baba mkwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sky Eclat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dunia tambara bovu, sugar daddy wa enzi za chuo anapokua baba mkwe

    Haya mambo hutokea hasa kwa wadada wanaopenda mambo makubwa kuliko uwezo wao. Dada yuko chuo anataka kwenda shopping Dubai, kuendesha gari japo hata iwe IST, aishi kwenye apartment na iPhone 13 pro. Hapa duniani kuna wazee wana pesa hawajui la kuifanyia. Kumtimizia binti yote haya ni madogo...
  2. Determinantor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi: Dogo katendwa na Baba Mkwe, anahitaji msaada wa kisaikolojia zaidi kuliko Vitisho vya Polisi

    Siku zote natamani sana sana nchi yetu ingekua na vitengo vya wanasihi, sio kila kitu kinahitaji polisi na kutumia nguvu. Mfaano mzuri ni huyu kijana ambaye kwa majibu wake ni kwamba Baba mkwe kavunja ndoa yake iliyodumu tangu 2012-2021. Miaka Tisa ya mahusiano si michache. Katika kutafuta...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Acharangwa Mapanga akituhumiwa kumuua Baba Mkwe kwa Uchawi

    Mwanamke aitwaye Limi Kulwa (30) ameuawa kwa kukatwa na panga sehemu za kichwani, usoni, na mikono yote miwili katika kijiji cha Ilunga, kata ya Iyenze, Manispaa ya Kahama mkoa wa Shinyanga akituhumiwa kumuua kwa kumroga baba mkwe wake aitwaye Lusana Kulwa (60). Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  4. Saint Ivuga

    JamiiForums Tanzania Anayedaiwa kuwa 'Mzee Mathias Gwajima' amtaka Dkt. Dorothy kutotumia jina la Gwajima

    Amewataka: : Waziri wa afya na naibu wake wajiuzulu : Dorothy ni mke wao : Amemsifu Ndungulile kwa sababu alitumbuliwa kwa kusimamia ukweli wake kipindi cha meko : Akipata mtu wa kumuelewesha ataelewa ila hawa easily hawafai ni vigeu gemu. : D oroth anasema nilikamatwa na...
Back
Top Bottom