baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nitaepukaje hali ya kujisikia mchovu baada ya kula?

    Hiyo hali imeshakuwa kero sasa! Mara nyingi, nikishakula tu, najisikia uchovu kiasi cha kutamani kulala, hata kama ni Mchana. Haijalishi kama nimekula chakula kidogo tu, nitajisikia tu kulala. Kuna jinsi ya kuiepuka hiyo changamoto? Asanteni!
  2. JamiiForums Tanzania Israel imerejea kutoka kijiji cha Odaisseh nchini Lebanon kwa vifo MAJERUHI MAKUBWA baada ya wavamizi hao kukutana na jibu kali la Hezbollah

    Wanaukumbi. BREAKING: Israel imerejea kutoka kijiji cha Odaisseh nchini Lebanon kwa vifo MAJERUHI MAKUBWA baada ya wavamizi hao kukutana na jibu kali la Hezbollah. https://x.com/iriran_military/status/1842370522643886275?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw UP DATE….. ========================...
  3. JamiiForums Tanzania Boti iliyobeba Abiria zaidi ya 300 yazama kwenye Mto Nchini Nigeria

    Zaidi ya Watu 100 wanadaiwa kupoteza maisha baada ya Boti ya Abiria kuzama kwenye Mto Niger wakati ilipokuwa ikitoka Kijiji cha Mundi kuelekea Kijiji cha Gbajibo. Shirika la Usimamizi wa Dharura la Jimbo la Niger (Nsema) limesema uokoaji wa awali umefanikiwa kupata miili 26 na juhudi...
  4. JamiiForums Tanzania Kamanda wa vifaru wa mazayuni ajiuzulu baada ya kuchezea Kichapo cha Hezbollah

    Kamanda wa vikosi vya vifaru 8200 ambavyo kikawaida huwa mstari wa mbele kwenye mashambulizi, amelazimishwa kujiudhuru baada ya kutaka kunyayanyuwa bendera nyeupe ya kukiri kushindwa. Baada ya kikosi cha makomandoo kuchezea Kichapo cha Hezbollah, ambacho kikosi anachoongoza yeye ndicho...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Huu ndio muonekano mpya wa Sanamu ya Mwalimu Nyerere baada ya kukarabatiwa

  6. JamiiForums Tanzania Baada ya Ally Kamwe kuzirai, kitabibu alipaswa kubadilishiwa majukumu

    Unapomuona mtu amezimia/amezirai maana yake kulikuwa na shida kwenye kupeleka damu kwenye sehemu ya ubongo (brain). KAMA damu haifiki au ikipungua sana kufika kwenye ubongo maana yake kutakuwa na ukosefu pia wa Oxygen and glucose (chakula) kwenye ubongo. Ukosefu wa oxygen kwenye ubongo japo kwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuzima mashambulizi ya Irani Israel imeendelea na mshambulizi huko Lebanon

    CNN, wanarepoti kuwa Israel imeendelea kufanya mashambulizi makali ya anga usiku wa kuamkia Leo. Haya yanajili baada ya jana Iran kufanya mashambulizi kama sehemu ya onyo kwa Israel kuacha kuendelea kushambulia Lebanon na Gaza na kuua viongozi wa ngazi za juu wa vikundi hivyo. Source: CNN
  8. L

    JamiiForums Tanzania Baada ya Maandamano ya CHADEMA Kushindikana,Maria Sarungi Aanza Kutumika na kutumikishwa kupika Uzushi na uongo usio na Ushahidi Kuchafua watu.

    Ndugu zangu Watanzania, Ikumbukwe ya kuwa huyu Mama Maria Sarungi kazi yake kubwa ni kutumika,kutumikishwa , kutumiwa kwa njia zote chafu na mbaya kupika Majungu,umbea,uzushi,uongo,ufitini na uchonganishi.Maisha yake yanategemea atumikishwe kama mtumwa na watu wenye ajenda zao za siri kuchafua...
  9. JamiiForums Tanzania Video: Alia kama mtoto baada ya kugundua mke wake bado ana mahusiano na mzazi mwenzie

    Sikio la kufa...
  10. JamiiForums Tanzania Tetesi: Netanyahu kakimba Israel baada ya kusikia Iran itaishambulia Israel

    Wanaukumbi. ndege ya Waziri Mkuu Netanyahu, Zion Wing, imeondoka Israel usiku wa kuamkia leo. Hii inafuatia maonyo kutoka kwa washirika wa Marekani na Magharibi kuhusu shambulio linalokuja la Iran linalohusisha makombora ya balistiki, ndege zisizo na rubani na UAV. Mvutano unaongezeka huku...
  11. JamiiForums Tanzania Israeli yatangaza rasmi kuingiza majeshi nchini Lebanon upande ya kusini. Nini kitajiri baada ya hatua hii ngumu ya Israeli?

    Marjayoun- Lebanon. Kifaru cha jeshi la Israeli kilifanya doria kwenye mpaka wa Israeli na Lebanon mapema leo asubuhi. Picha na Aya Margolin wa Flash90 Israeli imetangaza kuingiza majeshi yake upande wa kusini mwa Lebanon na kuliweka eneo hilo chini ya jeshi la IDF yaani "military Zone". Hatua...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Nilisema, ubora wa hizi timu upimwe baada ya kucheza ugenini

    Nadhani leo nimeeleweka baada ya mechi ya Dodoma v Simba. Walau tutaanza kuchagua maneno na kuchunga ndimi. Tuendelee kujenga timu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Alilia baada ya kufa kitandani na sio katika vita

    Walid bin Khalid al-Walid, maarufu kama Khalid bin al-Walid, ni mmoja wa mashujaa wakuu wa Uislamu, anayejulikana kwa ujasiri wake na mafanikio yake katika vita. Hata hivyo, kuna hadithi inayozungumzia kifo chake, ambayo inaonyesha jinsi alivyokabiliwa na hali hiyo. Maelezo ya Kifo cha Khalid...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Gaddafi na Saadam waliokuwa wafadhili wakuu wa ugaidi kuuawa, ni vizuri Iran isambaratishwe ili Ugaidi uishe kabisa duniani

    Kwanza tuelewe , ugaidi na uislamu ni vitu viwili tofauti. Tujikumbushe nyuma kidogo kisa cha kuuawa kwa Gadaffi wa Libya na Saadam wa Iraq , pamoja na yote wale ndio walikua wafadhili wakubwa wa makundi ya kigaidi duniani. Walitumia mabilioni mengi kufadhili makundi hayo duniani kote, Baada...
  15. JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa mchongo Jf wataweka wapi sura zao baada ya ushindi wa 2:0 na total dominance iliyooneshwa jana

    Nukuu ya mwanautopolo lialia Labani og "Kama utakuwa professional kwenye soka la nchi hii jaribu kuweka vikosi vya Azam na Simba kwenye mzani .... lazima utaona kuwa kikosi cha Azam kina uwezo kuliko kile Cha Simba ..." Kosa la Labani og ni kutumia neno professional kwenye kujiaminisha kwamba...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Nimeshituka baada ya watu kuanza kuniamkia na kuniita mbaba

    Aisee hamna kitu kinachoninyima usingizi kama watu mtaani kuanza kuniamkia na kuanza kuniita mbaba sasa najiuliza kwanini waniita mbaba na kuanza kuniamkia ila nahisi miahafikia umri wa utu uzima natakiwa kuacha kufikiria kuhusu maisha maana sio kwa kasi hii ni maisha na utu uzima kiukweli...
  17. JamiiForums Tanzania Zaidi ya walowezi 300,000 Israel wamekimbia makazi yao huko Haifa baada ya mfulilizo wa Makombora ya Hezbollah.

    Wanakumbi. ⚡️BREAKING: Mji wa Haifa, kutoka mashariki hadi magharibi hadi kaskazini hadi kusini, uko chini ya makombora ya Hezbollah, ving'ora havikomi. Zaidi ya walowezi 300,000 wamekimbia kwenye makazi. Ripoti za awali za roketi zilizoanguka karibu na eneo la Chuo Kikuu cha Haifa na eneo...
  18. JamiiForums Tanzania Nini hatma ya Shilingi ya Tanzania baada ya kuporomoka dhidi ya Dola ya Marekani?

    Ukweli ni kwamba tokea mwaka 2023 shilingi ya tanzania imeporomoka kutoka 2330 mpaka 2730 kwa dola moja ya marekani ukilinganisha na shilingi ya majirani zetu KENYA ambao shilingi yao inazidi kupata nguvu dhidi ya dola ya marekani hasa mwaka huu wa 2024 Nini maoni yako, wapi tunakosea...
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya vyombo vya habari vya nje kutangaza, nimeamini rasmi kwamba ni hujuma

    Sasa nimeamini kweli maadui zetu si watanzania, bali mabeberu wakishirikiana na chadema, Watanzania kuweni makini na amani iliyopo, tukiiharibu ndio furaha kwa maadui zetu Kuweni makini sana
  20. JamiiForums Tanzania Hivi ukipatwa na msiba wa kifamilia, ni baada ya kipindi gani ndio wakati sahihi wa kufanya mapenzi?

    au haina uhusiano na wala hakuna muda muafaka? au mazingira yakiruhusu tu kazi iendelee? maana naona mambo haya yanaendelea tu hadi msibani, na tena wengine ndio fursa kabisaa ya kuchepukia, si wafiwa wala waombolezaji. au ni roho ngumu, watu hawana uchungu na wapendwa wao, ujasiri wa kipekee...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…