baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. Baada ya kuona video hii nimemdharau sana Ali Bongo Ondimba

    Wakuu nimetumiwa video moja ya aliyekuwa Raisi wa Gabon Ali Bongo kwa sasa kapinduliwa nikajua ukweli kwanini Nchi za kiafrika ni maskini sana na nimeshapata majibu kwanini na dokta, maprofesa waliosoma Nchi za ulaya hawana msaada wowote kwa wa Afrika wenzao kumbe tatizo ni imani zao za...
  2. Baada ya TPA kutangaza tenda kuhusu uwekezaji Terminal 2, Bado mnaamini Bandari zote zimeuzwa?

    Kwa wachache tuliobarikiwa kuielewa vizuri nchi hii na jamii yake pamoja na siasa zake tunaposimamia jambo kwa maslahi ya taifa naomba tuheshimiwe na tueleweke vizuri. Kwa miezi 2 sasa kuna kikundi cha wanasiasa na viongozi wa dini, kwa maslahi binafsi na kutumiwa na watu ambao kila siku...
  3. L

    Visiwa na nchi zinazopakana na bahari zaingiwa na taharuki baada ya Japan kumwaga majitaka yenye sumu ya nyuklia baharini

    Hivi majuzi Japan ilianza kuyaachilia maji taka yanayotoka kwenye kituo cha nyuklia cha Fukushima na kuyamwaga kwenye baharini ya Pasifiki, licha ya kwamba nchi zake nyingi jirani zilionesha wasiwasi mkubwa juu ya hatua hii, na hata kupinga kitendo hicho. Japan inadai kwamba eti maji haya...
  4. Nini kimejificha kwenye Uteuzi wa Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu? Nini maana yake kihistoria na upi mwelekeo wa Nchi baada ya Uteuzi huu?

    Baada ya kufatilia mjadala huu kwa ukaribu Sana na kuona wengi Wakitoa Presidential Decree mbalimbali zinazolindwa na katiba nimeona sio vibaya kama na mimi nitakuja na Historia kwa sababu historia huwa haidanganyi na ndio suluhisho Lini Hiki cheo kilikuwepo na watu walioteuliwa,Na nani...
  5. Baada ya miaka 10 nitaishi kwenye Jumba kama hili

    Wazee tuendelee kupambania Malengo yetu, Hakuna ushujaa wa kuitwa wewe ni bingwa wa kuishi maisha magumu🤒 I mean no malice to nobody
  6. Gabon: Jeshi limechukua madaraka baada ya Ali Bongo kutangazwa mshindi wa Urais

    Kikundi cha Wanajeshi 12 kimechukua uamuzi huo ikiwa ni siku chache tangu Tume ya Uchaguzi kutangaza kuwa Rais Ali Bongo ameshinda tena Kiti cha Urais Wanajeshi hao wametangaza kupitia Televisheni ya Taifa kuwa wanafuta matokeo yaliyoyangazwa na kuzifuta Taasisi zote za Umma pamoja na kulinda...
  7. W

    Nilivyo sasa baada ya kumfuma mwamba akilia mbele ya wazee na mkewe ili asiachwe!

    Nimefadhaika, nimehuzunika, nimekasirika, nimeshangaa, nimechoka na nimekata tamaa kabisa!! Yaani jamaa analia 'live' mbele ya wazee waliokuja kusuluhisha mgogoro wao na mkewe ambaye anadai talaka aondoke.........analia huku amempigia magoti mkewe (huku wazee wakishuhudia) akimsihi asiondoke...
  8. Serikali yafuta mapendekezo ya kuzifanyia Marekebisho ya Sheria zinazohusu Umiliki wa Maliasili

    Serikali imeyaondoa mapendekezo yaliyopelekwa Bungeni ya kufanya marekebisho ya sheria ya Sheria ya Mamlaka ya Nchi Kuhusiana na Umiliki wa Maliasili ya mwaka 2017 na Sheria ya Mapitio na Majadiliano Kuhusu Masharti Hasi Katika Maliasili ya nchi ya mwaka 2017 kuwa zisitumike katika miradi ya...
  9. SI KWELI Mzee Mwinyi baada ya kujiuzulu Uwaziri, Abdalla Natepe alimzuia kuchukua mali zake kwenye makazi ya Waziri

    Mzee Mwinyi alijiuzulu Uwaziri Mambo ya Ndani mwaka 1977 na Nafasi yake kuchukuliwa na Mzee Natepe. Natepe alipoingia tu ofisini alimtaka Waziri Mzee Mwinyi kutoka katika nyumba ya Waziri arudi kwao Zanzibar ili yeye aweze kuishi hapo kama Waziri. Ilikuwa shida kidogo maana Mzee Mwinyi bado...
  10. O

    Msaada nataka kujua kwanini mbegu zinarudisha nje baada ya kusex na wife mi kama 15 mpaka sekunde 40 au dk1

    Mke wangu mbegu nyingi humtoka baada ya kusex naye nashindwa kuelewa maana bado hatujapata mtoto na mimi ndo mtoa bikira karibia mwaka sasa Embu nipeni shule maana hasikii maumivu yoyote kama nilivyo ambiwa kuwa kunaweza kukawa na kitu kama kidole kina zuia mbegu kwenda mbele
  11. T

    Unabii baada ya kiongozi mmoja wa juu kubeza uwepo wa Mungu

    Ndugu wa Tanzania lipo jambo mbele ya Taifa linakuja kama jambo la masihara. Ila Mungu huko Mbinguni moyo wake umekataa kwenda na kiongozi mkubwa ktk Taifa la Waungwana wana wa Mzee Nyerere na hii ni baada ya kiongozi huyo kukebei uwepo wa Mungu ktk moja ya kikao kikubwa cha kiserikali. Hii...
  12. Ukraine wajongea kwenye ngome ya pili ya Warusi baada ya ushindi kwenye ngome ya kwanza

    Warusi wanaendelea kufukuziwa licha ya kujichimbia na kuwekeza nguvu kubwa kwenye kufukia mabomu kote kote, Ukraine hawachoki, wanapiga kwa matumizi ya HIMARS, storm shadows na madubwana mengine yote.... As observed by ISW’s military analysts, Ukrainian forces have made additional and...
  13. Tamu na chungu baada ya kujiunga na forever living products

    Habarini za weekend wakuu, leo nimepitia nyuzi mbalimbali zinazohusu forever living products, nikaamua na Mimi niweze kushare kitu kuhusu hii kampuni. Kwanza nakiri kuwa niliwahi kujiunga na biashara hii na nikadumu kwa miaka miwili tu Kisha nikaacha. Yafuatayo ni miongoni mwa niliyoyapata...
  14. B

    Tudai uchaguzi wa haki badala ya kudai kuibiwa baada ya chaguzi

    Zimbabwe tayari wapinzani wanadai kuibiwa uchaguzi. Gabon uchaguzi wao ni leo: "Huko kwenye mtandao wa internet, TCRA ya huko tayari imeshafanya yake." Zaidi mno Serikali ya huko imepiga marufuku uwepo wa waangalizi na wanabari wa kimataifa. 1. Twendeni mahakamani, 2. Kampeni zetu ziwe na...
  15. Baada ya kukoswa koswa kuibiwa nimeamua niuze TV, REDIO, NA FRIDGE

    Iko hivi mi nafanya kazi shirika fulan , huwa tunazurura mikoa mingi , kila mkoa huwa tunakaa at least miez sita . Kwa sasa tupo DSM , nimechukua chumba mitaa ya KAM college Kimara korogwe, nikanunua baadhi ya vtu vya ndani kama TV hisense smart inch 43, Fridge Aborder 128Liters na Radio Boss...
  16. Uchaguzi KKKT: Askofu Malasusa achaguliwa kuwa Askofu Mkuu wa KKKT kuchukua nafasi ya Dkt. Fredrick Shoo

    Malasusa amepata kura 167 ambazo ni asilimia 64 ya kura zote zilizopigwa Askofu Malasusa alikuwa anagombea dhidi ya askofu Abednego Keshomshahara wa Dayosisi ya Bukoba aliyepata kura 73 na Askofu Dr George Fihavango wa Dayosisi ya Njombe aliyeshindwa katika duru ya kwanza. Hii itaakuwa ni mara...
  17. Baada ya IGA ya DPW na Bandari zetu, licha ya mapungufu, HGA yake inakuja. Ombi kwa Serikali yetu sikivu, tunaomba Maximum Transparency kwenye HGA

    Wanabodi, Kama kawaida yangu ya kuwaletea trends mbalimbali, leo naomba niwaletee hii trends za kinachoendelea kwenye hii issue. Baada ya IGA ya DPW na Bandari Zetu, HGA yake iko njiani inakuja! Naomba kukiri nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili kwa bandiko la mwana JF huyu. Wananchi...
  18. R

    Baada ya kimya kirefu nimeamua kumsupport Rais wangu na hizi ndizo nondo nne za kuanza nazo

    Habari jf , binafsi kama Sukuma Gang na mfuasi wa falsafa za hayati Magufuli kwa akili yangu nimeamua kumuamini Rais wangu mama Samia . Hii ni baada ya kufanya tathmini na kugundua Rais Samia ana mipango na malengo mazuri na hii nchi . Hivyo kwa kuanza namshauri haya mambo manne :- 1.Afute...
  19. Naona baada ya TEC kuja na Tamko lao Wiki Mbili hizi Wine na Whiskey zitanyweka mno ili Kupunguza Presha

    Na tukizinywa hizo tutakuwa na Hasira hasa katika Maongezi na Majibu yetu huku tukizidi Kukaza Macho na Kurembua kwa sana. Ninaungana na TEC 100% kwa Tamko.
  20. Barua ya wazi kwa Samia kuhusu hali ilivyo sasa baada ya waraka wa wahashamu

    Mods tafadhari msiunganishe huu uzi/barua wala kuufuta haya ni maonyo ya wazi kwa rais wetu mpendwa SASHA. Niende moja kwa moja kwenye dhima ntawasalimu baadae wakubwa. Kama ilivyo desturi leo mida ya jionii nilienda kupata zangu gahawa na kashata mitaa ya Barakuda, kilichonishtua ni kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…