================== Court Orders Divorced Man to Pay R40,000 in...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hata ukiwa baba wa kambo mwenye upendo kupitiliza, watoto wa kambo wengi wakiwa wakubwa hukusahau na kurudi upande wa baba zao

    Nimeshaziona familia kadhaa ambazo kulikuwa na watoto wa nje, baba wa kambo wanajitahidi sana kuwapenda lakini wakishaanza kuwa wakubwa wanataka kuwa karibu na baba zao au ndugu wa baba zao halisi . Wakishaanza maisha ya kujitegemea huanza kusahau baba zao wa kambo au kulazimisha mahusiano...
  7. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Hasara za kuwa baba wa kambo

    1. Daima mama mtoto atakuona fala. Usidanganyike na ngozi ya kondoo aliyojivika kwa nje, ukweli ni kwamba kwenye akili yake anakutafsiri tofauti. Anakuona simp mmoja mjinga jinga. Hata hivyo ukweli wewe ni mjinga na mama mtoto analijua ilo ndio maana hata yeye hawezi kuruhusu/kufurahia kaka au...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Baba wa Kambo, Mzimu wa Kambo

    BABA WA KAMBO; MZIMU WA KAMBO Anaandika, Robert Heriel Mtibeli ANGALIZO: Mada hii ni Tata, utata wake upo sehemu Mbili; Moja, Mada inaweza kugusa Maslahi ya Watu hasa Wanawake wasiowaaminifu, waliobambikia Wanaume Watoto wasio waô. Pili, Viongozi wa Kidini na wale wasioamini Mambo ya Mizimu...
  9. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Huyu Dada yupo sahihi kuhusu Baba wa kambo?

  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Baba wa kambo jela kwa kumuambukiza mtoto UKIMWI kwa makusudi

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mara imemuhukumu kwenda jela miaka saba Msirari Muhere (60) mkazi wa Wilaya ya Tarime baada ya kupatikana na hatia ya kumuambukiza ugonjwa wa Ukimwi mtoto wa miaka sita kwa makusudi. Hukumu hiyo imetolewa mjini hapa leo Mei 31, 2023 na Hakimu Mkazi Mkuu mwenye...
  11. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Nisimame na Baba Mzazi au wa kambo?

    Habari Wakuu, nakuja mbele yenu kuomba ushauri, japo nimepata shauri mbalimbali za hapa na pale kwa watu wa karibu na wa mbali niliowahi kukutana nao. Nianze na historia yangu kwa ufupi. Nilizaliwa mwanzoni mwa miaka ya 90. Mama alizalia nyumbani kwao wakati bado ni mwanafunzi, haikua rahisi...
Back
Top Bottom