baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    SoC04 Sekta ya elimu ikiwa hivi naiona Tanzania mpya baada ya miaka kumi na tano(15)

    Utangulizi, Sekta ya elimu Tanzania ndio inaandaa wadau wote wa maendeleo, Kila mmoja katika nafasi yake akijengwa kujua kitaaluma kuino nafasi yake katika maendeleo ya taifa kuna uhakika wa mabadiliko chanya katika katika sekta zote za kiuchumi Tanzania. Mapungufu ya sekta: Kwa bahati mbaya...
  2. Vijana wasomi wanapitia wakati mgumu maisha baada ya vyuo

    Maisha baada ya chuo ni magumu sana, mtu unaweza kuwa unajitafutia riziki mfano boda boda unakutana na disappointments nyingi. Kuna watakaokwambia kuwa umesoma Kwa ajili gani na unafanya kazi duni lakini watawala watatuita maafsa, ila yote ya yote ni kufocus na kujituma ukiwa unasubiri miujiza...
  3. Mataifa yatakayoendelea kuwapo baada ya vita ya 3 ya dunia

    Kaa chonjoo mwana JF Tumeshasikia sanaa maisha hayana formula kinaweza pulizwa Kipenga pyeee nyuma geuka, wa mwisho akawa wa kwanza na wa kwanza akawa wa mwisho. Tupo hapa bongo land tumerelax sana huku tukiyakandia baadhi ya mataifa kwamba hayana amani. What if hizi nchi zilizo kwenye vita...
  4. Baada ya kuwa msomaji miaka takribani 6 sasa nimejisajili rasmi JamiiForums

    WAKUU HESHIMA SANA KWENU: Nimekua msomaji humu jf miaka takribani sita ila now ni mwanachama haiiii..humu ni vile sijasomeka persnlty yangu kwa kuwa sikua rasmi ila character za members na vimbwanga vyao 97% nazijua kulingana na post zao kwa hiyo nina furaha kwa sasa nimekua mchangiaji pia...
  5. B

    Lissu: Katika Nchi Hii hatukuwekewa Utaratibu wa Kutokubaguana, Ubaguzi Ulianza Baada ya Uhuru

    30 April 2024 Morogoro, Tanzania Lissu : Katika Nchi Hii hatukuwekewa Utaratibu wa Kutokubaguana, Ubaguzi Ulianza Baada ya Uhuru https://m.youtube.com/watch?v=KqCykOZ1RMY Matendo ya serikali yetu Uasi wa 1964 majeshi Mwl. Nyerere aanzisha jeshi la wananchi wa Tanganyika sharti likiwa lazima...
  6. Msemo gani unatumia kujifariji baada ya kumaliza pesa kwa matumizi ya kijinga au starehe?

    "SIKU MOJA MOJA SIYO MBAYA" Leo nimekumbuka mwaka 2020 kipindi cha Pasaka, Jijini Arusha, hapo dili la ku-design michoro ya Majengo kadhaa ya Taasisi ya Kanisa limetiki na nka kabidhiwa pesa ya Advance Millioni +. Sikukuu ya Pasaka ilipofika mwenyeji wangu akasema twende kusherekea kwenye Bar...
  7. Nairobi Kenya: Mzungu apigwa kipigo Cha mbwa Koko na Security wa Petrol Station baada ya kumwita Nyani mhudumu wa kuuza mafuta

    Shalom, Tafadhari mwenye video popote alipo aiweke hapa, kuna kichapo Cha mbwa Koko mzungu mwenye matusi ya kutia watu Nyani amekipata, Nairobi ilijaa kizaa zaa baada ya mzungu kupata kichapo huku ikionekana huyu mzungu ni Baharia wa kugaurd ila bahati mbaya alizidiwa na ukubwa na uzito wa...
  8. Waziri George Simbachawene atafaa Uwaziri Mkuu 2025

    Huyu Mzee amehudumu Baraza la Mawaziri kuanzia serikali chini ya JK, JPM na sasa Mama, huku akiongoza wizara zenye majukumu mazito. Ni mkimya , humsikii kuropoka, busara na amekuwa akijibu hoja Bungeni kwa umakini. Nakumbuka aliwahi kuwajibika kwa kujiuzulu uwaziri kipindi cha JPM lakini...
  9. Tetesi: Kamati ya maadili ya CCM yamuonya Makonda, yadaiwa baada ya ile hotuba yake matusi juu ya Rais wetu yalizidi kuzunguka mitandaoni maradufu

    Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka . Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko mitandaoni lakini baada ya ile hotuba watu wengi walianza kufuatilia ,hayo matusi dhidi ya mama huko...
  10. G

    Stimu zilikata baada ya kuyavua makalio

    Mzuka, mashamsham na tamaa vyote viliyeyuka, baada ya kuona makalio yanaondolewa na kutundikwa juu kama inavyoonekana hapa chini. Nimejiuliza maswali mengi sana. Hivi ananionaje huyu dada mpk akaamua kunidanganya kizembe namna hii? Ili siku nyingine nisiibiwe natakiwa kuyakagua vipi haya...
  11. Bomba kubwa la Maji Kibanda cha Mkaa, Lapata Hitilafu baada ya mvua kubwa

    Bomba kubwa la maji linalogawa maji katika maeneo ya Kibanda cha mkaa, Kwa Msuguri, Temboni na suka, Lapata hitilafu hivyo kuna hatihati ya kukosa maji kwa siku hizi mbili tatu. Habari ndugu wateja kutokana na Mvua kubwa imeathiri miundombinu ya Bomba kubwa eneo la kibanda Cha mkaa linaloleta...
  12. D

    Hili linatatulikaje; Baada ya kifo cha mmewe mama kama mrithi anauza ovyo mali pasipo kushirikisha watoto

    Habari wadau! Ukitaka kujua tabia nzuri au ngumu za baadhi ya wazazi subiri atakapokufa mmoja! Jambo kama hili huwa linatatulikaje? Baada ya kifo cha baba wa familia yenye watoto wakubwa na wadogo wanaohitaji uangalizi au usimamizi! Mama kuanza kuuza mali, viwanja, mashamba kimya kimya pasipo...
  13. CHADEMA yaahirisha Maandamano ya Karatu kwa sababu ya Mafuriko

    Taarifa hii ya Kibinadamu imetolewa na Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini Aman Golugwa , na kwamba Chama hicho kitaendelea na Ratiba ya Maandamano kwenye Maeneo mengine. Tundu Lissu ndiye aliyepangwa na Chama hicho kuzindua Wiki ya Maandamano Karatu. Pia soma: Chalamila: Sina taarifa za...
  14. Nimelipwa deni langu Tsh. Milioni 1.3 baada ya miezi 6. Nifanye uwekezaji gani?

    Wana jamvi msaada wa mawazo. Kuna sehemu nilidai pesa yangu zaidi ya miezi 6, hatimae leo wamenilipa. Naomba ushauri niifanyie uwekezaji au/ biashara gani ambayo itazalisha na kuongeza thamani ya pesa. Malipo yenyewe ni madogo tu ni milion1 na laki tatu, eneo nililopo ni Mwanza tayari...
  15. K

    Mambo atakayoyafanya Tundu Lissu baada ya kushinda uchaguzi wa 2025 kwa kishindo

    Iko wazi na sio siri mwakan Tundu lissu ndo Rais ajaye; baada ya kuwa Rais atafanya yafuatayo Rais hatachagua mkuu wa tume na wajumbe wake- tume itakua huru kwa asilimia 100 Majimbo ya uchaguzi yataamuliwa kwa wingi wa watu na kila baada ya miaka 10 yatachorwa upya sehemu yenye watu wengi...
  16. Askofu TD Jakes ajiuzulu baada ya kashfa ya kutembea na muumini wake....

    Askofu TD Jakes ambaye amemtumikia Mungu kwa miongo mingi amejiuzulu kwa madai ya kuwa na mahusiano na mmoja wa waumini wa kanisa lake. Source: Tecnico Informatico
  17. J

    Tumekosea wapi ? Na nini kifanyike baada ya mvua hizi?

    Tangu January Hadi katikati ya mwezi huu( April) tumekuwa tukisikia na kushuhudia mvua kubwa zikinyesha Kwa baadhi ya mikoa nchini Tanzania. Kwa mtazamo wangu haya ni matokeo ya ubinafsi wetu juu ya mazingira yanayotuzunguka. Wiki Moja iliyopita niliongea na mdau mmoja ambaye Yuko mkoani Mbeya...
  18. Katika Matumizi ya Dozi ya Dawa 1x3 = kila baada ya Saa 8. Sio Asubuhi, Mchana na Jioni

    Katika Mahojiano Maalum na Mwananchi, Aprili 7, 2024, Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Tumaini Nagu amesema moja ya sababu kubwa za Usugu wa Vimelea dhidi ya Dawa ni kutokumaliza au kutotumia Dawa vizuri hasa za Antibayotiki. Prof. Nagu amesema mtindo wa kuwaandikia Wagonjwa Dawa 1x3 au 1x2...
  19. Tiktok yatakiwa kutuma ripoti kila baada ya Miezi 3 katika udhibiti wa maudhui yasiyofaa

    Wizara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ya Kenya imewaambia Wabunge kuwa kuwasilishwa kwa Ripoti za Utekelezaji kila baada ya Miezi 3 Wizarani ni sehemu ya mpango wa kushughulikia athari hasi zinazohusiana na TikTok, badala ya kuifungia nchini humo Waziri wa Habari na Mawasiliano John...
  20. Baada ya Mechi Kumalizika tegemeeni haya yafuatayo

    1. Kocha Benchika kutimuliwa rasmi Simba SC 2. Mwekezaji Mo Dewji kuchafua Hali ya Hewa kwa ama Kujiondoa Simba SC au Kuubadili Uongozi wa Bodi. 3. Mwenyekiti wa Bodi Simba Sports Club Limited Salim Abdallah na Mwenyekiti wa Wanachama Simba SC Kujiuzuru rasmi. 4. Simba SC kuitisha haraka sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…