Picha linaanza bhana Baada ya boss KUMFOKEA manager
Manager naye Anaona isiwe kinyonge anashuka kwa MA-operator anaowasimamia anaanza KUMFOKEA operator mmoja wapo!
Operator anafanya kazi huku anajaziba ya kufokewa na manager
Operator anarudi na hasira nyumbani na kilo za nyama wife akampikie...